'Dr' Aisha Kigoda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

'Dr' Aisha Kigoda

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by mmakonde, Jan 29, 2010.

 1. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #1
  Jan 29, 2010
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Kwa nini media zetu bado zinamwita huyu Naibu Waziri Dr wakati sio?
  Huyu ana mediocre Assistant Medical Officer(AMO),ambayo kwenye nyingine hawezi hata kushika mgonjwa1Hata Muhimbili wanajua,ndio maana huwezi kupata AMO au Medical assistant hapo!
   
 2. D

  Dr Willibrod Slaa Verified User

  #2
  Jan 29, 2010
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 675
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 60
  mmakonde,
  Lets be fair. Una hakika kuwa Muhimbili haina AMO's? Unasemaje kuwa Hospitali nyingi za wilaya Tanzania zilikuwa chini ya AMO's ( for lack of MD's) na wamefanya kazi nzuri sana. Wakati wote hao wameitwa madaktari. Je unafahamu kuwa WHO imetambua kada hiyo, na imekubaliwa kuwa hata na specialization, mathalan AMO (opthalmology)n.k. Nadhani unahitaji kutuwekea details zaidi ili Jamvi hili likuelewe vizuri.
   
 3. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #3
  Jan 29, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Heshima mbele mkuu. He could be wrong in some of the details but I think the real question is....is an AMO qualified to be called a doctor or use the title of "Dr."?
   
 4. Balantanda

  Balantanda JF-Expert Member

  #4
  Jan 29, 2010
  Joined: Jul 13, 2008
  Messages: 12,321
  Likes Received: 1,037
  Trophy Points: 280
  And who is a 'Dr'???...Haya mambo yanachanganya kweli,kwetu kjijini Tinde tushazoea hata Clinical Officer(wa zahanati ya kijiji) twamuita 'Dokta',pia Medical assistants(wa vituo vya afya) n.k...Wapenda lugha ya Kiswahili huwaita matabibu...Tabibu ni nani sasa???,napata tabu hapa,wajuvi nielewesheni hapa
   
 5. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #5
  Jan 29, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0

  Dokta is a person who practise as a general practitioner or a consultant physician and surgeons....a dentist is not a dokta....or a pharmacist is not a dokta either....
   
 6. Balantanda

  Balantanda JF-Expert Member

  #6
  Jan 29, 2010
  Joined: Jul 13, 2008
  Messages: 12,321
  Likes Received: 1,037
  Trophy Points: 280
  Nashukuru shem..Sisi kule kjijini tushazoea kuwaita wale maclinical officer madokta,na si vijijini tu,hata ukienda hospitali za wilaya na mikoa utakuta Medical Assistants na AMOs wanaitwa madokta...Btw kwa wajuvi wa lugha ya Kiswahili,hivi kuna tofauti gani kati ya Tabibu na Mganga???
   
 7. GY

  GY JF-Expert Member

  #7
  Jan 29, 2010
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Hebu mtukumbushe historia ya hawa AMO kwa hapa kwetu walianzia wapi. Na Dr Slaa unaweza kutupa refference ili tukajifunze mahali ambapo WHO wameitambua hii kada ili kujifunza zaidi? am interested
   
 8. p

  p53 JF-Expert Member

  #8
  Jan 29, 2010
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 613
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Mkuu huyu mama nilivyosikia ana certificate au diploma ya radiology na siyo AMO.Kama una uhakika ni AMO siwezi nikakubishia.Pale muhimbili kila mtu anaitwa dokta,hata wale auxiliary nurses.Na wengine wanajitambulisha hivyo mitaani.Nakumbuka kuna dada mtaani kwetu bongo alikuwa msukuma wagonjwa muhimbili siku hizo niko high school,eti nae mtaani alikuwa anajiita dokta.
  Lakini baadaye alikuja kuaibika.
   
 9. m

  masawila Member

  #9
  Jan 29, 2010
  Joined: Dec 25, 2007
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Ndugu zangu, hatuwezi hata siku moja kumwita mtu daktari espacially in healthcare field wakati hujakwenda shule kusomea hiyo taaluma ukaitwa daktari. Nakubaliana na Dr Slaa kwamba wapo ma AMO wengi wazuri tu ambao wameachiwa zahanati na wanaziendesha vizuri tu because of lack of qualified professionals(ie:MDs). Lakini asalani tusiwapandishe vyeo hawa watu na kuwaita madaktari, this is simply wrong. Na kama inafikia mtu katika hadhi ya uwaziri anaitwa au anajiita daktari na watu tunamwangalia tu, then there's something wrong in our society. Ndio maana hatuwathamini na kuwalipa madaktari wetu vizuri na kuwapa heshima wanayostahili, haiwezeki asomaye Muhimbili miaka 7 na yule wa kibaha wakawa katika hadhi sawa, one is an MD and the other is a Medical assistant. period.
   
 10. Mtabiri

  Mtabiri Senior Member

  #10
  Jan 29, 2010
  Joined: Jun 23, 2009
  Messages: 152
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Yale yale ya "Advanced Diploma ni sawa na degree" wapi na wapi? Diploma ni diploma na degree ni degree bana. Itabaki kuwa hivyo. Kwanza hata entry qualification za kuingia diploma ni far different from those that make one start his/her M.D classes. Leo tuwaone wote sawa kwanini? tutakua tunatenda haki kweli? are we motivating the medical profession or discouraging those that aspire to become MDs?
   
 11. K

  Kamuna JF-Expert Member

  #11
  Jan 29, 2010
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 297
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Then Asha Kidogo should publicly tell us where, when did she acquire her doctorate!Au recantation!
   
 12. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #12
  Jan 29, 2010
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,650
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  naona labda tumwite "duktur" Aisha Kigoda kama "duktur" Barubaru...bwahaaa
   
 13. Mchaga

  Mchaga JF-Expert Member

  #13
  Jan 29, 2010
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,371
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  media zetu si unazijua kwa uvivu wa kufikiri?
   
 14. W

  WildCard JF-Expert Member

  #14
  Jan 29, 2010
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,477
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Hazianzi media kuwaita. Tunaanza sisi na wao wenyewe wanajitambulisha hivo. Muhimu hapa ni kuwa professional boards kisheria kama walivyo wahasibu na NBAA yao au wahandisi na ERB yao ambazo zitatuambia na anastahili kuitwa "Dr". Kwa sasa madaktari, wanasheria, waandishi wa habari, wachumi,.... hawana boards kama hizi. Matokeo yake kuna kina "dr" Manyuki, dr Remmy Ongara, dr Kifimbo, dr Nchimbi, dr Mary Nagu,.....
   
 15. Gudboy

  Gudboy JF-Expert Member

  #15
  Jan 29, 2010
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 799
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Majungu tu
   
 16. Fugwe

  Fugwe JF-Expert Member

  #16
  Jan 29, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 1,680
  Likes Received: 230
  Trophy Points: 160

  Kwanza nikushukuru kwa kunifumbua macho, mimi nilidhani Dr.Aisha Kigoda ni PHD holder kumbe ni AMO??? hastahili kamwe kuitwa Dr. Lakini kwa watu wa kawaida kwenye jamii yetu hata NURSE ni DR. lakini kwa wasomi ni matusi ya nguoni
   
 17. K

  Kalimwage Member

  #17
  Jan 29, 2010
  Joined: Jan 29, 2010
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Suala la Aisha Kigoda kuwa Dr au Kutokuwa Dr, ambaye anaweza kutujulisha zaidi ni Associations ya Watabitu "Chama cha Ma Dr. " They have their ethics and regulations/bylaws as engineers or lawyers
   
 18. bullet

  bullet JF-Expert Member

  #18
  Jan 29, 2010
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 959
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  Kusema AMO ni dr ni sawa na kusema katekista au muijilisti ni Askofu! Incompatibles!
   
 19. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #19
  Jan 29, 2010
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Dr Slaa,unazungumzia Tanzania AMO kufanya kazi nzuri wilayani!!!!!!!!
  Wanaotibiwa ni walala hoi,ambao hawana haki na miili yao tena
   
 20. Brooklyn

  Brooklyn JF-Expert Member

  #20
  Jan 29, 2010
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,453
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145

  List ni ndefu mkuu, ngoja niiiendeleze kidogo..Dr. Nchimbi, Dr. David Mathayo, Professor J, Professor Maji Marefu, Dr. Lwakatare, Dr. Cheni.....aisee mpaka sisi tulio Nachingwea akija Professor J na Professor Issah Shivji tunawaweka wote kwenye kundi moja!! Hii ni hatari kwa jamii yetu kwa kila mtu kujitundikia cheo hasicho stahili.

  Naomba tusilaumu media zetu, tulaumu wahusika. Muhusika kama anaitwa Dr. au Professor na yeye anajua kwamba hastahili kuitwa hivyo kwa nini asikatae na kuweka wazi kwamba yeye si Dr. au prof?
   
Loading...