Choo cha kuchuchumaa kinanishinda.

Unaweza kutengeneza kiti au stuli yenye uwazi katikati. Unapohitaji kujisaidia unaweka kiti/stuli usawa wa shimo na kukaa juu yake. Utaona maisha yalivyo rahisi. Kila la heri.

hahahaha, asante kwa ushauri.
 
hahahaha, asante kwa ushauri.

Mbona umecheka JEKI? Hiyo ndo mbinu tunayotumia huku kijijini kwenye vyoo vya mashimo (pit latrines). Nikadhani itafaa pia kwenye vyoo vya 'kihindi'.
Hiyo staili (ya stuli) inafaa sana hata kwa wazee/vikongwe ambao kuchuchumaa kwao ni mtihani. Ningekuwekea picha lakini mchina wangu si rafiki yanapofikia masuala ya picha.
 
Last edited by a moderator:

mchango wako umekuwa wa maana sana kwangu, siyo kwamba nimecheka bali nimefurahi, kuna tofauti kati ya kucheka na kufurahi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom