Recent content by Makande 26

  1. Makande 26

    JamiiForums Tanzania Russia Military base in Mozambique

    Karibu nchi 35 zinatumia lugha yakifaransa kama lugha ya taifa
  2. Makande 26

    JamiiForums Tanzania Wajasiriliamali wa Tanzania tuna lipi la kujifunza kutokana na makosa ya kiufundi / kitaalam ya Mr. Kuku?

    Anzisha kaka mie ntakuja wekeza Una madini sana wachache wanaweza kuona positivity yako
  3. Makande 26

    JamiiForums Tanzania Home of AC Milan, Official Thread

    Dogo theo hernandez anatubeba sana Zlatan anajitolea mno[emoji106]
  4. Makande 26

    JamiiForums Tanzania Historia ya udhalimu ikihifadhiwa ni silaha kwa aliyedhulumiwa na huwa funzo jema kwa dhalimu

    Mzee wangu unapenda kuhubiri chuki sana kuliko upendo Mind you chuki haitolewi na chuki bali upendo Dawa ya moto ni maji sio moto.
  5. Makande 26

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ubunge Viti Maalum mkoa wa Dodoma ni vita ya vijana

    Picha ake basi[emoji6]
  6. Makande 26

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba muongozo wa Interview TRA

    Samahani kidogo kama ntakua harsh lakin kitendo cha kua umemaliza masomo na unataka ajira then unaomba possible questions sidhani kama ni vizuri
  7. Makande 26

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Kiafrika na kutojishughulisha

    Daa bro umetufokea kweli yani ila asante tutarekebisha [emoji41]
  8. Makande 26

    JamiiForums Tanzania Sikubaliani kabisa na Kampeni ya Black Lives Matter inayoendelea especially kwenye league ya Uingereza its Better iwe All Lives Mater

    Watu weusi tunapenda kuonewa huruma kama watoto au wanawake [emoji1][emoji1][emoji1]
  9. Makande 26

    JamiiForums Tanzania Je, kwa ili nililoanza kulifanya kwa huyu mpenzi wangu linaweza kuleta athari kwangu?

    Yani we ukiwa golikipa afu ukaona kipa mwingine anapasha nje ujue kabisa hatoki namba tisa [emoji23]
  10. Makande 26

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHAUMMA kushiriki Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 2020

    Sijui ni kwanin ila mzee nakubali sana Ana confidence level ya juu sana
  11. Makande 26

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maajabu: Kenya nao wafanya maandamano kupinga ukatili wa polisi Marekani

    Ni vizuri watu wote duniani hasa Africa hasa africa mashariki tena tanzania hasa hasa chato na njombe na sehemu zote tujue na kuelewa neno hili CHARITY BEGINS AT HOME
  12. Makande 26

    JamiiForums Tanzania Suala la ubaguzi wa rangi Marekani lina mzizi mkubwa

    Mwafrica racist wa kiwango cha lami
  13. Makande 26

    JamiiForums Tanzania Maandamano haya yanaweza kubadili uelekeo na kuwa sababu ya kumtoa Trump madarakani

    Trump atashinda tena tarehe 3 november na atarudi ofisini. Nashangaa watu mnaomuhukumu Trump kwa case za ubaguzi Kaka yenu baraka amekaa miaka 8 amefanya nini. Kwenye nyanja mbali mbali hapo US wapo watu weusi wamefanya nini. America for trump ni Rais wao mzuri uchumi wao upo mzuri unemployment...
  14. Makande 26

    JamiiForums Tanzania Kati ya kiarabu, kiingereza na kihispaniola ni lugha ipi ina wazungumzaji wengi duniani?

    Zimbabwe Zambia South africa Malawi Uganda Kenya Botswana Eswatin Ghana Nigeria Lethoto
  15. Makande 26

    JamiiForums Tanzania Kituo cha ITV, kwa hili nimewashusha

    Kwa kukatisha BBC sawa tu yani hata mtu uwe unapenda kukosolewa hawa BBC wamezi hawaoni lilijema hapa tanzania bora hata wale VOA swahili na DW kidogo BBC ni washenzi kabisa
Back
Top Bottom