My Wedding Anniversary

Hongera sana umenipa motisha sana na umeongea kwl tupu ndoa ukiipenda lzm ikutendee haki cn miaka mingi sana ndani ya ndoa lkn cjawah kujuta kuolewa kiac hata ikitokea mume kanikosea namsamehe kabla hata hajaomba msamaha. Mungu awajalie maisha marefu zaidi.
 
Hongera sana x-paster kwa hatua hii kubwa na kwa kumjulia mkeo. Mpe hongera zake pia kwa kukujulia na kuuteka moyo wako kiukweli. Mungu awajaalie maisha marefu zaidi, I am so proud of u kama kichwa cha nyumba kwa kuthubutu na kuweza kuongoza meli yako. Big up!
 
Kiongozi, Allah (SW) awape baraka na amani tele, na pia awakuze watoto kayika misingi ya Unyenyekevu.
 
Mungu akubariki na kukuzidishia uzao wako mkuu.

Hongera sana ndugu yangu
 
Kaka hongera sana nami najifunza kitu hapa kutoka kwako pindi niingiapo nami iwe zaidi na zaidi ,Mungu aendelee kuwabariki kwa dhati kabisa
 
Heri yako wewe uliye na shukrani za dhati kwa mkeo,
na MUNGU awabariki sana.
 
Wengi wangeleta positive side nyingi za ndoa ingesaidia vijana wasiogope ndoa!

Hongera sana Paster na my wife wako!
 
hongera sana, tutoboleeni siri la mapenzi ya kudumu na sisi tujenge.
 
Daaaa hongera sana tena sana mkuu naamini kuna mafanikio mengi sana ndani ya nyumba endapo mtakaa na kuelewana.......
Ni kweli kabisa maneno yako.

ndoa yenu ni mfano wa kuigwa hiyo.
Lakini pia kuna watu ndoa zao ziko kama zina nuksi, mkosi na mabalaa.zimejaa chuki, ghadhabu na kukasirikiana.
Mkuu, nuksi ni jinsi wenyewe mnavyoendesha maisha yenu, mkiendesha kwa ubinafsi na kutosikilizana na kujaliana kweli mtayaona maisha ya ndoa kama nuksi, lakini ni wenyewe kwenye ndoa ndio mnaoweza kutengeneza maisha ya furaha au kuraha.
Siku zote tuna choice mbili katika maisha "kujenga au kubomoa" the choice is yours.

Hongera sana sana Mkuu
Ahsante mkuu

Hongera sana mkuu. Nawaombea muendelee kudumu pamoja.
Nashukuru sana kwa dua yako mkuu.

Hongera sana mkuu.Mungu awaongezee miaka mingi yenye furaha tele.
Nami nasema nawe pia Mwenyezi Mungu akupe furaha na maisha marefu yenye afya na siha njema, wewe na familia yako Insha'Allah.
 
Hongera sana mkuu! mungu aendelee kuwapa maisha mema na yenye upendo ambao umeuelezea hapo juu...Mungu awabariki sana...
 
Hongera sana 12 si mchezo.
Ahasnate sana Fe Lady.

Hongera sana umenipa motisha sana na umeongea kwl tupu ndoa ukiipenda lzm ikutendee haki cn miaka mingi sana ndani ya ndoa lkn cjawah kujuta kuolewa kiac hata ikitokea mume kanikosea namsamehe kabla hata hajaomba msamaha. Mungu awajalie maisha marefu zaidi.
Hayo ndio mambo yanayotakiwa kwenye ndoa, ukiweza kusamehe na kujisamehe mwenyewe, ni moja ya dawa nzuri sana ya kujiepusha na maradhi makubwa kama vile magonjwa ya shinikizo, sononi (depression) na hata magonjwa ya akili, maana mwili wako unakuwa haujengi sumu ndani kwa ndani, wataalam wanasema kuwa mwenye kupenda kuchukia wenzake na asiyependa kusamehe wenzake basi anakaribisha maradhi ya unyonge na kuufanya mwili usiweze kufanyakazi vema.

Keep it up my sister.

Hongera sana x-paster kwa hatua hii kubwa na kwa kumjulia mkeo. Mpe hongera zake pia kwa kukujulia na kuuteka moyo wako kiukweli. Mungu awajaalie maisha marefu zaidi, I am so proud of u kama kichwa cha nyumba kwa kuthubutu na kuweza kuongoza meli yako. Big up!
King'asti shukran sana kwa maneno yako mazuri na ya kutia moyo.

Kiongozi, Allah (SW) awape baraka na amani tele, na pia awakuze watoto kayika misingi ya Unyenyekevu.
Oh! my brother long time no see, umepotelea wapi wewe, karibu tena kaka.

Mkuu nashukuru sana sana ndugu yangu.
 
Back
Top Bottom