Sala kuombea chupi ya mume baada ya kuifua: KWA WANAWAKE TU!!!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sala kuombea chupi ya mume baada ya kuifua: KWA WANAWAKE TU!!!!!!!

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Mkare, Jun 16, 2011.

 1. M

  Mkare JF-Expert Member

  #1
  Jun 16, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 495
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naiombea chupi ya mume wangu, naitasaka kwa damu yako, anapotoka katika nyumba hii ivaliwe hapa na ivuliwe hapa tu. Kama ataivua sehemu nyingine tofauti na nyumbani kwangu baba iwe kwa ajili ya haja ndogo au kubwa tu. Naikabidhi ikiwa safi nilivyoifua mwenyewe naomba irudi safi niifue mwenyewe...Ameen.
   
 2. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #2
  Jun 16, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  amen..ikienda nyumba ndgo naye anaiombea pia;
  naifunga chup ya buz langu irud kwa mkewake salama na wala asijeshtuka km namchuna mmewe..mapenz yetu yadumu..haloooooo!!!
   
 3. senator

  senator JF-Expert Member

  #3
  Jun 16, 2011
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 1,927
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Duh!..wangekuwa wa mama wote wanasali hivyo nguvu ya ibilisi ingeshindwa!.
   
 4. M

  Mkare JF-Expert Member

  #4
  Jun 16, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 495
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Du! Ha ha ha... Noma
   
 5. Kimilidzo

  Kimilidzo JF-Expert Member

  #5
  Jun 16, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 1,346
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  Unamaanisha kuivua nusu mlingoti au kuivua yote?? Anaweza akakutana na Bhoke wakapiga gemu kwenye buti la gari bila kuvua chupi, anaiteremsha kidogo tu size ya kutoa kichwa pekee. Mi nadhani muombee yeye usiiombee chupi
   
 6. senator

  senator JF-Expert Member

  #6
  Jun 16, 2011
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 1,927
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Duh Atakoma kuringa!..kila pembe watu wanae tu!!
   
 7. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #7
  Jun 16, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  ahh awa bnadamu kwan wana dogo..ukizindika nayeye anazndika ukisali yeye anaswali..
   
 8. Anko Sam

  Anko Sam JF-Expert Member

  #8
  Jun 16, 2011
  Joined: Jun 30, 2010
  Messages: 3,216
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Wataalamu wa vodafasta hawana haja ya kuvua ni kupekenyua upande tu meli ina tua bandalini!
   
 9. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #9
  Jun 16, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,127
  Trophy Points: 280
  Wewe ni nyumba ndogo...
   
 10. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #10
  Jun 16, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,263
  Likes Received: 22,007
  Trophy Points: 280
  Mkare babushka kweli we ni mnoma kinoma ile kinomanoma
   
 11. f

  fukunyungu JF-Expert Member

  #11
  Jun 16, 2011
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 726
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  mmmmh. Mi napita tu...
   
 12. Ikumbilo

  Ikumbilo JF-Expert Member

  #12
  Jun 16, 2011
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 455
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nimecheka kwa tabasamu
   
 13. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #13
  Jun 16, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,506
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  naifarakanisha chupi hii na wezi wa mume wangu. kila waionapo wamuoone nae hana maana wala hana pesa. namkomboa mume wangu kwa damu ya yesu,kutoka kwenye utumwa wa dhambi. namvika roho ya usafir wa mwili na roho. nampatanisha na hofu ya mungu,aheshimu ndoa yake kama mm ninavyoheshimu ndoa yangu. in jesus name,ameen!
   
 14. m

  mende dume2 Member

  #14
  Jun 16, 2011
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkare, umeshtukia ukiandika kwa wanawake tu, wanaojaa kuisoma msj ni wanaume? hapo sasa........
   
 15. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #15
  Jun 16, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Ukitaka kutendewa mazuri,tenda mazuri kwanza,usikomae kumlinda mumeo wakati we mwenyewe 'call box'.
   
 16. A

  Adam waTZ Member

  #16
  Jun 16, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dahhh kweli mama anampenda mmewe dah!! Mpaka huruma.
   
 17. P

  Patflax jr Member

  #17
  Jun 16, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 72
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Wakati akisali hvyo hakumbuki kuwa mumewe yuko nyumba ndogo akiombewa na wachunaji?
   
 18. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #18
  Jun 17, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Kweli JF mwisho wa yote.... hadi chupi inachapiwa ombi???

  aisee.........:A S 114::A S 114:
   
 19. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #19
  Jun 17, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  mkare ni mkare sana aisee
   
 20. s

  sirgeorge Member

  #20
  Jun 17, 2011
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 89
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapo kwenye nyekundu ongezea pia na kama akienda kuchoma sindano hospitali.
  Ila hii sala haitakuwa valid kwa wamasai! Unajua ni kwa sababu gani?
   
Loading...