Chuo kipya kihesa-iringa kwa hehe wote | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chuo kipya kihesa-iringa kwa hehe wote

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Panga La Shaba, Aug 19, 2011.

1. Panga La Shaba

Panga La Shaba JF-Expert Member

#1
Aug 19, 2011
Joined: Dec 24, 2009
Messages: 209
Likes Received: 3
Trophy Points: 0
[h=6]TANGAZO KWA WAHEHE WOTE:
Chuo kipya kabisa cha Kihehe kimefunguliwa Kihesa, Iringa.
(HEHE SKILLS AND TECHNICAL COLLEGE OF LIFE)
Kinatangaza kozi za mwaka 2011/2012 kama ifuatavyo:
1.Kugema ulanzi miezi 6
2.Kusokota kamba za kujinyongea miezi 9
3.Kuchagua mbwa anayefaa kuliwa na mapishi yake miezi 8
4.Kuongeza hasira miezi 10-12
Atakayejiunga mapema atapewa kozi ya upishi wa Mkunungu pamoja na uoshaji wa Mbeta.
[/h]

2. Kayoka

Kayoka JF-Expert Member

#2
Aug 19, 2011
Joined: Jun 21, 2011
Messages: 1,427
Likes Received: 168
Trophy Points: 160
Mwe mwe mwe mweee.!? Kamwene vayangu., mlimnofuuu.!?

3. DULLAH B.

DULLAH B. JF-Expert Member

#3
Aug 19, 2011
Joined: Apr 21, 2011
Messages: 674
Likes Received: 10
Trophy Points: 35
Hiyo thread yako peleka facebook. Hapa 2najadili mambo muhimu. Huoni matatizo yanayoikumba nchi ye2? Kalagabaho!

4. Maayo

Maayo JF-Expert Member

#4
Aug 19, 2011
Joined: Jul 21, 2011
Messages: 319
Likes Received: 0
Trophy Points: 33

Jokes/utani. Umesahau mkuu? Jukwaa la siasa lipo ungeendako.

5. J

JACADUOGO2. JF-Expert Member

#5
Aug 19, 2011
Joined: Dec 13, 2010
Messages: 930
Likes Received: 3
Trophy Points: 35
Wajameniiiii!!!!!

6. C

Cognitivist JF-Expert Member

#6
Aug 19, 2011
Joined: Aug 7, 2011
Messages: 774
Likes Received: 982
Trophy Points: 180

Hili ni jukwaa la utani, tukuulize wewe umefuata nini huku? Hujaliona jukwaa la siasa? Sometymz u nid 2relax,and take away ur stress even for a moment. Sote tunalipenda taifa letu na tunaguswa sana na matatizo yanayolikumba taifa letu.

7. R

Rushdie jr Member

#7
Aug 19, 2011
Joined: May 14, 2011
Messages: 41
Likes Received: 1
Trophy Points: 13
yan hapo kwenye mkunungu ndo nmeipenda course kihesa sehemu gan kwa mwachang'a? Au sokon?

8. mchemsho

mchemsho JF-Expert Member

#8
Aug 19, 2011
Joined: Jun 8, 2011
Messages: 3,158
Likes Received: 143
Trophy Points: 160

umesoma hapo juu brother? Iko mahali pake kabisa! Imekuchoma nini..ha ha haaa

9. Safety last

Safety last JF-Expert Member

#9
Aug 19, 2011
Joined: Mar 24, 2011
Messages: 4,224
Likes Received: 164
Trophy Points: 160
Dah i love iringa nimekaa sana Ngome pale maisha ya college!

10. g

georgelupembe Member

#10
Aug 19, 2011
Joined: Jan 6, 2011
Messages: 14
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Tunasubiria vyuo vya maeneo mengine

11. M

MASOKO Senior Member

#11
Aug 20, 2011
Joined: Mar 9, 2011
Messages: 118
Likes Received: 10
Trophy Points: 35
ada sh ngapi kwa kila kozi
pia hujasema kozi zinaanza lini
QUALIFICATION JE AU NI KUWA MHEHE TU INATOSHA

12. I

ITSNOTOK Member

#12
Aug 20, 2011
Joined: Jul 19, 2011
Messages: 44
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
and Yes it is a technical college. Mpaka uweze kufikia kuvuna ulanzi, kwanza uoteshe miti yake, ulanzi wenyewe unavunwa kwenye miti michanga, hii huwa na juice nzuri sana. Lakini unaweza kuuweka ukawa mtogwa au mkangafu. Kuna kiwanda kinataka kuanzishwa kwa ajili ya usindikaji wa kinywaji hiki, hakika ni kinywaji kizuri sana. Ikiwezekana kinaweza kuuzwa hata nje ya nchi, inategemea na hali ya uzalishaji. Tunataka kupunguza unywaji wa whisk za urusi ... monte de van .. heinken. Ni vema hela ikabaki kwetu ili tupate hata hela ya kufua umeme wa kiwila megawati elf 25. Inafahamika kwamba kila kabila lina aina yao ya pombe(extreme ni gongo), hivyo kwenu pia ipo, tuambie ni ipi ipo kwenu!!!

Kuna afande mmoja kajinyonga mitaa ya kihesa nasikikia ni mtu wa musom - (aroo hebu rirete huku), kuna watu wawili (mmoja mchiga -(yesu na maria) na mwingine mndombolo) walijinyonga chuo kikuu dar es salaam (2005/2006) sina updates kwa sasa. Nadhani knowledge hii inatakiwa na watu wengi, hebu chunguza kwako halafu uone mahitaji hayo ya kufungua pia huko kwenu... nategemea uwezo wa chuo unachotangaza utakuwa mdogo. Fuatilia takwimu za kujinyonga hivi sasa uone tatizo lilivyotawanyika..

Bata na kuku wote wanajisaidia, tatizo bata.. fuatilia, kuna nchi watu wanakula mbwa, paka, nyoka, konokono- china ni baadhi ya hizo katika baadhi ya vyakula nilivyotaja........... we umezaliwa upande gani, ninyi mnakula nini, kuna mkoa hapa nchini inasemekana wana historia ya kula watu, unaujua mkoa wako vizuri, usije ukawa wako hebu fuatilia, hivyo kozi yako ni ya kawaida mno haitapata wateja... jaribu hiyo ya kula watu. Tanzania tuna varieties za vyakula, so still selective.....

Lakini kozi ya hasira kila mmoja alishapitia tangu anazaliwa(inborn) kama huna hasira una matatizo, kamwone daktari atakwambia nyongo yako imepinda au la sivyo imetoboka na hivyo inakushindwisha kuchukia, ingawa unaweza kumwomba akusaidie kuitoboa zaidi ili uwe unacheka tu hata ukipigwa kibao(joke).
HIVYO OFFICIALY NAKIFUNGA CHUO CHAKO, FUNGUA MRADI MWINGINE, HUU HAUTAKULIPA.

ukiongea na watu utayapata haya ya watu

13. m

mende dume2 Member

#13
Aug 20, 2011
Joined: Sep 28, 2010
Messages: 37
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Mtogwa hadi mkangafu, ukizidisha kidogo unakuwa mdindifu! This order is biochemically organissed as sugar, alcohol, liquor and finally keatone. hii ni kwa wataalamu wa organic chemistry, teh teh teh !

14. Gurta

Gurta JF-Expert Member

#14
Aug 20, 2011
Joined: Sep 17, 2010
Messages: 2,246
Likes Received: 60
Trophy Points: 145
Kukurupuka mbaya sana. Symptoms za bange za kuanzia ukucwani

15. J

Jamsuldash Member

#15
Aug 20, 2011
Joined: Jul 14, 2011
Messages: 68
Likes Received: 6
Trophy Points: 15
Vipi ubeki tatu inakuaje?

16. I

ITSNOTOK Member

#16
Aug 20, 2011
Joined: Jul 19, 2011
Messages: 44
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Nimetoa mfano wa kujinyonga, hii pia inafanana, jaribu kufuatilia. Lakini vilevile hata uingereza kuna watumishi wa ndani. Tatizo wamekuwa hawapewi maslahi yao stahili kwa kuwa wanaojifanya waajili nao hawajiwezi kwamba wana kipato kidogo hasa kwa hapa Tz. Hii ingekuwa kazi bora kama ingeheshimiwa, kumbuka kuna ajira mbaya zaidi, nadhani unafahamu.
declare interest tafadhali.

17. Kibirizi

Kibirizi JF-Expert Member

#17
Aug 21, 2011
Joined: Feb 19, 2011
Messages: 602
Likes Received: 9
Trophy Points: 35
Mitanzania ndivyo tulivyo, dharau mbele takwimu za kimataifa zinaonyesha kazi ya chini kabisa ni ya ulinzi, u-house girl haupo kabisaa katika kazi za chini, nenda ulaya uone kama unaweza kumwajiri house! Vile vile ni vzr wachangiaji waweke wazi sehemu wanazotoka ili tuchambue. Nyani haoni kundule, yaweza kuwa watu wanaponda jamii nyingine ilhali(whereas) yeye ndio wa kwanza kuwa na simu, computer etc kijijini kwao, nenda Iringa leo kama utapata house girl.

18. I

ITSNOTOK Member

#18
Aug 21, 2011
Joined: Jul 19, 2011
Messages: 44
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Nimekupata vema Kibirizi

19. gambakuffu

gambakuffu JF-Expert Member

#19
Aug 21, 2011
Joined: Jul 2, 2010
Messages: 215
Likes Received: 178
Trophy Points: 60
NA cha wahaya kimefunguliwa ISHOZI KOZI KIANZIO NI UMALAYA NA ROHO MBAYA

20. f

fukunyungu JF-Expert Member

#20
Aug 21, 2011
Joined: May 16, 2011
Messages: 726
Likes Received: 29
Trophy Points: 45

huoni hata haya! Lol, kubwa jinga ilooo

Loading...