Recent content by Loading.....

  1. Loading.....

    JamiiForums Tanzania Babu Loliondo kufilisiwa???

    Wajinga ndio waliwao
  2. Loading.....

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Adoption

    naomba nisaidiwe kwa hili, ni process zipi unatakiwa kuzifuata ukitaka ku adopt mtoto Tanzania? nipo nje, nataka nirudi home ni adopt mtoto.(mtoto wa ndugu yangu) nahitaji kujua process za mtu ambaye ana uraia wa bongo na mtu ambaye hana uraia wa kibongo, ni tofauti au ni sawa? kuna ugumu wowote?
  3. Loading.....

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Make a status in facebook and it to say via Jamiiforums

    bado nasubiria
  4. Loading.....

    JamiiForums Tanzania ney wa mitego

    kabla ya hii topic nilikuwa simjui ney wa mitego, nimeenda youtube na kusikiliza wimbo wa itafahamika, ni balaa, imetulia, nausikiliza kila dakika, acha nijaribu na hizo nyimbo zake nyengine nione amevurugaje.
  5. Loading.....

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sifa kumi za mwanamke asiyekupenda

    you r right, nilipoona jamaa bado ameng'ang'ania ikabidi nimkatie mawasiliano na kumwambia asije nyumbani. He still in love with me till today,its about 10 yrs ago. I think Im gonna marry him.
  6. Loading.....

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sifa kumi za mwanamke asiyekupenda

    Ipo mkuu, mimi nilishawahi kuifanya, nilikuwa na jamaa, mapenzi yakaisha, ikawa tukienda beach, nikiona mwanamke mzuri namlazimisha akaongee nae, au nikiona mwanamke kajazia namwambia amuangalie na kuanza kumsifia huyo mwanamke, alikuwa sio mtu wa ma disco, kwahiyo nilikuwa namlazimisha aende disco.
  7. Loading.....

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Make a status in facebook and it to say via Jamiiforums

    nikitaka kuweka maneno yangu mwenyewe, na sio hayo ya kwako nifanyeje?
  8. Loading.....

    JamiiForums Tanzania hizi ndege za leo sio zile tulizo zoea

    lol.. mia
  9. Loading.....

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Open letter to all the men I loved before

    Divaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
  10. Loading.....

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania My Wedding Anniversary

    What a MAN on Earth. Big kiss
  11. Loading.....

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Blackberry Curve

    nahitaji blackberry curve yeyote ile hata 8310 poa tu, nipe bei, isiwe ya kichina, new or used, napatikana Dar Mikocheni, nitakufuata popote ulipo,isiwe nje ya dar, ila kibaha, bagamoyo naweza kuifuata kama bei ikiwa nzuri.
  12. Loading.....

    JamiiForums Tanzania Natafuta Graduate wa kike wa kuoa. Sifa hizo hapo.

    I wish I wish I wish I wish, kwanini nilikimbia accounting? and kwanini bado nasoma? bad luck. But all the best.
  13. Loading.....

    JamiiForums Tanzania Migodi ya barrick yazidi unyanyasaji kwa wa tz.

    Huyo waziri wa kazi au pinda ndio watafanya nini? kwani yameanza leo?
  14. Loading.....

    JamiiForums Tanzania Cameron akalia kaa la moto kuhusu Ushoga

    ndio tatizo la kukosa majukumu, kwenye nchi yake umeme upo, barabara nzuri, kazi zipo, hospitali za maana, usipokuwa na kazi unapata benefit. kwahiyo hana kazi ya kufanya zaidi ya kutangaza ushoga.
  15. Loading.....

    JamiiForums Tanzania Hajui kuhesabu siku zake

    at the age of 24 I was very professional, nadhani kwasasa nimeshakuwa professor, I wish ningemjua nimpe darasa la uhakika.
Back
Top Bottom