Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,753
- 7,835
Jana tulikua ktk kikao kisicho rasmi pale Landmark. Jamaa yetu mmoja kapata safari itakayomtenganisha na GF kwa muda wa miaka 3. Tukawa tunamtania kwamba ndani ya hiyo miaka mitatu kwa jinsi wanaume walivyo lazima atamega huko aendako. Mwingine akasema hata GF wamshikaji ktk kipindi chote hicho atakua kamegwa mara nyingi tu,eti wanawake hawawezi kuishi muda kama huo bila ku-"do". Hivi ni kweli jamani? Nilibishana nao sana kwani najua wanaume ndio sio wavumilivu ila wanawake mara nyingi hua wanao uwezo wa kuvumilia mambo hayo. Mwenye ukweli atupe please.
...la msingi ni kujiuliza sababu zipi zitazompelekea 'kumegwa', na kuna sababu ambazo hata iweje sio rahisi kushawishika 'kumegwa'.
Miaka mitatu si mingi kihivyo, tatizo nilionalo hakuna commitment yenye nguvu kati ya Mtu na Girlfriend tofauti na Mchumba, au Mke.