Rasta Mpoto abambwa akila nyama mchana kweupee | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rasta Mpoto abambwa akila nyama mchana kweupee

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Gang Chomba, Jan 28, 2010.

 1. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #1
  Jan 28, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,790
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Rasta mashuhuri hapa nchi Mrisho Mpoto mapema wiki hii amebambwa akiwa nyuma ya kiosk kimoja maeneo ya Posta akiwa anakunywa stone tangawizi huku akiudanganya utumbo kwa Sambusa za NYAMA.

  Mashuhuda walioshuhudia tukio hilo wamesema kuwa pamoja na mjomba kusimama ktk imani za Rasta za kutokula nyama lakini yeye mara kadhaa amekutwa akigonga vitoweo mbalimbali vikiweno FIRIGISI, PWEZA na mara kadhaa amekutwa akiwa kakumbatia bakuli la supu ya UTUMBO.

  ''yule nyie hamumjui, yule ana uchu wa nyama kama nini...kwani ile ndo mara yale ya kwanza?''....
  Alisikika Dada mmoja ambaye hakuonyesha kushtushwa na uroho wa Mjomba.
   
 2. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #2
  Jan 28, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,200
  Trophy Points: 280
  Kwani alisema hali nyama?
   
 3. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #3
  Jan 28, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,790
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Ndo maana yake.
  Alisema nyama hali ila mchuzi anakunywa.
   
 4. m

  masawila Member

  #4
  Jan 29, 2010
  Joined: Dec 25, 2007
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Kala nyama, so what....guys find some more important things to bring to the jamvi.....
   
 5. M

  Mwanjelwa JF-Expert Member

  #5
  Jan 29, 2010
  Joined: Jul 29, 2007
  Messages: 961
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35

  Hii forum imeingiliwa na machizi sasa.
   
 6. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #6
  Jan 29, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Hii inafaa kutolewa kule kwenye magazeti ya udaku......Ijumaa, Kiu, Sani n.k hapa kweli tumeingiliwa!
   
 7. Mchaga

  Mchaga JF-Expert Member

  #7
  Jan 29, 2010
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,371
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  udaku!
   
 8. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #8
  Jan 29, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Hamna udaku. Kwa nini udanganye kuwa huli nyama halafu huko machakani majiani wajipinda?? Shurti watu wawe wanasimamia wanayoyasema pamoja na kwamba haikuwalazimu kujiapiza mbele za wanajamii.
   
 9. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #9
  Jan 29, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Kaka umekosa cha kuandika! mwache Mtu wa watu ajinome minyama wewe kumekuuma nini? au unaona anakumalizia nyama
   
 10. mayenga

  mayenga JF-Expert Member

  #10
  Jan 29, 2010
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 3,758
  Likes Received: 558
  Trophy Points: 280


  mh!!!!!!!!!! Lakini nadhani PHILOSOPHY ZA WAAFRIKA ZINA MUSHKERI.
   
 11. Brooklyn

  Brooklyn JF-Expert Member

  #11
  Jan 29, 2010
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,453
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Mleta hii habari nafikiri kapotea njia!!
   
 12. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #12
  Jan 29, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,451
  Likes Received: 22,381
  Trophy Points: 280
  wwwdoti majungu doti kom ndio hii sasa.
  je kuna haja gani ya sisi kuingilia maisha ya ndani ya Mrisho Mpoto/
  Je kama akili nyama tunaathirika kwa kipi?
   
 13. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #13
  Jan 29, 2010
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Huu udaku tu!!
   
 14. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #14
  Jan 29, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,582
  Likes Received: 546
  Trophy Points: 280
  kwani kuna tatizo jamani
  kuna watu wengine zile rasta hair ni kama staili ameamua tu kuifanya
   
 15. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #15
  Jan 29, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 271
  Trophy Points: 180
  Is this a constructive idea we can share? Please JF your credibility is ruined with these UDAKU things, Kula NYAMA ajabu????? kafuga Rasta kama Fashion au IMANI, jiulize hapo mkuu!!
   
 16. Nyati

  Nyati JF-Expert Member

  #16
  Jan 29, 2010
  Joined: Mar 6, 2009
  Messages: 2,048
  Likes Received: 384
  Trophy Points: 180
  Alitangaza wapi kuwa hali nyama?!. Je umeishaenda huko kuulizia kama hajatengua kauli hiyo? Ama lazima akueleze wewe hapo? Tuwe watu makini vinginevyo TUTAPUUZWA TU.
   
 17. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #17
  Jan 29, 2010
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Hivi u-rasta ni kutokula nyama?, nyama gani sasa manake kuna watu wanajiita "vegetarians" wao uwa wanakula "vags" tu lakini haimaanishi hawawezi kuto kula "nyama" pale "vag" zinapokuwa hadimu au bei yake kuwa juu kuliko "nyama"...
   
 18. f

  furahaeliud Member

  #18
  Jan 29, 2010
  Joined: Aug 7, 2009
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  I dont see anything wrong with that, lete maada nyingine
   
 19. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #19
  Jan 29, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  aliyesema hali ni yeye
  aliyeanza kula ni yeye
  so what iz the problem?
  hii mabo peleka kule mitaani
  hapa siyo mahali vitu vya namna hiyo
  labda kwa unao fanana nao mawazo
  tena shindwa kabisaaaaa usirudie tena
  maana kula ama kutokula hakutuathili chochote
   
 20. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #20
  Jan 29, 2010
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,696
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  Quite right. Kuwa na nywele za kirasta siyo sawa na kuwa na imani za kirasta. Kwa watu wengine ni fashion au identity statement. Umekosa cha kuongea si unyamaze tu.
   
Loading...