hizi ndege za leo sio zile tulizo zoea

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,888
Jeshi limeamua kuja na ndege aina nyingine tofauti na zile zinazopita kasi. leo wanazunguka kwa ndege moja kubwa sana yenyewe inapita chini sana ikikwepa majumba marefu. kidogo bawa lake liguse nguzo ya uwanja mpya. Nashauli wakaipark la sivyo mjini watu watakimbia ovyo ovyo. Mia
 
Kwani siku mia tayari?
Anyways, wanajaribu kuonesha mkono mrefu wa serikali.
Sawasawa?
 
Jeshi limeamua kuja na ndege aina nyingine tofauti na zile zinazopita kasi. leo wanazunguka kwa ndege moja kubwa sana yenyewe inapita chini sana ikikwepa majumba marefu. kidogo bawa lake liguse nguzo ya uwanja mpya. Nashauli wakaipark la sivyo mjini watu watakimbia ovyo ovyo. Mia

hilo dege kubwa la kijivu nilishawahi kulipipiga jiwe, rubani alipiga yowe huyoo!!!! Bujibuji utaniua mwana, dege lenyewe hili lilitumika kwenye vita vtya majimaji...
Bujibuji kama kawa, just making your night to be very special
 
Ile ndege c ilitegenezwa kwa ajili ya kubebea mikate na kutupia raia wakat wa vita ndo mana inapita chinichini.100
 
hilo dege kubwa la kijivu nilishawahi kulipipiga jiwe, rubani alipiga yowe huyoo!!!! Bujibuji utaniua mwana, dege lenyewe hili lilitumika kwenye vita vtya majimaji...
Bujibuji kama kawa, just making your night to be very special
vipi ile makofi ya yule mama, umechukua PF3 mkuu?, kutibiwa ni muhimu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom