Saluni za kunyoa nywele sehemu nyeti

Saluni za kunyoa nywele sehemu nyeti

Kwa kweli Kelly siwezi kukwambia kuwa hiyo ni elimu ila nikitu cha kupingwa kama ukeketaji?
-mkuu achana na huyo.....alishasema ana mi tattoo mi5 mwilini na anajivunia.....na hii bikini wax inaonekana keshawachanulia miguu vinyozi anyolewe Bwa ha ha ha ha ha
 
Hapo ndio pa kukomelewa........sishangai kama wengine wanakuambia wana matattoo ma5 mwilini ati ni fasheni aiiishi fasheni gani bana?
....vitu vingine kama hivi nikivisikia naoana aibu kweri kweri......pigeni picha mwanamama/mwanababa anatoka kwake Kimara kiguu na njia mpaka Mikocheni kunyolewa nywele huko....uuwiiiiii

Mkuu pole sana. Hiyo ndiyo tabia ya kumsujudu mtu. Ukishaamini fulani ni bingwa saana, basi utajitahidi kuiga kila kitu anachokifanya. Sisi tumewakweza hawa jamaa na kila kukicha tunafanya kazi ya kuiga hata bila kujiuliza maswali. Mwisho wa siku tutatakiwa kulipa gharama ya huko kuiga. Tusipokuwa waangalifu tutapigwa bei hivi hivi tukijiona!
 
Hiyo ndio raha ya biashara huria. Kama kwa hiyari unaenda saloon, unavua nguo zote kwa hiyari na kukwanguliwa kwa hiyari na unalipia kwa hiyari basi hakuna tatizo kama alivyotuthibitishia Kelly.
 
-mkuu achana na huyo.....alishasema ana mi tattoo mi5 mwilini na anajivunia.....na hii bikini wax inaonekana keshawachanulia miguu vinyozi anyolewe bwa ha ha ha ha ha

kweli ni aibu kubwa yaani anaachia sambusa halafu wengine wanafanyia kweli?kaenda kweli unyagoni?alifundishwa hivyo?

Aibu kweli elimu zingine aibu.hata sitaki kusikia.
 
Mh, makubwa!sidhani km ni maadili kwani ndio maana ikaitwa sehem nyeti, its for you and tour mwenza. km ni hivo ukiwa mtu wa kubadilisha salon,............cjui itakuwaje
 
mh, makubwa!sidhani km ni maadili kwani ndio maana ikaitwa sehem nyeti, its for you and tour mwenza. Km ni hivo ukiwa mtu wa kubadilisha salon,............cjui itakuwaje

kama kweli kuna dini na wote tunaenda kanisani yaani ni aibu kumuonyesha sehemu yako ya ndoa kwa mtu msiyekuwa na mahusiano ya ndoa kwa namna nyingine ni laana ambayo sijui siku ya kiama utasema ulikuwa ulikuwa huna kazi na wakati umeenda shule tena kwa kodi ya mzazi halafu kazi yako inakuwa kuchungulia nyuchi za watu wasio na mahusiano ya kindoa na wewe.

Ni aibu hata nikikuona unapita njiani ni kinyaa kwenda mbele.

Loohh tembea uone tutaiga hata visivyoigika!!!!!!!!!!!
 
Tulia mkuu....kelly hivi bongo zipo sehemu kama hizi..uchinani naona zipo.
 
Wanaume wa kibongo never cease to amaze me!....sasa aibu ipo wapi?yaani nyie bado mko kwenye ile karne ya mwaka 40 ya akina juma.....hebu wake up! acheni ooh aibu aibu!...endeleeni kukaa na kulalama tuu hapo na wengine tunasogea mbele.....pata experience!.....ndiyo nyie mkiona demu ufukweni kavalia bikini mtaanza ooh aibu sana hebu angalia yaani anatukalia uchi.....

kwenye mambo ya miss tuu bado mnalalamika ooh watavaaje nusu uchi!...
 
Wanaume wa kibongo never cease to amaze me!....sasa aibu ipo wapi?yaani nyie bado mko kwenye ile karne ya mwaka 40 ya akina juma.....hebu wake up! acheni ooh aibu aibu!...endeleeni kukaa na kulalama tuu hapo na wengine tunasogea mbele.....pata experience!.....ndiyo nyie mkiona demu ufukweni kavalia bikini mtaanza ooh aibu sana hebu angalia yaani anatukalia uchi.....

kwenye mambo ya miss tuu bado mnalalamika ooh watavaaje nusu
uchi!...

Kweli elimu zipo nyingi hata za kuchunguliana ila ni kweli kwa mtu ambaye hajui heshima ya sehemu ya ndoa anaweza sema kama usemavyo kwa eneo lenyewe lilishapoteza hadhi yake.

Na ndo maana mara nyingi ndoa za watu kama akina Kelly hazidumu kwa kuwa kila wakati sehemu yake na ya heshima kwa mmeo anaipeleka kumwanikia mtu mwingine eti kwa kuwa ameshatoka karne ya miaka ya arobaini ya akina jume na siyo hii karne ya akina Malcom.

Halafu mkikuta picha zenu zee utamu mnaanza kutoa macho kama mmefumaniwa wakati nyie wenyewe ndo mumejipeleka na kuwaaniakia wapiga picha.

Mungu awasemehe kwa kuwa hamjuli mlitendalo.
 
acha kumuingiza mungu...ww kama unaona ni dhambi then its you!.....sasa ww ndiyo mungu akusamahe kwa sababu you are judging people kwa vitu wanavyofanya....kwa kujiona kuwa ww ni mtu mwenye maadilimazuri nani kakwambia kufanya waxing ni dhambi?.....niambie kwenye sehemu gani ya dini inasema kufanya wax ni dhambi?!...ukishanieleza hilo nitakuelewa na nani kakwambia kuwa watu wanapoteza maadili?.....kama ingekuwa ni kupoteza maadili watu wasingepewa leseni kufanya biashara za SPA!......

Na pia nashangaa nani kakwambia ukienda kufanya wax unamchanulia mtu yule anayekufanyia ukiwa naked?.....nendeni kwanza mkafanye na nyie ndiyo mjue......don't just sit behind the computer na kuanza ku judge watu!.....

ungu akusamehe kwani hujui unaloliongea....
 
Kweli elimu zipo nyingi hata za kuchunguliana ila ni kweli kwa mtu ambaye hajui heshima ya sehemu ya ndoa anaweza sema kama usemavyo kwa eneo lenyewe lilishapoteza hadhi yake.

Na ndo maana mara nyingi ndoa za watu kama akina Kelly hazidumu kwa kuwa kila wakati sehemu yake na ya heshima kwa mmeo anaipeleka kumwanikia mtu mwingine eti kwa kuwa ameshatoka karne ya miaka ya arobaini ya akina jume na siyo hii karne ya akina Malcom.

Halafu mkikuta picha zenu zee utamu mnaanza kutoa macho kama mmefumaniwa wakati nyie wenyewe ndo mumejipeleka na kuwaaniakia wapiga picha.

Mungu awasemehe kwa kuwa hamjuli mlitendalo.

Umelazimishwa kuwa uku yaani wewe ? Toka asubuhi nenda kwenye jukwa la dini ukakemee watu.. Nenda siasa uko ukaone kuna trl wahindi wameiba watanzania kwa mara ingine...kacheki barrick wanachanganya watu wa tarime uko...spika anakuwa mbabe.
 
hahahahahahaha
 
HI5 Busweli hahahahaha!........naona jamaa anaanza kuleta mambo ya udini na kuanza kulaani watu!......sioni kitu chochote kibaya mtu kufanya ile roho yake inapenda!.....
 
hi5 busweli!....naona jamaa anaanza kuleta mambo ya udini na kuanza kulaani watu!......sioni kitu chochote kibaya mtu kufanya ile roho yake inapenda!.....

kazi kweli!!!!!!!!!!!!!!!!!! YAANI kELLY HUNA TOFAUTI NA ALIYELETA MAADA YA MADHARA YA KUTUMIA CONDOMU WAKATI TUPO KWENYE VITA DHIDI YA MAAMBUKIZI YA VVU KUELEKEA UKIMWI.

AIBU KWELI
 
kazi kweli!!!!!!!!!!!!!!!!!!

I guess it's about time kwenda kuniombea kwa sir god uh!......kwnai sijui nilitendalo..............mr/mrs Innocent....kama vile hujawahi kuzinzi nyooo!....hata haya huna!....sas anione haya ya nini kw akweli...nipe sababu ya kuona haya.....nani kakwambia kufanya wax ni dhambi?...na swala la condom na wax limeingiliaje hapa?.....kweli kweli hebu nieleze ndugu yangu!......

Chaku ndugu yangu..... hii issue yacondom na brazilian wax limeingiaje?.....
 
I guess sits about time kwenda kuniombea kwa sir god uh!......kwnai sijui nilitendalo..............mr/mrs Innocent....kama vile hujawahi kuzinzi nyooo!....hata haya huna!

kUZINI NA ALIYEWAHI KUCHUNGULIA NA MABIKI WAX AU MABRAZILLIAN SIJAWAHI.

KWELI AIBU TUPU!!
 
kUZINI NA ALIYEWAHI KUCHUNGULIA NA MABIKI WAX AU MABRAZILLIAN SIJAWAHI.

KWELI AIBU TUPU!!

Chaku my darling....Ni wapi wamesema kufanya brazilian wax ni uzinzi?...nieleze hiyo sehemu imeandikwa wapi kwenye bible au koramn........na ni uzinzi gani unaofanyika labda mwenzangu umeshawahi kufanya hivyo uko expert kwenye hii nipe details.....to me sioni uzinzi wowote..naenda nafanya usafi wangu wa mwili and i pay!....sioni uzinzi so far....
 
Unajua watanznaia sijui waafrika tuna undumilakwili wa hali ya juu....Mtu ameshupalia ooh sijui kukiuka maadili ya Kitanzania sijui ni ushetani ebo!! Kwani umelazimishwa kufanya? waache watu kwa raha zao wafanye au wachore tattoo.

Chaku, kwa hiyo na wakina mama/dada wanavyokwenda kwa gynecologist nako ni kukiuka maadili sio?
 
Dang EQ~!...Nilikuwa nimeshasahau hii issue ni kweli kabisa kufanya wax na kwenda kwa gyno hakuna tofauti yeyote...maana kuna gyno wa kike na wa kiume...labda wenzetu wanawake zao huwa hawaendo for check up or so called paps smear check up!........na kuweka tattoo vile vile siyo uhuni....that is why i love you EQ!.....
 
Back
Top Bottom