Open letter to all the men I loved before

Nazjaz

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
7,684
8,833
kwenu mabrazameni, waheshimiwa, waume wa watu na wooote wale ambao sikuwatajeni hapa.

Mapenzi ni kitu kitamu sana kwa muda mfupi, haswa yakiwa featured na big shoppings, outings and vacations.

Ukiona umeachwa haimaanishi uendelee kung'ang'ania. Tafuta mwingine.

Ninapo acha huwa nina sababu zangu nyingi tu za kuamua kufanya hivyo.

Kwa sasa sihitaji tena simu zenu za vilio vya kuniomba niwasemehe na kufanya marudiano, wala sitaki simu zenu za ahadi kemkem.

Bahati niliyo watunuku ya kuwaonjesheni pepo ya kitandani imesha pita.

Sasa nimempata wangu, nimpaye pepo na paradiso zote, maraha na mahaba shatashata niliyo nayo na ninayo yajua ni mali yake.

Naomba tafuteni wa aina yenu.
 
Miss drama queen in action!
Smile,hajasema kafunga mahesabu, wa sasa nae akiachwa anaungana na wenzie kuusoma waraka huu!
Kila la kheri nazjaz mwaya
acha kumuombea mabaya shem wetu haachwi huyo
 
kwenu waume wa watu
Ukiona umeachwa haimaanishi kung'ang'ania. Tafuta mwingine.

Ninapo acha
sihitaji tena simu zenu za vilio

Bahati niliyo watunuku ya kuwaonjesh imesha pita.

Sasa nimempata wangu,
Naomba tafuteni wa aina yenu.

mh unamikwara we dada na waume wawenzako.kumbuka nawakwako atang'ang'ania kwa mwingne na hatakubali kirahsi kuwa defeated.
 
na umepagawa na muyo cku umeteleza 2 nkikubinua,unaandika waraka mwingne kumweleza maneno haya haya ya leo,kwendeni kulee,nyie ni we2 na ni kama bus 2 akishuka,wanapanda.za mchana?
 
Keshasema pepo zenyewe zinasupotiwa na big shoppings, outings na vacations! Unadhani huyu wa sasa hivi hatakaa apigike? Kamuulize mke wa Liyumba ama small houses zake watakusimulia! Dunia duara bebii!
acha kumuombea mabaya shem wetu haachwi huyo
 
kwenu mabrazameni, waheshimiwa, waume wa watu na wooote wale ambao sikuwatajeni hapa.

Mapenzi ni kitu kitamu sana kwa muda mfupi, haswa yakiwa featured na big shoppings, outings and vacations.

Ukiona umeachwa haimaanishi uendelee kung'ang'ania. Tafuta mwingine.

Ninapo acha huwa nina sababu zangu nyingi tu za kuamua kufanya hivyo.

Kwa sasa sihitaji tena simu zenu za vilio vya kuniomba niwasemehe na kufanya marudiano, wala sitaki simu zenu za ahadi kemkem.

Bahati niliyo watunuku ya kuwaonjesheni pepo ya kitandani imesha pita.

Sasa nimempata wangu, nimpaye pepo na paradiso zote, maraha na mahaba shatashata niliyo nayo na ninayo yajua ni mali yake.

Naomba tafuteni wa aina yenu.
Kwahiyo una mapepo??
 
Back
Top Bottom