Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,948
- 13,378
Najuta kuiva mapema, opportunity zinanipita mie.
U mzima lakini?
Nalog off
Najuta kuiva mapema, opportunity zinanipita mie.
Najuta kuiva mapema, opportunity zinanipita mie.
mwallu na tinna cute mbona mnajitoa ufahamu hamjamwelewa mtoa mada...? anataka mtoto mbichiiiii
kabichi? alozaliwa na miezi chini ya tisa?
mwallu na tinna cute mbona mnajitoa ufahamu hamjamwelewa mtoa mada...? anataka mtoto mbichiiiii
ambaye hajala chumvi nyingi, na ambaye hajakutana na majaribu mengi pia.....upo apo
Me nimeiva nakaribia kuungua.... Happy new year Kaizer!
Humu wote wameiva wabichi sidhani kama wapo kwelimtt mbishi yani hakupikwa akaiva ama?
Anataka akampike mwenyewe kwa mapish yake,vip ww umeshaiva?Wewe ni umeiva au! ni kwanini wataka mtoto mm`bichi?
same to you my love,umeuona salamaMe mzima miss u so much,,, happy new year Washawasha.
Mbichi=bikira? Wapo Jf kweli
Mtoto mbichi niko hapa......we sema hivo vijisent ni sh ngapi
Sharti:Tunamalizana hapa hapa hamna mambo ya kuja PM
Anataka akampike mwenyewe kwa mapish yake,vip ww umeshaiva?
Anhaa nilikuwa nauliza tu bial shaka na mlaji yupo maana kikiiva bila kuwa na malaji kitapoa ukipasha radha ya mwanzo inapoteaNiive mara ngapi? si nitarojeka jamani.
Anhaa nilikuwa nauliza tu bial shaka na mlaji yupo maana kikiiva bila kuwa na malaji kitapoa ukipasha radha ya mwanzo inapotea
Duh nadhani utafaaa kwa kazi flani flani hebu niPM tinna cute....happy new year too
Mimi ni dalali wa watoto wabichi....
Lete dau nikuletee kifaa kibichiii..