Chadema wafanye yafuatayo ili kushinda uchaguzi ujao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema wafanye yafuatayo ili kushinda uchaguzi ujao

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kisendi, Jun 13, 2011.

 1. K

  Kisendi JF-Expert Member

  #1
  Jun 13, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 700
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  1. Waachane na maandamano
  2. Watafute wanachama kila pembe ya TZ na uongozi wote wa juu wa CHADEMA uwe na sura ya KITAIFA SIO KIKANDA
  3. WAMSHAWISHI MTU KAMA SITTA au KAMA dr SLAA ATAGOMBEA BASI wawe na timu ya kitaifa ili kama wakichukua nchi iwe ya kitaifa
  4. Kwa sasa chadema inakubalika kilichopo ni kutulia na kujipanga na watumie usalama wa taifa walio tayari kuipeleka mbele nchi yetu.


  BILA HAYO:

  1. Chama kitaonekana kina ukanda hata kama kitakuwa na umoja
  2. Washawishi wanachama hata kutoka CCM walio tayari na wenye sifa nzuri hata kama hawataingia sasa waingie dakika za lala salama
  3. Mwisho waandae vijalida na wabunge waliopo kazi yao sasa ni kwenda kule vijijini kuongea na wananchi kuhusu chadema,.

  Kwa hayo tunaweza kuitoa CCM otherwise itakuwa wimbo wa taifa.


  Nawakilisha mawazo yangu.

  Amina.
   
 2. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #2
  Jun 13, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,128
  Trophy Points: 280
  Sita ni nani? wewe unamuona sita ni wa maana sana? Sita ni mpambanaji mnafiki sana hapa Tanzania. Chadema hawawezi kukaa kimya kwa kuona watanzania wakinyanyasika. Lazima kushuka mabarabarani
   
 3. m

  mende dume2 Member

  #3
  Jun 13, 2011
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Malizia kuvua gamba, zen njoo sebureni tuongee.   
 4. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #4
  Jun 13, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Umetumwa na Six?
   
 5. K

  Kisendi JF-Expert Member

  #5
  Jun 13, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 700
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Sijatumwa lakini lazima tuseme hali halisi ya chama chetu, cdm
   
 6. N

  Ngonini JF-Expert Member

  #6
  Jun 13, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 2,024
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  cdm siyo kama magamba, kila kinachofanyika kimefanyiwa analysis, hawakurupuki. Nia ni kuing'ang'ania ccm kooni mpka izikwe!
   
 7. p

  plawala JF-Expert Member

  #7
  Jun 13, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 627
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kadi yako ya CDM namba ngapi vile
   
 8. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #8
  Jun 13, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280

  nakubaliana na wewe,hata kama umetumwa kuna ukweli nadani yake
  nafikiri chadema itafute strategy mpya za kujizatiti zaidi
  hali ilivyo haitoshi
   
Loading...