Kwa waliosoma DODOMA CENTRAL SEC SCHOOL

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,730
1,201
Shule ya Sekondari ya Dodoma Central imefungiwa na Serikali,sababu za kuifungia ni kukosa vigezo vya kuwa shule ya sekondari baada ya Wakaguz wa Elim kuikagua na kujiridhisha kuwa haiana viwango vyao,
sosi:HABARI LEO.
My Take
Mimi nimiongo mwa wadau walipata kusoma Dodoma Central,na naiman kuna wadau walisoma pale,kwa mu0n0 wangu nahis wadau wa ukaguz kama walichelewa vile?ila nachoshauri ni kwamba wanafunz waliokua wanasoma hapo watafutiwe shule haraka,mamlaka husika ziwasaidie kwenye MCHAKATO wa UHAMISHO
 
Ni kweli Dodoma Central ilipungua vigezo, lakini wizara ingefanya jitihada kuakikisha secondary ile inaboreshwa,. kuifunga ni kuwakosea wanaosoma na kufanya kazi pale. Labda kuna fisadi anataka lile eneo pale ashushe mjengo. let us wait and see.
 
walipewa mwezi 1 wakazembea,shule ilikutwa haina body ya shule,haina mhasibu,haina account ya benk,secretary ndo mhasibu,Walimu watatu wa kuajiliwa..kigala ndo Manager,headmaster,yeye ndo benk,walimu wote ni wa Part time.

Wameambiwa waajiri walimu,ila wao kigala na mke wake wakae pemben.
Mi nilisoma hapo
 
duh..kweli kuna watu wasanii sana
 
Mi nimesoma Jamhuri ila poleni majirani zangu wa central sec. Pia bora wameifunga wewe shule gani tuition ndo wanakazia kuliko mapindi ya kawaida??
 
Naombeni historia ya hii shule make nasikia inasiku nyingi sasa iweje ifungiwe leo?.Nasikia kuna ufisadi unataka kufanyika pale.Je,Tanzania nzima wameona Central tu?.Mbona kuna shule zaidi ya 3 ninazozifahamu za private zipo kama Central lakini hawajazifungia?.Je,wamewaandalia mazingira gani wanafunzi waliokua wanasoma pale?.Adhabu hii ni kwa mwenye shule au wazaz na wanafunzi waliokua wanasoma pale?.
Hapo kuna mkono wa Kigogo si bure!!!
Nawapeni pole sana wadau wote ambao jambo hili linawagusa moja kwa moja,inasikitisha lakini serikili ikikugeuka ni afadhali ya Jambazi na mateka.
Ila jipeni moyo matatizo yenu yatafika kikomo.
 
Central ni shule ya zamani na ilikuwa hvyo hvyo, ss leo kulikoni? 2. Kuna wanafunzi waliokwishalipa ada, tena yawezekana za kuunga unga leo mnafunga shule, mbona mnaongeza wajinga mtaani? 2kumbuke kuna wale 4m 4 waliopewa adhabu ya kugushi pepa nao wapo mtaani, serikali ifikirie au ije na soln ya wanafunzi wa hapo central wanaenda wp? Na hao wakaguzi wanafiki baada ya waziri kwenda ndo wanajua haina vigezo?
 
walipewa mwezi 1 wakazembea,shule ilikutwa haina body ya shule,haina mhasibu,haina account ya benk,secretary ndo mhasibu,Walimu watatu wa kuajiliwa..kigala ndo Manager,headmaster,yeye ndo benk,walimu wote ni wa Part time.

Wameambiwa waajiri walimu,ila wao kigala na mke wake wakae pemben.
Mi nilisoma hapo

hahahah,dah kumbe nawe mdau wa pale,?sasa we fikiria hela unampa kigala,then mama kigala yeye anahesabu,sijui wali0malza watachukuaje vyet vyao?
Nadhan itakua ni sehemu ya mikutano ya ccm
 
Ni kweli Dodoma Central ilipungua vigezo, lakini wizara ingefanya jitihada kuakikisha secondary ile inaboreshwa,. kuifunga ni kuwakosea wanaosoma na kufanya kazi pale. Labda kuna fisadi anataka lile eneo pale ashushe mjengo. let us wait and see.

lile eneo ni potential sana,kigala alijisahau,shule ni kitega uchumi cha nguvu
 
duhh kaka nami nilisoma pale, enzi ya mwl mkuu mr gangji. huyo kigala alikuwa mwl mkuu msaidizi, kitu ambacho sijafahamu hadi sasa , nimesikia mwenyewe ktk radio kuwa moja ya sababu ya kuifunga ule shule ni kukosa namba ya usajili... huo usajili usajili upi...........? kingine kilichonishangaza kusikia mwl Kigala yeye ndo mmiliki wa shule. na ndo mwendeshaji mkuu, huko nyuma ile shule ilikuwa ya kihindi pure, je ndo kusema wahindi wale walimpa mwl kigala ama imekuwaje , mwenye kujua hilo atufahamishe maana tuna historia na ile shule
 
