- Thread starter
- #21
Bado ni rafiki yako?
Mpaka sasa sijaonana nae. cku nikimwona tu Nataka kujua kwa nn alinifanyia vile!!
Bado ni rafiki yako?
Rafik yangu kaniita tuenjoy pamoja. Nikamkuta bar yupo na madem wawili mara akanikabidh mmoja (sikuwa namjua huyo demu) kisha akaondoka bila kulipia akanambia MALIZA kila kitu.
Mi nkajua maliza kila kitu niende kugonga papuch!! kumbe ilikua kulipia garama. Mara bili ikaja jumla ya bil yangu 11000/= bil ya rafik yangu 32000/= jumla inakua 43000/= wakat huo mi nimefulia kweli kweli yaani nilikua nina 17000/= tu nkaona hapa ntaumbuka tu ikabidi nimwambie demu nakuja naenda choonu, nikatoroka nikasepa nkamuacha dem anaendelea kunywa.
Hata sijui ilikuaje nyuma huko!!. KAMA NI WEWE UNGEFANYAJE???
Kilichofuata > yule dem aliweka cm yake pon pa1 na via2 vyake. Kumbe yule dem alikua anajua anapokaa yule rafiki yangu. Akaenda kuripot polisi akafungua kesi kwamba jamaa kamgegeda na hakumlipa kisha akamwibia na hela zake 60,000/= na kumkimbia bar, kwa hiyo anadai amedhalilishwa na kunyang'anywa cm na via2 na wahudum. >Leo asubuh jamaa alikamatwa na yuko nje kwa dhamana.
mkuu umenichekesha balaaa ,stress zimepungua!
Ningefanya kama ulivyofanya wewe.......
Kilichofuata > yule dem aliweka cm yake pon pa1 na via2 vyake. Kumbe yule dem alikua anajua anapokaa yule rafiki yangu. Akaenda kuripot polisi akafungua kesi kwamba jamaa kamgegeda na hakumlipa kisha akamwibia na hela zake 60,000/= na kumkimbia bar, kwa hiyo anadai amedhalilishwa na kunyang'anywa cm na via2 na wahudum. >Leo asubuh jamaa alikamatwa na yuko nje kwa dhamana.
hivi Ukahaba Bongo ni legal?me sijaelewa apo. Kesi imeitwaje .wanasheria msaada tutani. Hivi ukimtumia changu bila malipo unashtakiwa kisheria ama inakuweje
ulivyo fanya sivyo yule dada km hana kitu kabisa unafikiri ulivyomawcha ni sahihi??? sijapendezwa kabisa
Kilichofuata > yule dem aliweka cm yake pon pa1 na via2 vyake. Kumbe yule dem alikua anajua anapokaa yule rafiki yangu. Akaenda kuripot polisi akafungua kesi kwamba jamaa kamgegeda na hakumlipa kisha akamwibia na hela zake 60,000/= na kumkimbia bar, kwa hiyo anadai amedhalilishwa na kunyang'anywa cm na via2 na wahudum. >Leo asubuh jamaa alikamatwa na yuko nje kwa dhamana.
labda imeandikwa ni ya wizi wa hiyo 60,000
labda aisee