Naafiki, hali si ya kutia moyo sana pale skuli na hasa chakula; swala la ada ni kweli ilipandishwa bila hata kushauriana na wazazi na ni
kubwa sana lakini hailingani na huduma wapatayo watoto.
Tena hata mikutano na wadau (wazazi) ni nadra.
Sitegemei kupeleka mtoto wangu mwingine...
Lakini yote kwa yote hata kama nyoka atajivua gamba lakini sumu yake ni ie ile !. Nakubaliana na wanaosema kuwa ilibidi wajigeuze majivu kisha wazaliwe upya; ni kufumua safu yote kuanzia juu. Hapo kingeeleweka. Hata hivyo tunasubiri hizo siku 90 tuone mtikisiko.
Mbunge wetu wa Kinondoni naye...
Kama tutaendelea hivi na maswala ya udini basi ni kansa ya aina yake. Nilidhani kitaalauma Prof. Idrissa Bilali Mshoro amekuwa ni chaguo sahihi, sasa kurukia udini ni jambo la kushangaza. JF msiwe jamvi la poor thinking, na simple minds.
Anaendelea kuwa Makamu mkuu wa chuo cha Ardhi...
Mara nyingi hawa jamaa wa TANESCO hawawi wakweli, na ndio culture ya mashirika mengi ya UMMA. Kwa kule Ulaya lazima uwajibike lakini kwetu wala hakuna hata 'apology", wketu ni bora liende.
Tukumbuke pia ya Saddam Hussein nayo yaja kila 28 th April. Yeye hana la kukumbukwa zaidi ya kuua raia wasio na hatia na kuchomolewa kwenye shimo kama panya na kunyongwa. Ila wanawe waliondoka duniani fighting to their last breath.
Malipo ya mafao yanategemea na mshahara wa mwanachama anayestaafu, hivyo ukienda PPF watakuonesha wanavyokokotoa mafao hadi kupata salio lako, baada ya kukata kodi of course.
Hata hivyo, labda kupitia SSRA (Social Security Regulatory Authority) watasaidia ku-harmonise pension benefits nk...
Hilo shairi la karudi baba mmoja wengine linatuklumbusha mbali, enzi ile kulipokuwa na malenga mashuhuri sana, au gurus walioumia vichwa kutoa ujumbe.
Nlaifananisha na sizitaki mmbichi hizi.
Aliyeuawa mwaka 1986 ni Marehemu Abdul Omari Masoud Jawewa. Huyu alikuwa mtaalamu wa kipindi cah michezo huko RTD. Na aliwahi kuwa Katibu Mkuu wa Yanga miaka hiyo; wakati anauawa alikuwa Meneja wa Bobby Soap, Keko kwa akina Marehemu Virani.
Abdul Masoud ni matunda ya mji wa Bagamoyo, wala...
Hisa za NMB zimeshuka hadi kufikia Shs 730 per share. Wakati wanaingia kwenye listing zilianza na bei ya shs 1,200 kwa muda mfupi sana, na tangu hapo zimekuwa zikishuka mpaka hapo kwenye shs 730 !, Hii si habari nzuri sana kwa wadau walionunua hisa kwa wingi hapo NMB, hasa waliokopa ili wawekeze.
Kajieleza vilivyo, sijui aliahidiwa nini siku alipojiunga na IPP Media na sasa yamemkuta. Unajua ajira hizi za watu binafsi ni ngumu na hazina uhakika na usalama kazini, sio sawa na ajira za serikalini au mashirika kwani yana taratibu zinazoeleweka.
Hata hivyo, pamoja na Dada Sakina kumwaga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.