Mi nimesoma Jamhuri ila poleni majirani zangu wa central sec. Pia bora wameifunga wewe shule gani tuition ndo wanakazia kuliko mapindi ya kawaida??

hahahahah,si ilikua ndo centre?JAMHUR NILIPITA ADVANCE,ila central kiboko,yaan ilikua ukimwambia mtu unasoma central anakushangaa
 
Naikumbuka sana hiyo shule kwani nimesoma Dodoma Sec. vilaza waote waliokuwa wanafeli wanaenda pale ilikuwa na watoto bomba sana enzi hizo.
 
We Kurunzi wewe sisi siyo vilaza bwana, ebooh?
miye mwenyewe nimesoma pale, Ikiwa inamilikiwa na Bojan, Mambo yameanza kuwa mabaya baada ya Bwana Kidevu kuwa mmiliki, Bwana kidevu huyu ana umimi sana uncle wangu alikuwa Second Master Pale Sir K akajiondoa taratibu. Kwa kweli kufunga ni muhimu kwasababu haina vigezo vya kuwa sec na ukizingatia shule ipo mjini, inakosaje walimu, mhasibu, nk. sijui wakaguzi walikuwa hawaioni /?????
 
Ila imeniuma sana demu wangu alikuwa ana-reseat pale sa sijui ntafanyaje maskini. Basi serikali ifungulie amalizie ndo muifunge tena.
 
wamefanya mamuzi magumu yacyo na busara.Ilitakiwa Ibinafsishwe kwanza,watoto waendelee kukamua.Mi ckusoma pale bt naifahamu.Labda kama mdau wa Elimu.Wizi wizi wiz mtupu,Cku zote izo?
 
duhh kaka nami nilisoma pale, enzi ya mwl mkuu mr gangji. huyo kigala alikuwa mwl mkuu msaidizi, kitu ambacho sijafahamu hadi sasa , nimesikia mwenyewe ktk radio kuwa moja ya sababu ya kuifunga ule shule ni kukosa namba ya usajili... huo usajili usajili upi...........? kingine kilichonishangaza kusikia mwl Kigala yeye ndo mmiliki wa shule. na ndo mwendeshaji mkuu, huko nyuma ile shule ilikuwa ya kihindi pure, je ndo kusema wahindi wale walimpa mwl kigala ama imekuwaje , mwenye kujua hilo atufahamishe maana tuna historia na ile shule

Ile shule imesajiliwa mwaka 1921 na kupewa kibali cha miaka 35. (expire date of land certificate) wakati huo ikiwa chini ya wahindi. Waka renew tena mpaka mwaka 1976 baada ya kuexpire kibali cha mwanzo. Wakarenew tena kwa miaka 16. Baada ya hapo hawajarenew tena kwahiyo mpaka sasa haijulikani mmiliki ni nani. Inshort mpaka sasa shule iko chini ya Rais kwani ardhi haijamilikishwa kwa mtu. Huo ndio usajili unaozungumziwa hapo.
 
Mdau inawezekana watendaj wameiona central lakini what i know hata na za serikali zipo hoi
Central ni shule ya zamani na ilikuwa hvyo hvyo, ss leo kulikoni? 2. Kuna wanafunzi waliokwishalipa ada, tena yawezekana za kuunga unga leo mnafunga shule, mbona mnaongeza wajinga mtaani? 2kumbuke kuna wale 4m 4 waliopewa adhabu ya kugushi pepa nao wapo mtaani, serikali ifikirie au ije na soln ya wanafunzi wa hapo central wanaenda wp? Na hao wakaguzi wanafiki baada ya waziri kwenda ndo wanajua haina vigezo?
 
Naikumbuka sana hiyo shule kwani nimesoma Dodoma Sec. vilaza waote waliokuwa wanafeli wanaenda pale ilikuwa na watoto bomba sana enzi hizo.

mdau nami nimesoma central,na nimefaulu kutokea palepale,tena nimeanzia pale na nimemalizia pale
 
We Kurunzi wewe sisi siyo vilaza bwana, ebooh?
miye mwenyewe nimesoma pale, Ikiwa inamilikiwa na Bojan, Mambo yameanza kuwa mabaya baada ya Bwana Kidevu kuwa mmiliki, Bwana kidevu huyu ana umimi sana uncle wangu alikuwa Second Master Pale Sir K akajiondoa taratibu. Kwa kweli kufunga ni muhimu kwasababu haina vigezo vya kuwa sec na ukizingatia shule ipo mjini, inakosaje walimu, mhasibu, nk. sijui wakaguzi walikuwa hawaioni /?????

mwambie huyo,me nimekatiza hapo na nikasonga,ndo shule iliyoniwezesha kitaaluma,
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom