Uneducated people ambao ni wavivu wa kufikiri ndio wanaweza kuamini habari ya kuunganishwa unganishwa kama hii, eti " hiyo russian fleet" ime prepare report hii in what 2-3 days after the earthquake,come on, eti kwa ajili ya kutarget wa Iran, what a bunch of rubbish. Watanzania tuwe tunafikiri kidogo tunapoletewa habari na kuamnini at its face value. Tu maskini wa mali hata kufikiri jamani, this is sad.....