Mboma aamua kuifanya TANESCO uwanja wa vita... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mboma aamua kuifanya TANESCO uwanja wa vita...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Hon.MP, Jul 30, 2012.

 1. H

  Hon.MP Senior Member

  #1
  Jul 30, 2012
  Joined: Jul 15, 2012
  Messages: 142
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Retired General Robert Mboma, kaondoka hapa ubungo asubuhi hii kwa misonyo na hasira sana. Neno alilolitamka ni " NDANI YA SIKU TANO, TUTAONA NANI BINGWA ".

  Habari za kuamininika toka hapa TANESCO zinaeleza kuwa maneno hayo ni kusudio la kuhujumu shirika la TANESCO kwamba kuanzia alhamis wiki hii nchi itaingia gizani kwa namna yoyote ile.

  Inasemekana kuwa huu ni mkakati wa kikao cha pamoja baada ya sakata la TANESCO Bungeni siku ya Jumamosi kiloichowakutanisha;

  Retired Maj. Gen. Mboma mwenyewe, ndg. Mhando, Mh. Mkono, Mh. Ole Sendeke na wawakilishi wa makampuni yaliyonyimwa ulaji kuuza mafuta na vipuli vyao hapa TANESCO.

  Jamani sasa tunapaza sauti Usalama wa Taifa, Polisi, vyama vya siasa na asasi za kiraia na Wataalam wote wa TANESCO wenye maadili na Wananchi wote, kuwafuatilia kwa karibu hawa watu wanaopanga hujuma. Katibu Mkuu Maswi, je hizi taarifa unazo? Boniface Njombe na Nazil Kachwamba waitwe watakuwa na la kueleza.
   
 2. i

  igoji Member

  #2
  Jul 30, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 65
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Duuu!!!!!!!!! nchi yangu Tanzania unaelekea wapi? na hii ndo shida ya kuwaweka retired officers kwenye bodi za mashirika.
   
 3. babykailama

  babykailama JF-Expert Member

  #3
  Jul 30, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 241
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Sasa hivi wenyeviti wameagizwa kukutana kujadili uwezekano wa kuvunja Kamati zote za wenye tuhuma za rushwa juu ya sakata la Tanesco. Aidha ni kweli kuwa kuna taarifa kuwa Mafisadi kwa kushirikiana na Gen. Mboma na Mhando wanataka kwa hali yoyote ndani ya siku tano nchi iwe gizani.

  Wahusika wengine katika njama hizi ni Mh. Mkono, Ole Sendeka na Zitto Kabwe. Vyombo vya usalama sasa inabidi viingilie kati maana hatujui kama wanataka kuharibu mitambo au nini kinachopangwa.
   
 4. Freema Agyeman

  Freema Agyeman JF-Expert Member

  #4
  Jul 30, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 3,284
  Likes Received: 1,432
  Trophy Points: 280
  wakitaka kufanikiwa wavunje na bodi zote za wakugenzi za mashirika ambayo yana tuhuma za rushwa na ubadhirifu.

  Nani hajui jukumu la bodi hizi na ushiriki wao katika failure na success ya mashirika?
   
 5. Bornvilla

  Bornvilla JF-Expert Member

  #5
  Jul 30, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 925
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Wanataka kulipua bomu gani? Ngoja tusubiri tuone na kusikia.
   
 6. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #6
  Jul 30, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,970
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Kwa rais asiye DHAIFU hili lisingekuwa tatizo ila kwa rais ambaye mara zote anazidiwa maarifa na kuogopeshwa na watu aliowateua hili ni tatizo kubwa.

  Mbona ana kashfa nyingi sana zikiwamo za kuleta sukari nchini na kuficha maghala ya jeshi Lugalo, Makaa ya mawe Kiwira pia huyu ni mhusika na sasa TANESCO.

  Huyu bwana ana siri za wizi wanaofanya viongozi na ndio maana ana kiburi sana na inatakiwa watu amkini ndani ya bunge wasikubali Liwalo na Liwe ila Muhongo na Maswi wapewe support ili nchi isiingie gizani huku hawa watuhumiwa wakinyimwa kabisa meno.
   
 7. P

  Prince Hope JF-Expert Member

  #7
  Jul 30, 2012
  Joined: Jul 21, 2012
  Messages: 2,167
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  tusubirie hiyo alhamisi
   
 8. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #8
  Jul 30, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Hawezi lolote huyo, mafisadi wote wameshabainika TANESCO.
   
 9. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #9
  Jul 30, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,840
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  Tatizo la kuendelea kutumia wastaafu wa jeshi kusimamia majukumu ya mashirika ndiyo hii.Matokeo yake nchi itajikuta inaingia vitani kimchezo sasa hii statement ya kudai siku tano zijazo nchi iingie gizani kwa lipi???? ajaribu aone kama hajanyolewa kavu kavu.Tutaanza na kujua kama ni raia kweli, wakongo watarudi kwao na malawi.thubuuuuuuuuutu muone!!!!!!!!
   
 10. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #10
  Jul 30, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,509
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  I was born in Tanzania accidentally
   
 11. m

  manucho JF-Expert Member

  #11
  Jul 30, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 3,410
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Suluhisho siyo kuvunja bodi wala kutoa Mhando wala Ngeleja, suluhisho la nchi hii ni kuuondoa utawala wote uliopo kwa vitendo nikiwa na maana KUWAUWA WOTE na kuweka Uongozi mpya ndani ya Chama Kipya
   
 12. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #12
  Jul 30, 2012
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,795
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  ...Nasi wananchi tusingoje kufanyiwa! Tuamue pia kama Wananchi tunawezakuwafanya nini Maadui hawa wa Maendeleo. Kwa tusiazishe Tahrir Yetu pale Viwanja vya Mnazi M1 ama majumbani kwao?? Kwa nini tunakubali kupelekeshwa na watu wawili watatu tu??????
   
 13. Q

  Qixima mQiqa Senior Member

  #13
  Jul 30, 2012
  Joined: May 18, 2012
  Messages: 178
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  huyu mzee asijifanye mbabe wakati watu tunamjua kuwa ni mwizi na anaihujumu tanesco
   
 14. Ndukidi

  Ndukidi JF-Expert Member

  #14
  Jul 30, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 821
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 80
  Tahrir yanini wakati mafisadi wote wanajulikana wanakoishi, si tuko nao mitaani. Umeme/sabotage yoyote ikifanyika na kuwa confirmed kuwa ni sabotage tunagawana nao huo usumbufu, wao na familia zao.. taratibu wataelewa somo.... hakuna haja ya tahrir wala nini...
   
 15. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #15
  Jul 30, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,325
  Likes Received: 1,792
  Trophy Points: 280
  Chezea Retired General wewe...wengine walikuwa kwenye ajira kwa bahati mbaya. Ni wafanya biashara
   
 16. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #16
  Jul 30, 2012
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Wabunge wetu wengi ni wanafiski sana!!!

  My foot...
   
 17. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #17
  Jul 30, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,468
  Likes Received: 5,847
  Trophy Points: 280
 18. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #18
  Jul 30, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,972
  Likes Received: 429
  Trophy Points: 180
  Where is Mr. Presdent?
   
 19. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #19
  Jul 30, 2012
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
 20. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #20
  Jul 30, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Hii ni hatari, kuna watu wanadhani hii nchi iko mikononi mwao wanaweza kufanya kila wakitakacho muda wowote.
  Siku litakapolipuka, sijui itakuwaje.
  Namsubiri mhandisi Nsiande ajazilizie nyama katika habari hii, najua atakuwa na mengi mazito ya kupasha juu ya hili sakata.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...