mwanzo nilimchukulia huyu dada kirahisi tu nikadhani kwa vile Mengi kawalipuwa waajemi wale, basi dada kamaindi. kumbe sio. she is focused, professional, dedicated, loyal, etc. huu ugonjwa umezagaa sana wa kuchanganya kazi na maslahi binafsi. kwa mtu anayependa kujikomba, atafanya kile bosi anataka hata kama sio professional, ila kwa mtu makini kama sakina ni tofauti. namsifu sana huyu dada. kwa mara nyingine inadhihirisha ni jinsi gani ngozi yetu ilivyo na matatizo. nilikuwa nasoma gurdian muda si mrefu nikashangaa naendelea tu kitu ambacho si kawaida kwangu. kumbe kuna kazi imefanyika ndani ya mwaka mmoja tu! ya kuliboresha. once again, the problem with africans is implementation and maintenance
mbona amekimbia alivyoambiwa akaanzishe thisday on sunday, mbona ajatumia uwe u-creative wake + na wako kuanzisha gazeti lenuMimi naona WEWE NDIO UMEANDIKA PUMBA, nia ya Sakina haikuwa kwa ajili ya kumlipua MENGI na haikuwa kwa ajili ya PUBLIC consumption mpaka tumepata copy aliyopelekewa Mshana. alichoongea kinaonekana ni facts na zina staitistics kama ni kumpimga mpinge kwa facts.
"Hivi huyu mwanamke anajua biashara inachukua mda gani kujenga kweli",
Kama wewe ni Bongo lala kuna watu ni VICHWA na creative ndio maana unamuona kama alivyo, kweli mapenzi ni KIPOFU.
Mwenyekiti Mtendaji ALL directors reporting to him alafu mnasema hana uwezo kuingilia machapisho ya siku LOL...
Hongera sana Dada Sakina kwa ushujaa wako...
Umewafungua macho watanzania...We need courageous people to open up and speak up if we are to have a true democracy in the Media..
Wadau Sakina hakujipeleka Ipp Media..RM alikuwa anafuata fuata sana ajiuge kwneye group yake...Tunajua Mengi ni mbagusi and hela zote anayotamba nae ni maki wa wayahudi and alipigiwa simu kutoka Israel amshushe cheo Sakina lasivyo hata senti moja hatapata tena...
Hiyo barua iliyowekwa hapa ni ukweli wala hana haja ya kuomba kazi....She is known for her hard work.. Na wale wanaofikiri anjiunga na Habari Corp kujiunga na RA, hiyo siyo ukweli..ukweli ni she will not be dragged to do what she does not want...Wana JF Sakina is professional
Whatever yakeandikwa kwenye resignation letter ni ukweli, RM anapenda sifa za uwongo tu ili apoteshe jamii...muda umefika kutambua mafisadi wakweli..wamejaa serekalini na siyo magabachori tuu....
mambo ndivyo hivyo....
Mwenyekiti Mtendaji ALL directors reporting to him alafu mnasema hana uwezo kuingilia machapisho ya siku LOL...
Zero input as usual.Ukweli, Mengi ni limbukeni!