Hivi viongozi wetu wamerogwa, inakuwaje kila administration inakuja eti wanajenga nyumba mpya za mawazi, mara makatibu wakuu, mara magavana nao wanajijengea nyumba mpya. Jamani, si tumepata uhuru toka 1961, sasa wakati wote huo hao mawaziri, sijui makatibu wakuu walikuwa wanakaa wapi?. Hivi...