Migodi ya barrick yazidi unyanyasaji kwa wa tz.

Wababa

Senior Member
Jul 21, 2011
158
14
Hbr zenu wana jamii wote wa humu ndani, ebana nimekuwa nikitembelea migodi yote ya barrick ikiwemo north mara, (nyamongo) buzwagi, tulawara, pamoja na bulyanhulu, ktk migodi hii kwanza kuna unyanyasaji wa hali ya juu hasa kwa watz, hawa jamaa wageni kutoka nje ya nchi wamekua wanakuja hawajui chochote, yani kuhusu kazi utashangaa anakuja kaburu anafundishwa kazi na wabongo, baadae anakuja kuwa boss na kuanza manyanyaso kwa wale waliomfundisha, kitu ingine kwa mgodi kama wa northmara kuna mess za wabongo na mess za watu kutoka nchi zingine, kitu ingine ebu imagine anatoka mfilipino huko kwao kwaajili ya kuja kujaza mafuta kwenye malori yanayosomba mchanga, mshahara wake ni ml 12 kwa mwezi, wkt wanasema watanzania ni wezi wa mafuta, nakumbuka kabla ya kuja hao wafilipino ile kazi ilikua inafanywa na wa tz, ambae kazi ile ile anayelipwa mfilipino ml 12 mtanzania alikua analipwa laki tatu na nusu, kwa kweli hii ki2 inauma sana, unyanyasaji wa hali juu ndani ya ardhi yetu, fundi mechanics anayemfundisha kazi expart kutoka ghana au south africa analipwa 750,000 wkt expert ambaye hajui kazi analipwa ciggarete money kwa wiki sawa na mshahara wa mechanics, security guard kutoka ufilipino wamejaa north mara hawana la maana wanalofanya, hv hii serikali inafanya nini???? Mbona haitembelei maeneo kama hayo waongee na wafanyakazi!!!
 
prezdaa wenu mkapa alisha sema mkilipwa pesa nyingi wafanyakaz watahama serikalini
 
Hii kitu kama unataarifa zako za maana nenda kawakilishe kwa waziri wa kazi akishindwa peleka kwa mzzee Pinda moja kwa moja
 
Hii kitu kama unataarifa zako za maana nenda kawakilishe kwa waziri wa kazi akishindwa peleka kwa mzzee Pinda moja kwa moja

Kwa TZ yetu hata upeleke kwa nani ukimya ndo utatawala na ikiwa namnagani vp wakutambarize
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom