Recent content by moza

  1. moza

    JamiiForums Tanzania Naambiwa ana mimba yangu

    Kwani ina miezi mingapi?yawezekana haijaingia cku hizo unazozidhani wewe,kwani mbegu yaweza kuishi siku2 na ikaja ikafertilize. mihim subiri bebii atoke ndo utake action, waweza itesa damu yk bure!
  2. moza

    JamiiForums Tanzania Jide na Gadner acheni hizooo!

    mi wananibore
  3. moza

    JamiiForums Tanzania Mwanamke hawezi kukaa bila ku-"do" kwa miaka 3?

    May be km ulimwacha virgin then ukamkuta vivo hivo
  4. moza

    JamiiForums Tanzania *~Please**Mommy**Please~*

    Oh GOd,i wont try this
  5. moza

    JamiiForums Tanzania Utabiri wa Shehe Yahya umetimia?!

    Mi sisemi
  6. moza

    JamiiForums Tanzania Saluni za kunyoa nywele sehemu nyeti

    Mh, makubwa!sidhani km ni maadili kwani ndio maana ikaitwa sehem nyeti, its for you and tour mwenza. km ni hivo ukiwa mtu wa kubadilisha salon,............cjui itakuwaje
  7. moza

    JamiiForums Tanzania Prof. Haroub Othman Afariki Dunia

    I cant believe!he was my lecturer there!rest in peace
  8. moza

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa kitanga anahitajika!!

    He!mbona mazito haya!wapenda mdebwedo eee!!!!!111
  9. moza

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

    Mi nadhani kitu cha kwanza kabisa in any plan of doing business, you have to have various business ideas which then you have to screen them and get the one that is the best of all as far as factors affecting market and business are concerned. So nadhan ungetoa idea zako then ukaziexpose,watu...
  10. moza

    JamiiForums Tanzania Athari ya kutumia majina ya viongozi (watu maarufu) katika shule zetu.

    Athari zipo kotekote yaani positively and negatively, kwani km shule ikifanya vizuri,its a +ve effect, na ikifanya madudu, obviouslly -vity inakuwepo tene inakuwa strong kweli compared na +vity as far as matokeo are concerned.
  11. moza

    JamiiForums Tanzania 12 facts about you!

    You are just playing!!!
  12. moza

    JamiiForums Tanzania Mwanamuziki Chakachaka alizwa na kifo cha malaria Mtwara

    Roho imeniuma sn kwani sijategemea km hayo yangewez akutokea. Mungu amrehemu mtoto huyo na mungu ampe subra huyo mama!
  13. moza

    JamiiForums Tanzania Angalia haya ya fisadi Chenge!

    Mh,kama c mfuatiliaji, unaweza kumuonea huruma!!!!!!!!but no need of it
  14. moza

    JamiiForums Tanzania WaZanzibari kutokusheherekea Siku ya Muungano.

    Mi nadhani kubnwa tuchech which are the union matters,tukizichambua kwa kina tutajua kama na sawa kutosherehekea or not
  15. moza

    JamiiForums Tanzania Mama sokwe

    mie simo,sijaisoma nimehadithiwa tu
Back
Top Bottom