Muke Ya Muzungu
JF-Expert Member
- Jun 17, 2009
- 3,444
- 265
- Thread starter
- #841
Maandamano ni HAKI msingi ya Ki-Katiba kwa kila raia bila kujali yuko wapi kwa wakati gani. Hivyo vitisho vya mtu yeyote kwa Waandamanaji wa huko Washington DC ni kujipotezea tu muda bureeeeeeeeeee!!
Cha msingi shughulikeni na yale yanayowafanya watu kukereka kiasi cha kufikiria kutumia hii silaha ya mwisho wa maandamano. Unafikiri mtu gani anapendezwa tu kuandamana kama chizi hivo bila sababu yoyote: Banae, wenzetu tunawaunga sana mkono katika azma yenu hiyo kumpokea rais wa Jaji Makame kwa mabango huko majuu.
Tuendelee kupeana taarifa juu ya hili. Msikubali kukamatishwa hizo rushwa za dollar milioni 3 ili muache kuandamana. Utu wa Mtanzania kwanza na vijisenti baadaye.
Wataharisha kwenye ndege. Ila sioni sababu ya JK kujipeleka kwenye hii DICOTA. Anajiaibisha bure kusema kweli. Aangalie mambo mengine. Ata akijitokeza mtu mmoja, Kikwete atajidhalilisha kweli