Kumbuka kuwa chama 'is a living organ', kinakua. wakati TANU inachukua nchi toka kwa wakoloni, walioonekana kumudu ongozi walikuwa wachahe sana.....baadae waliongezeka ikiwa ni pamoja na wasomi kujiunga nayo na wengine maarufu katika jamii na wenye uwezo. chadema kikiingia madarakani kitaunda timu ndogo imara ya kuliletea taifa hili ukombozi wa kweli (toka kwa magamba). chama kitazidi kukua na kufikia kilivyo cha chenu cha magamba...japokuwa cdm watakuwa na mpango madhubuti wa kukomesha maadui wa nchi hii - ujinga,umaskini, maradhi, na sasa ccm.