iPhone 3G | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

iPhone 3G

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by RealTz77, Jul 12, 2010.

 1. RealTz77

  RealTz77 JF-Expert Member

  #1
  Jul 12, 2010
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 742
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hello ninatumia iPhone 3Gs nliyokuwa nayo nje! hapa anyway haina tena network iliokuwepo ya At &T , so haiwezi kubali kuingiza programme ingine eg social networks, lazma ipitie iTunes kwanza ulipie etc na mimi acount yangu nlishafunga, kuna yeyote anaeweza nipatia namna kufanya au kuifungua iwe km normal hand sets? natumia kila kitu km internet, calls,sms, photo,google maps, musics(itunes) etc only applications km youtube,facebook, skype huku siwezi ingia kama other phones! watundu wa techology nisaidieni taf!
   
 2. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #2
  Jul 12, 2010
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,940
  Likes Received: 1,498
  Trophy Points: 280
  Nenda Shoppers Plaza kwenye ubao wa matangazo wa Shoppers Supermarket kuna tangazo la jamaa anaye unlock hizo I phone,pia pitia kwenye kijarida cha matangazo kinatolewa bure kila alhamisi kinaitwa Advertsing in Dar Es salaam kama sijakosea kuna jamaa hujitangaza kuwa hutoa hiyo huduma,ki google hicho kijarida kiko mtandaoni,pia unaweza kukipata pale internate cafe inaitwa Stambuli karibu na mgahawa wa Steers Millenium building makumbusho
   
 3. RealTz77

  RealTz77 JF-Expert Member

  #3
  Jul 12, 2010
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 742
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  thank you bro, nitafanyia kazi maelekezo yako,
   
 4. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #4
  Jul 12, 2010
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,940
  Likes Received: 1,498
  Trophy Points: 280
  Poa kijana karibu darisalama
   
 5. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #5
  Jul 12, 2010
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  "youtube,facebook, skype" zote ni bure so sidhani kama utatakiwa kulipia iTunes. But anyway ku-unlock iPhone wanaita jailbreaking so tafuta Google "How to jailbreak iPhone 3GS Version ....." weka version yako utapata instructions, ni kazi ndogo tu.
   
 6. RealTz77

  RealTz77 JF-Expert Member

  #6
  Jul 12, 2010
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 742
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  asante muzee, nipo ndani sasa kuna instructions hapa nafata za Cydia
   
 7. m

  masawila Member

  #7
  Jul 12, 2010
  Joined: Dec 25, 2007
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Kaka, I could be wrong but as of May 2010, hakuna mtu aliyekuwa ameweza ku- unlock Iphone 3gs duniani, I'm talking about nipo US na niliwahi kwenda kwa wahindi ambao ndio business yao. I phone zinazoweza kufunguliwa ni 1stGen na 3G pekee. Vile vile, ku jailbreak ni tofauti na Ku unlock...kujailbreak in maana unaweza kutumia hiyo simu kudownload programs bil ya kutumia mtandao wao(kama load Mp3 songs etc) ku- unlock ni kitu unachotaka kufanya wewe ili utumie mtandao wowote.
  But since this is July, someone might have cracked the code...Good Luck.
   
Loading...