Recent content by mende dume2

  1. M

    CHADEMA kusimamisha shughuli kwa ajili ya sensa huku Fiesta Mwanza kuendeleza

    Sio hiyo tu, kuna swali pia kuwa pale nyololo haukuwa mkutano ulikuwa ni ufunguzi wa ofisi ambao uliwahusisha wanachama wa CDM na wapenzi, likiwa ni kilomiter zaidi ya 100 toka ofisi ya RPC ilimchukua muda gani RPC toka kujua tukio kuwasiliana na OCD kuandaa kikosi na kuwahi eneo la tukio? bomu...
  2. M

    Kilichojiri bungeni Tarehe 13 April (Muswada wa mafao)

    kabla hujalaumu, soma ukurasa wa 142, uone mnyika alisema nini na wewe unataka nini huku ukiuelewa mfumo wa bunge lako chini ya MAGAMBA
  3. M

    Kenya budget larger than rest of EAC combined

    Ungeeleweka kama ingekuwa Rwanda ina bajeti kubwa AM basi tungekaa kujadili kwa maana sio kawaida, vinginevyo nafikiri wewe na ninaamini ni mkenya uko kama wakenya wenzako ambao mnakwenda shule kujifunza kiingereza na sio vinginevyo! kama ukiangalia kwa ukubwa wa nchi, idadi ya watu nk, Rwanda...
  4. M

    Mtu kamtumia wife sms akijiita mchumba wangu!

    Wadau jamvini, kuna mtu kampigia waifu simu na kumpiga bit at ni mchumba wangu. Alipomuignore, akamtumia message akidai nipo naye na akampa namba yangu anipigie au aniombe nimpeleka, uzuri waifu alijua nipowapi nanilikuwa na wanangu. nataka kujua ni nani anatumia namba hii iliyotumiwa kusms...
  5. M

    Baba wa Taifa hakumtendea haki Kikwete, Ndio maana tuko hapa tulipo?

    DSN, yaonekana umeanza kumchukia nyerere, kabla hujaielewa habari uloipost. na unaonyesha kuwa hujui ukweli wake lakini, vyovyote uwavyo umeshamchukia! Huna lolote la maana unaonyesha mlengo hasi na kunauwezekano, msukumo wako sio hiyo issue kuna lingine zaidi.
  6. M

    Darasa la kutongoza kwa wanaume

    Angalia, asije akamwaga swaga zake afu ukanasa (gusa unate style), itakuwa ngumu ku-undo.
  7. M

    Chuo kipya kihesa-iringa kwa hehe wote

    Mtogwa hadi mkangafu, ukizidisha kidogo unakuwa mdindifu! This order is biochemically organissed as sugar, alcohol, liquor and finally keatone. hii ni kwa wataalamu wa organic chemistry, teh teh teh !
  8. M

    Maandamano ya Kumpinga JK Washington DC

    If this is planned by diasporas, then i am for Diaspora, what that means.
  9. M

    Jirani yangu kambamba live mume wake na beki 2

    teh teh, source ya hii habari?
  10. M

    Lissu Vs. Chikawe: Prosecute or Not to Prosecute Chenge in BAE Scandal

    Hoja hapa sio kukurupuka! unajua Lisu alisemanini? au basi kwa vile ameshambulia magamba, basi ni kichwakichwa nawe unamshambulia! Kwenye hoja yake alizungumza pia suala la idadi ya watu kuwa sio ajenda, inayofuata kwani shy, inawatu wengi kuliko Mby! hoja hapa ni equitable alocation of...
  11. M

    Hivi hii ya Waziri Mkuu imekaaje?

    gafai hata utendaji labda kutumwa!
  12. M

    Safu ya uongozi CHADEMA haipangiki

    kwanza elewa baraza halitakuwa kubwa kiasi hiki! Pili, waziri atakuwa ni Executive tu bila kuingiliana na legislatures, nchi itakuwa ndani ya utawala wa majimbo, tukiwa na majimbo 8.mashariki (Dar, Moro, Pwani na Tanga), Kusini -Lindi Mtwara na Ruvuma, inyanda za juu kusini-Njombe, Iringa...
  13. M

    Sala kuombea chupi ya mume baada ya kuifua: KWA WANAWAKE TU!!!!!!!

    Mkare, umeshtukia ukiandika kwa wanawake tu, wanaojaa kuisoma msj ni wanaume? hapo sasa........
  14. M

    Chadema wafanye yafuatayo ili kushinda uchaguzi ujao

    Malizia kuvua gamba, zen njoo sebureni tuongee.
  15. M

    Hotuba ya upinzani kuhusu mpango wa taifa wa maendeleo wa miaka 5

    WanaJF, hivi kunamwingiliano gani au uhusiano gani kati ya hotuba ya bajeti, Mpango wa miaka 5 maendeleo na ile mkukuta II iliyozinduliwa mwakajana? Inaonekana wazee wa magamba wameshahau, hata ilani yao inasemaje, tupo wapi na tunaenda wapi?
Back
Top Bottom