Recent content by igoji

  1. I

    JamiiForums Tanzania Nataka kuwa wakala wa kuuza gas, nifanyeje?

    Wana jf, Mimi ni mjasiliamali mdogo mwenye mtaji unaokaribia millioni 10, nataka nibadili biashara hii nifanyayo na kuanza kuuza gas za ORYX au Lake gas. Kwa kweli sifahamu taratibu zozote za kufuata niweze kuuza hii product kutoka kwenye kampuni hizi. Mwenye ufahamu cha kufanya anijuze plz.
  2. I

    JamiiForums Tanzania Fundi wa laptop morogoro

    Nenda kwa GIFT ELECTRONICS maeneo ya mzunguko wa kambarage, barabara ya kwenda SUA.
  3. I

    JamiiForums Tanzania Wema Sepetu Na Mpenzi Wake MPYA

    Jamaa aliekua na wema ana undugu na kigogo wa juu hapa nchini, ila namsikitikia kwani "HILO NI JIKO LA SHAMBA HALICHAGUI KUNI" matete, maboriti, mbuyu, twende tuu!!!!!!!!!!
  4. I

    JamiiForums Tanzania Tukumbuke timu zetu za mitaani

    Yetu africans - saidi mrisho (zico wa kilosa)
  5. I

    JamiiForums Tanzania "Giving money abroad to Africa - It has to stop"

    JUST LISTEN VIEWS OR IDEAS FROM DR. DAMBISA MOYO (ZAMBIAN) ON HOW ABROAD AID TO AFRICA IS NOT WORKING? SHE IS AUTHOR OF THE BOOK "DEAD AID" Why Aid to Africa is Not Working - YouTube
  6. I

    JamiiForums Tanzania Mh Pinda Acha Uoga!

    Alishawahi kusema na tuuvunje muungano tuone nani atataabika.
  7. I

    JamiiForums Tanzania ukimya umenishinda,nisaidieni jamani.

    Pole sana, ila shule za secondary zipo nyingi tuu, nenda kafundishe. eg peleka CV yako na vyeti na barua ya maombi pale wizara ya Elimu wakupangie shule. ila uking'ang'ania dar ndugu utakwama. anza na ualimu then michongo mingine baaadae.
  8. I

    JamiiForums Tanzania Mboma aamua kuifanya TANESCO uwanja wa vita...

    Duuu!!!!!!!!! nchi yangu Tanzania unaelekea wapi? na hii ndo shida ya kuwaweka retired officers kwenye bodi za mashirika.
  9. I

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa walimu wanukia, na wafanyakazi wa migodini kuacha kazi

    Jamani huku kenya waalimu wana mgogoro na serikali wanataka waongezewe salary kwa 300% yaani from Ksh.24000 to 72000. wako serious kwelikweli. Nanyi TZ kazeni kamba ili mziilishe kuwa vichwa vyenu sio vya kuoteshea nywele tuu. LIWALO NA LIWE.
  10. I

    JamiiForums Tanzania Mwakilishi SSRA apewa vidonge ndani Geita Goldmine Ltd

    mjumbe auwawi. tusimamishe kazi zote tulilekebishe hili kwanza. Duu inauma sana hasa kwa sisi vijana. HAIWEZEKANI LIWALO NA LIWE.
  11. I

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu biotechnology

    Hii kozi ni nzuri sana, lakini kwa TZ ni vigumu sana kupata kazi kwenye Halmashauri za (w) ambazo ndo zinachukua graduate wengi, kiufupi hakuna ngazi yako katika Halmashauri za (w). eg Halmashauri zinachuua waalim, madaktari mabwana mifugo etc. ila kuanzia mwaka jana baadhi ya wizara zimeanza...
  12. I

    JamiiForums Tanzania Mwanawani eti huyu anafanana na nani?!!!

    Anafanana na mtoto wa mkulima.
  13. I

    JamiiForums Tanzania morogoro mjini 2015

    Huyu yupo cuf hapo kazuga tu na hiyo bendera. Mtatiro analijua hilo.
  14. I

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Aibu kubwa sana kiongozi wa magamba(Lukuvi) aliposhushuliwa na Lissu bungeni
  15. I

    JamiiForums Tanzania Kwa waliosoma DODOMA CENTRAL SEC SCHOOL

    Ni kweli Dodoma Central ilipungua vigezo, lakini wizara ingefanya jitihada kuakikisha secondary ile inaboreshwa,. kuifunga ni kuwakosea wanaosoma na kufanya kazi pale. Labda kuna fisadi anataka lile eneo pale ashushe mjengo. let us wait and see.
Back
Top Bottom