Ngoja nampigia simu malima halafu nitakuja kukujibu,, subiri usiondoke.. simu inaita.. ngoja....hallow malima... hallow..
nimefikia top life sio pabaya... Hali ya hewa morogoro safi sana. Napiga bia baridi kidogo then kesho vurugu za vikao.
Una maana hilux? Wanaiba sana laptop pale be careful
Mkuu, nenda Sofia Hotel. Ipo mjini kabisa na bei poa. Ipo pembeni ya Abood Bus.
Muulize yule naibu waziri....
Mkuu,
Usambara lodge ndio yenyewe. Pale unapata huduma executive kwa bei nzuri kabisa.
owned by Yusuf Makamba ... isn't it?
Hapo pana biashara ya kuuza K. Usithubutu kwenda.Kaumba night park
Iko mitaa gani?Bei poa na nzuri kiasi chake ni White House...ni 25 tu.sio mbaya sana!!