Mtoto wa kitanga anahitajika!!

Mzee wa mafix,mimi sijui kama uko siriaz au unatania,lakini nikushukuru kitu kimoja,you have made my day maana katika baadhi ya comments nimecheeeeeeeeeeeeeeka mbavu sina!
 
Last edited:
Duh nilikuwa sielewi hii kumbe bikra zinaidadi kha!

Hujanielewa kipenzi namwuliza amezitunza ngapi tangu amekuwa mkubwa kwa maana ya kuwa ni wasichana wangapi amejizuia/kukataa kukutana nao ili asiwaharibu ubikira wao!

Hutaki maji yeshe wakati wayanywa!!!
Utafulia shaurilo
 
Hapo chacha shangazi maana hawa nwenzetu wepesi kweli kusema oh hana keshatumiwa kumbe watumiaji ni wenyewe vile tu hakuwa yeye. Mie nachoka kabisa.

Kwani kuna mtu iwa anawalazimisha mtoe bikra hizo? Si iwa mnatoa wenyewe bila ya kushikiwa bakora.
 
Wakati watu wamegubikwa na simanzi kuhusu hatma ya nchi..
simanzi gani!!!mi nadhani kama akimpata huyo ndo litakuwa liwazo lake na maisha katika dunia ya msukosuko wa uchumi!!!
 
Wewe ni malaya na kahaba uliyekubuhu. Unahitaji jimama lenye **** nene la nini au mambo ya tigo hayo!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom