Recent content by kichwadongo

  1. kichwadongo

    JamiiForums Tanzania Msaada: Njulisheni jinsi ya kufika arusha kwa gharama nafuu ukitua na ndege uwanja wa kia

    gharama za kutoka kia zinawahusu wenye kampuni ya ndege uliosafiri nayo!!
  2. kichwadongo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nampenda rafiki wa dada yangu ila namheshimu dada yangu! nipeni maujanja

    pole eroo!! wachana naye huyo!!
  3. kichwadongo

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Harakisheni sheria ya Usalama mitandaoni

    bigup mkuu!!
  4. kichwadongo

    JamiiForums Tanzania Mlipuko tena Arusha, jeshi la Polisi watuhumiwa

    Kauli ya pinda inafanya kazi ,,,,
  5. kichwadongo

    JamiiForums Tanzania Customer care wa hii mitandao ya kibongo hovyo sana

    Voda ndo wanaongoza kwa huo ushenzi, ata ukiwafuata kwenye page zao fb au twitter huko ndo balaa tupu!
  6. kichwadongo

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu gari BMW Series 3 ama Subaru Impreza

    Kasema km 9.8 kwa lita!
  7. kichwadongo

    JamiiForums Tanzania Hivi kiingereza ni ishara ya maendeleo au ulimbikeni?

    Ukajifunze kiingereza, ukajifunze kipare, ukajifunze kichina yote sawa! Na wala kuongea kiingereza sio kuwa umesoma erooo!
  8. kichwadongo

    JamiiForums Tanzania Hivi kiingereza ni ishara ya maendeleo au ulimbikeni?

    hahaha, apo msee umechemka! kujifunza kiingereza ni sawa na kujifunza lugha yoyote ile duniani!
  9. kichwadongo

    JamiiForums Tanzania huyu ndie mwenye karata ya kuiangusha CCM 2015 kwa kila namna

    Uhakika anao, si anajua alishatabiriwa na yule mhubiri wa Nigeria!
  10. kichwadongo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania I looooveeee uuuu

    Dyu! kama ndo yeye! nampa hongera huyu masai kwa kuchagua!
  11. kichwadongo

    JamiiForums Tanzania Choo cha kuchuchumaa kinanishinda.

    Mwisho na cha kukaa kitakushinda, utataka cha kulala na mgongo!
  12. kichwadongo

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtoto mbichi umu

    Hahaha! kweli dunila ina mambo!!!
  13. kichwadongo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Acha kuchezea mke wa mtu bwana, jamaa apigwa hadi kuuwawa huko kigoma

    Mke wa mtu ni hatari sana!
  14. kichwadongo

    JamiiForums Tanzania Re- introduction

    Hapa ndo kila kitu, karibu mnooo!
  15. kichwadongo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rafiki yangu kaniponza

    vya bwelele!
Back
Top Bottom