Make a status in facebook and it to say via Jamiiforums | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Make a status in facebook and it to say via Jamiiforums

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by e2themiza, Dec 18, 2011.

 1. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #1
  Dec 18, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 973
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Habari zenu wakuu kuna app nimetengeneza via facebook.. ambayo itakuwezesha kupost on your wall sayin via Jamiiforums kama kwa mfano ukipost kupiia simu yako inasema via mobiel, or via blackberry e.t.c so i thought it was cul also making one saying via Jamiiforums na icon yake pia If you want to try it out au kushangaza watu open this link.. Inatakiwa uwe tayari logged in nda ufungue iyo link useje sema nataka kuhack account yako bure :lol: apo utaweka your status then click share na itapost on your wall via Jamiiforums:

  Log In | Facebook


  Here is a snap of the above link:

  Snap_2011.12.18_12h01m45s_002_.jpg

  And pia if you want isema maneno mengine i can also make kama tyari nimetegeneza another inayosema:

  Via nokia ya tochi dont ask why it nanya biz :p

  Na nimeipost leo morniing hehe here is the snap:

  hacked.jpg


  OK HAVE A NICE SUNDAY!!!
   
 2. Imany John

  Imany John Verified User

  #2
  Dec 18, 2011
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 2,781
  Likes Received: 265
  Trophy Points: 180
  iyo via jf itasaidia sana kutangaza chama letu humu.
   
 3. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #3
  Dec 18, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,276
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo wewe ni muintelejensia??unataka kujua hata akaunti zetu za fesibuku??no no no!
   
 4. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #4
  Dec 18, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 973
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  haha na hapana mkuu iyo sio madhumuni yangu. Ata hvyo siwezi nikajua account yako na iyo link au inauyo input iyo status sio mimi bali ni facebook wenyewe mimi nilichofanya nikutengeneza app ambayo itasema ivo. Leta nikirud hom kwenye pc nitaonyesha jinsi utakayo fanya hii na kuweka maneno unayotaka.
   
 5. IrDA

  IrDA JF-Expert Member

  #5
  Dec 18, 2011
  Joined: Aug 26, 2010
  Messages: 639
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 60
  e2themiza,hebu wake basi link hiyo ya nokia ya tochi...
   
 6. Loading.....

  Loading..... Member

  #6
  Dec 18, 2011
  Joined: Nov 1, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nikitaka kuweka maneno yangu mwenyewe, na sio hayo ya kwako nifanyeje?
   
 7. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #7
  Dec 18, 2011
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Alafu watu wa uraiani wanijue kua mimi Mwali ndio fulani wa facebook? Mwambie Neema ambae aliunganisha ID yake ya JF na FB
   
 8. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #8
  Dec 18, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 973
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Ok wakuu hii ni ya ile ya nokia ya tochi nitarudi leta kidogo:

  Log In | Facebook
   
 9. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #9
  Dec 18, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 973
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Cjakupata apo???
   
 10. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #10
  Dec 18, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 973
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Vuta subira later niki kaa fresh nitaelezea :poa
   
 11. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #11
  Dec 18, 2011
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Nauliza hivi: Nikipost kitu humu kama Mwali, alafu FB status yangu inaonesha kua XXX (jina langu halisi) amepost .... on facebook, huoni kama anonymous status yangu iko hatarini?
  Alafu nikaongeza: hiyo itamfaa dada Neema (a JF member) ambae amesha unganisha ID yake ya JF na ya FB.
  Umenipata sasa?
   
 12. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #12
  Dec 18, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 973
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Yani ni kwamba hamna link yoyote au connection ya account yake na jf ni maneno tu ambayo yatatokea.. Na pia kule ikiandika via jamiiforums mtu ataweza kujua upo jamiiforums lakini there is no way akajua ninani wa jf.. Kama nilivosema ni maneno tu hamna connection yoyote.
   
 13. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #13
  Dec 18, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  na kutuwezesha kujua majina ya ukweli wa membaz
   
 14. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #14
  Dec 18, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 973
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Hapana mkuu as i sed apo juu hamna connection. Na ni maneno tu na pia mtu yoyote wa fb ambayo pia sio member wa jf anaweza weka hvyo
   
 15. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #15
  Dec 18, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,880
  Likes Received: 1,563
  Trophy Points: 280
  aku sitaki... Naogopa wazee wa intilejinsia.
   
 16. Loading.....

  Loading..... Member

  #16
  Dec 19, 2011
  Joined: Nov 1, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  bado nasubiria
   
 17. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #17
  Dec 19, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 973
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Mkuu tyari nishaelezea nimetengeneza thread mpya na bdo ipo angalia kwny jukwaa utaona:
  Step by Step Toturial to
  hack Facebook via status
  and input anything you
  want!!!
   
 18. Mayasa

  Mayasa JF-Expert Member

  #18
  Dec 19, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 587
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  ooh hapa nimeelewa sasa..
   
 19. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #19
  Dec 21, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,668
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Ni hatari kufanya kama huyu e2themiza anavyotaka. Hatari kubwa ni kujikuta information zako zote anazo. Inaitwa hacking. USIJARIBU
   
 20. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #20
  Dec 21, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,807
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  hahaha acha kukimbia kivuli chako mwenyewe Mwali,ukiweka hapa your real ID.....unakuwa more cautious,huandiki upupu wala kumtukana member mwingine lol,kila mtu angefanya hivi huoni JF ingekuwa raha???lol,halafu umejuaje hii ndio ID nayotumia facebook?lol umenitafuta eeeh?anyways watu wananijua unayemuona JF ndie mtu halisi..lol
   
Loading...