Mtu kamtumia wife sms akijiita mchumba wangu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtu kamtumia wife sms akijiita mchumba wangu!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by mende dume2, Mar 27, 2012.

 1. m

  mende dume2 Member

  #1
  Mar 27, 2012
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wadau jamvini, kuna mtu kampigia waifu simu na kumpiga bit at ni mchumba wangu. Alipomuignore, akamtumia message akidai nipo naye na akampa namba yangu anipigie au aniombe nimpeleka, uzuri waifu alijua nipowapi nanilikuwa na wanangu.

  nataka kujua ni nani anatumia namba hii iliyotumiwa kusms, 0755 55 18 57, naomba msaada.

  Nimeweka hapa kwani wiki iliyopita kunamtu aliweka namba 2 za matapeli, kunamdau alileta majina ya wanaotumia namba hizo. thread hiyo sijaweza kuipata nimeitafuta toka jana bila mafanikio

  Nisaidieni, nimpate mtu huyu

  wasalaam

  Mende
   
 2. tcoal9

  tcoal9 JF-Expert Member

  #2
  Mar 27, 2012
  Joined: Apr 5, 2009
  Messages: 255
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Njia rahisi ni kutumia huduma ya mpesa. Kivipi? Kwanza. angalia salio lako la mpesa. Let say una tsh 2,500. pili: Fuata procedure za kutuma pesa ILA TUMA KIASI KIKUBWA KUZIDI amount uliyonayo kwenye simu yako kwenye hiyo mamba. Mfano TUMA LAKI 2, wakati kwenye simu una elfu mbili mia tano. Utapoke ujumbe toka Mpesa kwamba huwezi tuma hicho kiasi kwa (JINA LA HUYO MTU LITAKUWEPO KWENYE HIYO MSG NA NAMBA YAKE) .Hivyo utafanikiwa kujua jina la huyo mtu iwapo tu HIYO NAMBA IMESAJIRIWA.
   
 3. B

  BASIASI JF-Expert Member

  #3
  Mar 27, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 2,546
  Likes Received: 114
  Trophy Points: 160
  na wewe mtumie kumwomba ukuta shida nini???mengine sio lazima yatatuliwe na mitandao mnamaliza wenyewe kwa akili ati loh
   
 4. i

  ismaelelvis Member

  #4
  Mar 27, 2012
  Joined: Nov 1, 2011
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  anaitwa RUKIA ZOMBOKO. FUATA USHAURI ALIOKUPA WA KWANZA
   
 5. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #5
  Mar 27, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,107
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 0
  Si ajabu ulishammendea ila umemsahau tu bwana Mende!
   
 6. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #6
  Mar 27, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,115
  Likes Received: 2,219
  Trophy Points: 280
  Ngoja ni log in kwenye switch za vodacom niangalie yupo maeneo gani..

  Ila kwa haraka haraka huyu jamaa ni muhaya ana ofisi posta jina lake linaanzia ni B....U,ni tapeli sana huyo mtu.
   
 7. Mangimeli

  Mangimeli JF-Expert Member

  #7
  Mar 27, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 1,158
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 160
  umeanzia mbalia kidogo kwa sabb no anayo amtumie tu 500,kisha ripoti ikirudi itakuja na jina la uliyemtumia,mpaka apo utakua ushamfaamu jina.
   
 8. B

  BASIASI JF-Expert Member

  #8
  Mar 27, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 2,546
  Likes Received: 114
  Trophy Points: 160
  mbona hansard yangu yaonyesha mchaga huyu@@@mmh wachaga wameanza kula wake za watu si shuguli kama kweli
   
 9. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #9
  Mar 27, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,799
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  ahaaa! Mmeshanifundisha ngoja na mm nitamfute mtuhumiwa wangu ananisumbuaga sana.
   
 10. sakasaka

  sakasaka Senior Member

  #10
  Mar 27, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 159
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  tafuta software hii spybubble ya kwenye pc au phone itakusaudia jua kila uanachotaka kutoka kwenye namba unayoitaji
   
 11. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #11
  Mar 28, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,547
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  we mkali....sikuwahi kufikiri ni rahisi hivyo!!
   
 12. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #12
  Mar 28, 2012
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,717
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Yes hii inafanya kazi aisee, lakini jamani sio vizuri kuweka majina ya watu hapa, labda ungem-pm aliyeomba hilo jina jamani, utakujashangaa jina la mkeo linawekwa hapa sijui utajitanguliza mbele za haki. Kazi kwenu.
   
Loading...