Hhahahahahha Mungu nisamehe nimeshindwa jizuia.. hahaa kwamba dada kungwi😄😄🙌!Mama anauza komoni,
Baba fundi baiskeli,
Kaka anakodisha Cd,
Dada kungwi,
Familia kama iyo kuitoa na kutaka iwe level unayotaka ki taifa.
Ni ndoto maana hakuna hata inspiration kushoto kulia kote hamna wenye msaada w kifedha Wala ono la biashara, wameridhika na dhiki maana wamezaliwa zinawatolea macho😲
Yani kati ya watu ambao ni hasara kuwepo hapa nchini na Afrika kwa ujumla ni wewe aisee..dah! Sijui una umri ganiMkuu Chimbuko la tatizo linaanzia "Ikulu"
- Influencers, Marketing, Media, Strong Men, Celebrities wana impact kubwa sana kwenye maisha ya watu.
Mtu yuko tayari kunywa Pepsi kwa kuwa Diamond kapewa pesa aseme ni soda nzuri.
Mtu anawekeza kwa Mr. Kuku kwasababu Joti kapewa pesa aseme ni uwekezaji mzuri ( ingawa yeye hawekezi huko ).
Unapokuwa na Rais ( ambaye maneno yanapewa uzito sana na media+makanisa+misikiti )anahamasisha ngono na kuzaana unategemea ngumbaru watakuamini wewe?
Rais anapo discourage matumizi ya lugha ya kiingereza ( kwa kuwa yeye hajui ) unategemea watu wahamasike kujifunza ?
Halafu, Anataka watu wakafundishe Kiswahili nje ya nchi ( Utafundishaje Mwanafunzi lugha yako wakati lugha yake huijui )
Binafsi Nilijitutumua sana kujifunza English baada ya kumwona Kikwete anaongea kwenye podia kubwa kubwa.
In Short, Baba/Mzazi ndio first role model wa wanao.
Kwani Magufuli anaongoza bala zima la Africa? Au ndo yeye ametuongoza toka tumepata uhuru?Mkuu Chimbuko la tatizo linaanzia "Ikulu"
- Influencers, Marketing, Media, Strong Men, Celebrities wana impact kubwa sana kwenye maisha ya watu.
Mtu yuko tayari kunywa Pepsi kwa kuwa Diamond kapewa pesa aseme ni soda nzuri.
Mtu anawekeza kwa Mr. Kuku kwasababu Joti kapewa pesa aseme ni uwekezaji mzuri ( ingawa yeye hawekezi huko ).
Unapokuwa na Rais ( ambaye maneno yanapewa uzito sana na media+makanisa+misikiti )anahamasisha ngono na kuzaana unategemea ngumbaru watakuamini wewe?
Rais anapo discourage matumizi ya lugha ya kiingereza ( kwa kuwa yeye hajui ) unategemea watu wahamasike kujifunza ?
Halafu, Anataka watu wakafundishe Kiswahili nje ya nchi ( Utafundishaje Mwanafunzi lugha yako wakati lugha yake huijui )
Binafsi Nilijitutumua sana kujifunza English baada ya kumwona Kikwete anaongea kwenye podia kubwa kubwa.
In Short, Baba/Mzazi ndio first role model wa wanao.
Kwanza nianze kwa kukukosoa heading ya Uzi wako uko generally, kwa maana kwamba vijana wote na naeza kukuambia kuna wengine hata wewe hujafikia robo ya Mali walizonazo...wewe ni mmoja wa watu niliowataja pale juu nenda kajisome utajiona.....
😂😂Mama anauza komoni,
Baba fundi baiskeli,
Kaka anakodisha Cd,
Dada kungwi,
Familia kama iyo kuitoa na kutaka iwe level unayotaka ki taifa.
Ni ndoto maana hakuna hata inspiration kushoto kulia kote hamna wenye msaada w kifedha Wala ono la biashara, wameridhika na dhiki maana wamezaliwa zinawatolea macho😲
SafiiiiKwanza nianze kwa kukukosoa heading ya Uzi wako uko generally, kwa maana kwamba vijana wote na naeza kukuambia kuna wengine hata wewe hujafikia robo ya Mali walizonazo.
Pili kijana katika jamii ya kiafrika anaonekana katika mtazamo wa mtu aliekosa mwelekeo kama wewe ulivyowasilisha,na chakusikitisha zaidi hakuna mbinu mbadala zilizoletwa ama kupendekezwa kuwanusuru na hata waliojaribu kujinusuru wanaendelea kukandamizwa kwa manufaa ya wachache.
Hata hao unaowataja mabeberu wao kuna vijana wao ukiwakuta hata maadili hawana ni wahovyo kuliko vijana wa Afrika unaowaponda hapa,tatizo kuu ni mfumo uliopo ndio una tatizo je? Huyo kijana unayemwelekeza kesho akiamka asubuhi kwenda benki atapewa mikopo under carefully supervision,je? Taasisi ngapi kama SIDO zinamwezeshaje kijana in both technical and financial assistance.
Mfano U.S.A na Finland wanamifumo ya kusapoti vijana small business departments ambazo asubuhi ukiamka una idea yako wanakupata elimu ya kutosha na fedha under careful supervision mpaka ufanikiwe sisi wizara ya vijana hata 4% tu imeshindwa kufikia vijana.
Mimi ni nimesomea kada ya social science lakini tangu nikiwa chuo nilikuwa nikifikiri kujiajiri na kusaidia vijana wenzangu kujikwamua kiuchumi kwa kufanya hivyo nina CBO ambayo Mimi ni coordinator na mwanzilishi and our slogan is "Education and Empowerment for development"
Mpaka sasa ninaendalelea kuapply call for proposals za wadau mbalimbali kuangalia namna ya kujikwamua kiuchumi.
Nina vikundi viwili vya vijana tumesajili from scratch mpaka vilipo lakini sadly tangu January tuliapply 4℅ ya vijana hatujapata mpaka now lakini afisa Fulani Kaunda kikundi chake tayari na pesa anayo amesahau hata kama alipata.
Vijana tunapitia changamoto kubwa sana.
Don't take easy kuponda tu
Mashavu ubadilike sasaAisee..
Ukishapata ajira unaanza kuwaona ambao hawana ajira Kama wajinga, %kubwa ya vijana tunapambana Ila inafikia wakati Dili zote zinadunda, Hizi kauli zakuwa vijana hawataki kazi ni za kisiasa, wezesheni mazingira ya vijana kutumia talent zao na elimu walizo nazo Siyo kila siku kuhimiza watu wajiajiri wakati watoto wenu wakigraduate wanapachikwa vitengo huko TRA, BOT, MALIASILI, MADINI N.K na pia hamko tayari wala hawataki kuachia office kila siku kumsifia bwana Mkuu ili mdumu kwenye viti vyenu,Hawa vijana wa miaka 18 mpaka 23 hadi 26 wanaishi maisha ya ajabu sana, yani utakuta mtu kuanzia asubuhi mpaka jioni mtu amekaa tu barazani kusikiliza visingeri.
Huku mtaani ukimkuta kijana mwenye umri huo kashika kitabu anajisomea cha kuongeza maarifa basi kiama kesho kutwa.
Huku mtaani vijana wanafanya kazi ya kukimbizana kama kuku ili tu wafanye ngono.
Yani mtu afikirii miaka 17 ijayo yeye atakua kwenye hali gani mtu unaishi kama kuku, kazi kulishwa na baba na mama yako tu huna hata plan za maisha kwanini usiwe sawasawa na kuku.
Unaamka asubuhi unakunywa chai na maandazi ya mama; unaenda kwa wahuni wenzako kufanya ujinga unarudi mchana unakula ugali na dagaa wa mama then unatoka unakwenda kwa wahuni wenzako unarudi usiku. Usiku unakula wali na maharagwe ya mama unakwenda kulala. Ikifika asubuhi unafanya kilekile cha jana. Hii kwa waliokwenda shule na wasiokwenda shule.
Tumia muda wako kufanya vitu vya maana ambayo labda vitakua na faida kwako na kwa taifa lako sio kulilia ajira, tumia elimu yako kutatua changamoto zinazokuzunguka wewe na jamii yako na sio kulilia ajira kwani wewe huko shule ulikwenda kufundwisha ajira? Kasablanka kabisa, hii kwa wale waliokwenda shule kupoteza muda Kisha kuja kulilia ajira, upuuzi tu.
Huku mtaani ukiwakuta vijana wamekaa sehemu wenyewe wanaita kijiweni hayo maongezi yao ukisikia unaweza ukatikisa kichwa hadi kikang'oka. Wanaongea vitu vya ajabu mno: mademu, ngono, mpira ya Ulaya ila hata sentence moja ya Kiingereza hawaijui. Hutosikia wakiongea kuhusu maisha yalivyo ili wasolve changamoto zilizowazunguka, yaani wao kuishi na changamoto ni kawaida kabisa na hii ni moja ya sababu inayofanya Africans masikini wengi hiyo kwa wote aliyekwenda shule na aliyekwenda kabisa.
Wazungu wanaendelea kutokana na vijana wao wa kipindi hicho kushindwa kuishi na changamoto hivyo wakisolve tatizo hili na akili yao inatanuka ndo maana hadi leo wapo mbali na wao wanaendelea kurithisha vizazi vyao tabia hizo...
Ila kijana wa Kiafrika akipata changamoto anamwachia Mungu na kuendelea kulala huku akifikiria ngono na upuuzi mwingine, na wakati huo akirithisha vizazi vyake. Hata humu wapo wengi tu...
Hawa vijana ukiwaambia ukweli watakuona wewe ndo boya na mjinga na huku wanakutukana matusi...Watakukosoa kwa dharau na kejeli kumbe ni wajinga wanaoshindwa kutumia elimu zao kupambana na changamoto na kuishia kutoa nyodo; hii kwa waliokwenda kusomea ujinga shuleni...
Nyie vijana mbadilike; ngono na mambo mengine ya kijinga hayatowasaidia muda ndo huu hakuna second chance sio mkifika 30 hauna hata bakuli unakuja humu kulialia..
Ukweli siku zote unauma.
Mkuu Chimbuko la tatizo linaanzia "Ikulu"
- Influencers, Marketing, Media, Strong Men, Celebrities wana impact kubwa sana kwenye maisha ya watu.
Mtu yuko tayari kunywa Pepsi kwa kuwa Diamond kapewa pesa aseme ni soda nzuri.
Mtu anawekeza kwa Mr. Kuku kwasababu Joti kapewa pesa aseme ni uwekezaji mzuri ( ingawa yeye hawekezi huko ).
Unapokuwa na Rais ( ambaye maneno yanapewa uzito sana na media+makanisa+misikiti )anahamasisha ngono na kuzaana unategemea ngumbaru watakuamini wewe?
Rais anapo discourage matumizi ya lugha ya kiingereza ( kwa kuwa yeye hajui ) unategemea watu wahamasike kujifunza ?
Halafu, Anataka watu wakafundishe Kiswahili nje ya nchi ( Utafundishaje Mwanafunzi lugha yako wakati lugha yake huijui )
Binafsi Nilijitutumua sana kujifunza English baada ya kumwona Kikwete anaongea kwenye podia kubwa kubwa.
In Short, Baba/Mzazi ndio first role model wa wanao.
kifimbo cheza njoo huku Kuna mwenzioMkuu Chimbuko la tatizo linaanzia "Ikulu"

Hahahahahh mkuu sikia nikwambie....tangu siku ya kwanza naanza shule sikuwa na ndoto z kuajiriwa.....na huu ni mwaka was sita tangu nimalize chuo....cha kushangaza naingiza mlo mrefu kuliko mwalimu.......hata wanangu hawatokuja ajiriwa nitawajengea misingi ya kujitegemea ili waje kuendeleza nilichoanzisha.......hawatokuja kua Kam hao wala tunda kimasihara.....Ukishapata ajira unaanza kuwaona ambao hawana ajira Kama wajinga, %kubwa ya vijana tunapambana Ila inafikia wakati Dili zote zinadunda, Hizi kauli zakuwa vijana hawataki kazi ni za kisiasa, wezesheni mazingira ya vijana kutumia talent zao na elimu walizo nazo Siyo kila siku kuhimiza watu wajiajiri wakati watoto wenu wakigraduate wanapachikwa vitengo huko TRA, BOT, MALIASILI, MADINI N.K na pia hamko tayari wala hawataki kuachia office kila siku kumsifia bwana Mkuu ili mdumu kwenye viti vyenu,
.ulichocoment kinadhihirisha vilivyopo kichwani mwako it's non of my business......nimeweka hapa ili mbadilike ukianza na wewe mwenyewe......na usisahau hao ndio chanzo cha kuvunja sheria.....choose your word careful little boy....Ili mradi hawavunji sheria Hayakuhusu....umeshindwa kuwapa somo huko unaeleza hapa ili?
Acha unafiki
ukibadilike wewe tayari umebadilisha kizazi chako chote...Daa bro umetufokea kweli yani ila asante tutarekebisha![]()
..jishughulishe kwa kutumia akili n sio kwenda kichwakichwa....Sawa mkuu! Nimekuelewa..
Kwa niaba ya vijana wa Africa wasiojishughulisha, naahidi kuacha tabia hiyo na kuanza kujishughulisha kwa nguvu zote!