Hii miwaziri bure kabisa. Inashindwa vipi kuifungulia kesi hii mijizi, inayotuzamisha kwenye umaskini kila siku? Kwanza shitaki halafu ushahidi utafuata. Huyu Chenge kama Mwanasheria mkuu ndio alishawishi Barclays watoe mkopo kwa Tanzania, na ni wa gharama kubwa. Na yeye kupewa Dola milioni moja kwenye Akounti yake ya Franton Investments Ltd Account huko Jersey.
Huyu huyu Chenge, aliwaa mbia Barclays kuwa hatakaa washitakiwe na Tanzania. Kwa hiyo tuna mi-viongozi mingi ambayo kamwe hayana maslahi ya Taifa mbele, na nchi kama hii haitakaa iendelee. Bila nguvu ya Umma, huu uhujumu hautaisha.
Habari ndio hiyo!