Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,834
ikiruhusiwa tutakuning'iniza kichwa chini miguu juu angalau zidondoke chenchi chenchi za rambirambi tuziwakilishe kwa muhusika.
Ha ha ha haaaaaaa ha haaaaaaaaaa,uuuuuh!! Mbavu zangu mie

Nini Gongo? Colorado (USA) wameanza kuuza bangi rasmi kihalali toka janaKwa hiyo unataka kutuambia polisi wetu ni vichaa au?
Hapo gongo haijaruhusiwa mnapost vitu kama hivi ikiruhusiwa itakuwaje?
hahaha Leo naona umeamka vibaya mkuu. hawa vijana wetu hawa tabu sana...
Ha ha ha haaaaaaa ha haaaaaaaaaa,uuuuuh!! Mbavu zangu mie
Mkuu nitakuwa sikatizi mitaa yenu sasa, manake hii ishu ya kitengo cha rambi rambi inaelekea mnanionea wivu sana.ikiruhusiwa tutakuning'iniza kichwa chini miguu juu angalau zidondoke chenchi chenchi za rambirambi tuziwakilishe kwa muhusika.
Kwa hiyo unataka kutuambia polisi wetu ni vichaa au?
Hapo gongo haijaruhusiwa mnapost vitu kama hivi ikiruhusiwa itakuwaje?
Kwa hiyo unataka kutuambia polisi wetu ni vichaa au?
Hapo gongo haijaruhusiwa mnapost vitu kama hivi ikiruhusiwa itakuwaje?
Tutawapiga Tu!