Kituo cha ITV, kwa hili nimewashusha

Kituo cha ITV, kwa hili nimewashusha

Mzee mi mwenyewe nilikuwa naangalia, Ila nikasema labda ni coincidence tu, Ila ilipofika Al Jazeera wanarudia habari kwa kifupi, walipofikia ya Tanzania walikatisha tena
Walikatisha hata ule muhtasari Aljazeera walipoitaja Tanzania. Ila walisahau kule chini Aljazeera wanapitishaha yale maandishi ya habari zao, Tanzania iliandikwa pia
 
Walikatisha hata ule muhtasari Aljazeera walipoitaja Tanzania. Ila walisahau kule chini Aljazeera wanapitishaha yale maandishi ya habari zao, Tanzania iliandikwa pia
🤣 🤣 🤣 🤣
 
Habari zenu wakuu,

Hii Chanel ya ITV inakuwaga na utaratibu wa kurusha matangazo kutoka katika vyombo vya habari vya kimataifa Kama Aljazeera na DW.

Na katika habari kuu za leeo za Aljazeera mojawapo ilikuwa Kuhusu Tanzania na Corona. Cha kushangaza habari zingine zikarushwa lakini ilipofika Ile habari ya Tanzania wakakatisha habari ya Aljazeera na kuweka matangazo ya Isidingo halafu wakarudisha Tena Aljazeera baada ya Ile habari ya Tanzania kupita.

Kweli ITV mmefikia kiwango cha kuwa waoga namna hii kukataa raia wasione vyombo vya nje vinavyoizungumzia Tanzania?

Joyce Mhavile, Mkurugenzi wa ITV radio one angalia hili mama. Mnapoteza uaminifu na mvuto wenu kwa Watanzania.
majuzi Kati nilikuwa nasikiliza radio free pale wanapojiunga na dw,mada ilikuwa corona hapa tz,ebwana mada ilipamba Moto wachangiaj nikama walikuwa wanainyoshea kidole tz,sio mda wakakata mawasiliano nakuweka ule wimbo wa "unakitambi nikikupa utawezana"
 
Nilifikiri ni mimi peke yangu niliyoshangaa kumbe wengi tu. Nami baada ya vichwa vya Habari Al Jazeera saa sita mchana nikavutiwa!cha ajabu ktk huwa wakimaliza sehemu ya kwanza wanatoa tena muhtasari wa Habari zifuatazo basi hapo ilipofikia habari ya Tz na corona sauti ikashushwa!nikashangaa..nikaendelea kusubiri zikasomwa taarifa nyingine ilipokaribia sasa Habari kamili kuhusu Tz kile kipindi kikakatishwa hapo hapo na si kwamba habari ilitolewa ni kwamba kipindi cha Al Jazeera kikakatwa palepale!wakaleta kipindi cha kilimo!
Kweli itv hata Mimi leo nimewashangaa sana na cha ajabu wao kila siku saa mbili wanatangaza habari za update ya corona nchi nyingi pamoja na za east Africa huwa najiuliza huku ndio tulipofikia? Magazeti yameshakufa kwa style hizo Naona sasa local tv news zote zinaenda poteza mvuto soon
Huenda ndio kisa wengi siku hizi tunafuatilia Dw , BBC ,Al Jazeera na idhaa ya America.
 
Watu Wa kanda ya nyonyo hawatakiwi kupewa nchi, wana ushamba mwingi wizi ubabe, utendaji zero, exposures zero.
Mnatakiwa mjifunze.
watawala ni kutoka pwani na kanda ya ziwa.

pwani - mwinyi,kikwete na mkapa
kanda ya ziwa - nyerere,magufuli alafu kinakuja chumakingine cha kanda ya ziwa bashiru ally a.k.a mao setung.
 
Kwa kukatisha BBC sawa tu yani hata mtu uwe unapenda kukosolewa hawa BBC wamezi hawaoni lilijema hapa tanzania bora hata wale VOA swahili na DW kidogo BBC ni washenzi kabisa
Tushazoea manake tangu siku mingiii kituo cha radio "Radio One" huwa wanakatiza habari za BBC swahili asubuhi ama jioni endapo inajadiliwa mada ihusuyo Tanzania.
 
watawala ni kutoka pwani na kanda ya ziwa.

pwani - mwinyi,kikwete na mkapa
kanda ya ziwa - nyerere,magufuli alafu kinakuja chumakingine cha kanda ya ziwa bashiru ally a.k.a mao setung.
Acha porojo mataga
 
.
Screenshot_20200527-164957_Chrome.jpg
Screenshot_20200527-164720_Chrome.jpg
Screenshot_20200527-164756_Chrome.jpg
Screenshot_20200527-164811_Chrome.jpg
Screenshot_20200527-165045_Chrome.jpg
Screenshot_20200527-164912_Chrome.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha porojo mataga
bashiru ally prezidaa alafu mashinji pm.
kipindi hicho mdee na bulaya pesa za ubunge zimeisha wanadanga mjini.washkajiji wanabuluza tu,unashikamkono unapiga mashine ukimaliza unamtoa buku shingsaba anasepa.atuna mudamchafu wa kuweka kambi ni kupasha viporo tu.
 
Naona Mnataka tufe na mnafurahi sana watu wakifa..

Mbuzi ww
 
Hio habari nimeiona Aljazera na pia Focus on Africa jana usiku wamerusha, Hio public gathering ya huko beach kwa kweli ni Aibu sikutegemea watu waende vile tena bila tahadhari kweli swala la elimu tz bado sana yani wanaambiwa korona tumeishinda na wao wanalibeba ivo ivo? By the way mimi sinaga muda na iyo station ikifika saa mbili asubuhi na tune direct aljazera au France24hours sina muda na local stations mana wameamua kunajisi taaluma zao , Nikitaka Habari za nchi najua JF ni kila kitu ntakuwa updated tu ila sio kutegemea media zenu izi mana wana filter sana habari
Mimi nimpenzi pia wa fox news, CNN, MSNBC and NBC na Bloomberg hizi station bana wakiwepo political analysts au economists haswa Bloomberg wanamchambua Potus utapenda wako very open and they dont scare mpaka trump anakujaga kulia lia Twitter
Kuna vitu vinapaswa kuwa ndio jicho la serikali yetu pia mfano media
Ukweli ni kuwa hakuna tena vyombo vya habari kwa sasa Tanzania.Ninaongelea zaidi hizi traditional media kama radios na TVs.Kwa sasa kuna uharo tu.Full stop.
 
Habari zenu wakuu,

Hii Chanel ya ITV inakuwaga na utaratibu wa kurusha matangazo kutoka katika vyombo vya habari vya kimataifa Kama Aljazeera na DW.

Na katika habari kuu za leeo za Aljazeera mojawapo ilikuwa Kuhusu Tanzania na Corona. Cha kushangaza habari zingine zikarushwa lakini ilipofika Ile habari ya Tanzania wakakatisha habari ya Aljazeera na kuweka matangazo ya Isidingo halafu wakarudisha Tena Aljazeera baada ya Ile habari ya Tanzania kupita.

Kweli ITV mmefikia kiwango cha kuwa waoga namna hii kukataa raia wasione vyombo vya nje vinavyoizungumzia Tanzania?

Joyce Mhavile, Mkurugenzi wa ITV radio one angalia hili mama. Mnapoteza uaminifu na mvuto wenu kwa Watanzania.
Hizo local channels wengine tulishaacha kuziangalia maana hakuna habari zaidi ya ukasuku
 
Joisi ana familia mkuu, ana watoto na anasomesha. Asipofanya hivyo anajua atapambana na ada za watoto bila mafanikio, kukaa bila kazi kunauma mkuu! Kuishi ni kuchanga karata tu, ukizubaa na kujifanya gangwe utavuna magalasa. Msamehe dada wa watu tu na muhurumie alee watoto wake.
Kabisa,hapa umenena.
 
H
Mnamo saa 5 asubuhi ITV ilijiunga na Aljazeera English. Heading moja wapo ya news ilihusu hali ya Corona Tanzania.

Ilipofikia hiyo taarifa ITV WAKAWEKA MSULULU WA MATANGAZO na hivyo kuminya hiyo taarifa. Nilipokwenda jaazira moja kwa moja waliongelea tunavyoipuuza covid kwa kuonyesha yaliyotokea Dar es Salaam wakati wa Eid.

Zitto akazungumza yake. Wakazungumzia ya ubalozi wa Marekani. Wakaongelea pia ukosefu wa takwimu. Nikarudi ITV wakamaliza matangazo yao wakajiunga na Al Jazeera kwa topic iliyofuata.

HIVI NDIO VYOMBO VYETU VYA HABARI TUNAVYO VIAMINI. Au ndio uzalendo huo?
Hapo ndio ujue hakuna uhuru wa vyombo vya habari nchini . Hapo anaogopa.kuambiwa amerusha matangazo yaliyo na mahudhui ya uchochezi.
Ilikuwa superbrand sasa inaenda kushushwa hadhi inazidiwa na startv sasa kwa kujiamini.
 
Back
Top Bottom