Methali mpya

Methali mpya

Ukitaka kupata kiti katika basi la Mbagala pitia dirishani
 
Harufu mbaya ya konda si sababu ya kutolipa nauli
 
Ukitaka kujua umuhimu wa kopo la ****** ubanwe na haja.
 
Ukitaka kujua uelekeako,muulize anayerudi.:behindsofa:
Wasalaam,Katabazi.
 
kiswahili si lugha ya mtanzania,wenye lugha hii wapo wengi
 
"Masikini ndiyo hufa kwa ukimwi, akifa kiongozi ni shinikizo la damu"-Joe Makini.
 
Back
Top Bottom