Mama sokwe

Vawulence

JF-Expert Member
Jan 4, 2009
1,928
2,101
Sokwe mdogo alimuuliza mamaye; "Mama hivi mbona sisi tuna sura mbaya sana?" Mama Sokwe akamjibu mwanae kwa upendo; "Mwanangu ungeamini kuwa sisi ni wazuri sana laiti tu,ungemwona huyu mtu anayesoma thread hii."
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom