Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,914
Nilimuambia aniombee msamaha muache kunisakama.
Kwani mi nakusakama?
Don't you that i love you?
Au huko ndo kukusakama???
Nilimuambia aniombee msamaha muache kunisakama.
Hahahaa haaaa
Nimeenda vyakutosha..na ninampango akitokea leo nimpeleke pale miti miwili masaki nikafunge naye mwaka na kuanza mingne
Babu DC keshanikana. Haya nihukumu utakavyoooo sina mtetezi.Kwani mi nakusakama?
Don't you that i love you?
Au huko ndo kukusakama???
Naona hunitakii mema ndugu yangu....hiyo angle siiwezi kabisa..
Babu DC!!
Babu DC keshanikana. Haya nihukumu utakavyoooo sina mtetezi.
Kwani yeye anapenda jina au anampenda Lala moko..??Mmh. Yaani unapendwa na mtu hata kuandika jina lako hajui!
Babu DC keshanikana. Haya nihukumu utakavyoooo sina mtetezi.
Si nimekuambia nakupenda???
Hii ndiyo hukumu??
Nafikiria kubadili msimamo wangu....
Babu DC!!
Babu can you stay away from this please...???????
Si nimekuambia nakupenda???
Eti nini kaka??
Haya bwana, chaguo ni lenu, dunia ni yenu.....lol!!
Babu DC!!
Hahahaaa. Na Mungu ananipenda pia.
Eti nini kaka??
Haya bwana, chaguo ni lenu, dunia ni yenu.....lol!!
Babu DC!!
Heee? Ngachoka.Nataka uwe mtu maalum kwangu
Yaani yule ambae tunakuwa nae muda wote hata wa kulala
Umenipata sasa?
Maana nyie hamkawii kujidai hamuelewi...lol!!
Heee? Ngachoka.
Kuna tatizo??
Hujipendi eeeeh? Mwenye mali anaku zoom tu kumamake.