Tukumbuke timu zetu za mitaani

masharubu

Senior Member
May 5, 2010
155
10
Wanajamvi leo tukumbuke timu zetu za mtaani jinsi zilivyoleta mchango mkubwa katika soka la nchi hii kwa kutoa wachezaji wa timu za madaraja ya juu na hata taifa mfano

1. Maumau - alitoka ally maumba
2. Super bomboka - hilal hemedi,hamdu hemedi 9marehem), baby sempoli
3. Ibadan - saidi jeck, bakari jeck, mohd mwameja, hassan jeck (marehem), saidi kolongo
4.walunguli - hassan juma (marehemu)
5. Dume- mchunga bakari (marehemu)
6. Mwanzange rangers- salimu waziri tupa
7. Cabodelgado - hussein mwakuruzo, ally mwakuruzo
8. Kimbangulile - ally samata, mbwana samata
9. Mogo - ally mustafa (bathez)
10.sigasiga - kassimu mwajeki
11. Dandee - duncan mwamba

haya nanyie wadau tupeni majina ya timu zaidi na wachezaji walizotoka
 
1.Sifa united - Madaraka na Iddi Seleman Kibode. 2. Future - Abubakar Kombo 3. National Choigoda - Abdallah Msheli 4. Nivada - Richard Mbwambo 5. mnnrovia - Athuman Machupa 6. Napoli - ben Luoga, halid Bitebo
 
Kuna kipindi mtaa mmoja kulikua na timu za upinzani zilikua zikicheza mpaka ulinzi wa polisi uwepo, mfano kinondoni enzi hizo ilikuwepo mesina zikikutana na faru inakua balaa
 
NA NILICHOGUNDUA NDUGU WENGI WALICHEZA KATIKA TIMU MOJA ZA MITAA KAMA

1. SAIDI JECK (MAREHEMU) , BAKARI JECK NA HASSAN JECK (MAREHEMU)

2. MBWANA SAMATA NA ALI SAMATA

3. Madaraka na Iddi Seleman Kibode

4. HILAL HEMED NA HAMOUD HEMED

5. WAKINA IBRAHIMU MAGONGO
 
politan/abubakar salum,frank kasanga,mustafa hoza
avengers/charles mngodo,alberto rweyemamu,moses mkandawile,john ndunguru
 
Jogoo Basha timu ya Sheikh Pole (R. I. P) ilikuwa inatisha sana pale Uwanja Ngoma.
Pia zilikuwepo timu kama Volkano ya Kiba, snowhite ya K wa Uzunguni, Forest timu ya B. O. T, pamoja na Jah People timu ya Charles wa Barabara ya Tano
 
Last edited by a moderator:
Kuna kipindi mtaa mmoja kulikua na timu za upinzani zilikua zikicheza mpaka ulinzi wa polisi uwepo, mfano kinondoni enzi hizo ilikuwepo mesina zikikutana na faru inakua balaa

Mkuu Nivada na National zikikutana lazima mbwa na farasi waletwe uwanja wa SM Tandale la sivyo mpira utavunjika tu, Faru dume na Sifa united nao palikuwa hapatoshi wakati Monrovia na Friends ranger ni mabomu kwa kwenda mbele ya machozi wakati Kinesi Cup inafanyikia mwembe chai.
 
Wanajamvi leo tukumbuke timu zetu za mtaani jinsi zilivyoleta mchango mkubwa katika soka la nchi hii kwa kutoa wachezaji wa timu za madaraja ya juu na hata taifa mfano

1. Maumau - alitoka ally maumba
2. Super bomboka - hilal hemedi,hamdu hemedi 9marehem), baby sempoli
3. Ibadan - saidi jeck, bakari jeck, mohd mwameja, hassan jeck (marehem), saidi kolongo
4.walunguli - hassan juma (marehemu)
5. Dume- mchunga bakari (marehemu)
6. Mwanzange rangers- salimu waziri tupa
7. Cabodelgado - hussein mwakuruzo, ally mwakuruzo
8. Kimbangulile - ally samata, mbwana samata
9. Mogo - ally mustafa (bathez)
10.sigasiga - kassimu mwajeki
11. Dandee - duncan mwamba

haya nanyie wadau tupeni majina ya timu zaidi na wachezaji walizotoka

OPEC-Renatus Njohole
 
Duh wewe Masharubu umekulia Tanga nini?Back to topic........Yobe ya Kisosora ...mimi mwenyewe.Clement Kwagilwa(RIP)Kimbuga ya Kisosora.......wanijua lakini....ha ha ha ha ha.....mtihani huo njoo na jibu
 
Wachezaji wengine wa mtaani walikuwa noma lakini hawakufika juu,mwananyamala kuna jamaa alikuwa anaitwa pesa,forwad hatari mnoo,tengema wa nondo rangers,kinondoni jamaa anamashuti hatari anaitwa ramadhani ubuyu,super tanker beki kisiki anaitwa tyson,faru dume beki hatari ramadhan dondola!watu hatari sana hao
 
Kuna kipindi mtaa mmoja kulikua na timu za upinzani zilikua zikicheza mpaka ulinzi wa polisi uwepo, mfano kinondoni enzi hizo ilikuwepo mesina zikikutana na faru inakua balaa

Usikurupuke...
Faru Dume ni ya Manzese.
Sio lazima kila thread ubandike utumbo tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom