Ushauri kuhusu biotechnology | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushauri kuhusu biotechnology

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by ze duduz, Jul 14, 2012.

 1. ze duduz

  ze duduz JF-Expert Member

  #1
  Jul 14, 2012
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 864
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  Hivi hii course ya Molecular biology and biotechnology inalipa hapa Tanzania au ni Kuhangaika mwanzo mwisho afu ningependa kujua unaweza ajiriwa mahali gani? Na ingekua vizuri mngeniambia mshahara wake una Anzia kiasi gani?
   
 2. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #2
  Jul 14, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  soma ujiajiri italipa zaidi yakuajiriwa futa dhana hiyo
   
 3. ze duduz

  ze duduz JF-Expert Member

  #3
  Jul 14, 2012
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 864
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  nimekuelewa mkuu.! Vp lakni if kama nimeajiriwa vp kiwango cha mshahara kina anzia shlng ngapi za kitanzania?
   
 4. f

  fidelis zul zorander JF-Expert Member

  #4
  Jul 14, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 679
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  hawa nadhani ni wale wanaohusika na uchachushaji kwenye viwanda...
   
 5. ze duduz

  ze duduz JF-Expert Member

  #5
  Jul 14, 2012
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 864
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  kiwandani?! Mbn umeniacha njia au katika upande wa kutengeneza malt katika kiwanda cha bia
   
 6. f

  fidelis zul zorander JF-Expert Member

  #6
  Jul 14, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 679
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  sio malta tu mzee product nyingi tu zinachachushwa...all in all hawa jamaa wanafanya viwanda...info ninazo kidogo lakini hivyo mimi ndo ninavyo jua
   
 7. ze duduz

  ze duduz JF-Expert Member

  #7
  Jul 15, 2012
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 864
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  akhsante mkuu vp kuhusiana na malipo
   
 8. safariwafungo

  safariwafungo Senior Member

  #8
  Jul 15, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 136
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Unapaswa kufungua macho kijana na kufikiria katika daraja la dunia hali ya kuwa ukitekeleza katika mazingira yetu yaani Think globally and act locally, futa fikra za kuajiriwa anza kozi yako ukiwa na maono ya kujiajiri na ikitokea ukaajiriwa basi iwe ni by the way ila swala la mishahara halina kanuni kunutofauti mkubwa baina ya kampuni na kampuni mathalani ukiwa katika vituo vya utafiti kunakuwa na fursa nyingi zaidi kuliko kufanya kazi katika viwanda vya vyakula na vinywa na kama unataka figure, entry salary ni baina ya 5 k to 1.8K it depend where you are.

  Chamsingi hakikisha kozi unayochukua inaweza kukupelekea kujiajiri.
   
 9. k

  king rockie ATL JF-Expert Member

  #9
  Jul 15, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 265
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Vipi duduz hii haina competition?
   
 10. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #10
  Jul 15, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,259
  Trophy Points: 280
  Kozi nzuri lakini inategemea wafadhili. Siku mzungu aki-loose interest inakula kwako. Ni kama udereva wa treni, wajuba wamekula trc saa hizi wanabaki mafundi gereji.

  Soma mavitu politicians (empty headed kinda thing) wataelewa kwa urahisi. Ukimuuliza Le mutuz hii ni nini hatokuelewa, do u feel me?
   
 11. i

  igoji Member

  #11
  Jul 15, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 65
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hii kozi ni nzuri sana, lakini kwa TZ ni vigumu sana kupata kazi kwenye Halmashauri za (w) ambazo ndo zinachukua graduate wengi, kiufupi hakuna ngazi yako katika Halmashauri za (w). eg Halmashauri zinachuua waalim, madaktari mabwana mifugo etc. ila kuanzia mwaka jana baadhi ya wizara zimeanza kuwatambua graduate wa mol.Biol& Biotech. eg wizara ya kilimo imewaajiri wengi tuu na kuwapeleka kwenye centers zao Mikocheni (MARI),Mbeya, Mwanza etc. Wizara ya mifugo nayo itawahitaji vijana wanaojua molecular biology hasa baada ya Agency yao(CVL) kuanza kazi rasmi. vilevile kuna graduate wengi wanafanya research na centers za hapa nchini. eg. NIMRI, Ifakara centers, KCMC, na miradi mingi ya utafiti iliyopo Universities eg SUA, UDSM, KCMC,Bugando, Muhimbili, etc Unaweza vilevile kuajiliwa na Private centers like pharmaceutical industry, Breweries company, Environmental care centers, Private universities as a Tutor (universities nyingi zinafundisha intr. to mol. biol&Biotech na hawana waalim). Mwisho unaweza kujiajiri, mpaka sasa nishaona group mbili waliojiajiri tayari, Moja ni graduate wa SUA ambao wamejiunga na graduate wenzao wa medical field na kuanzisha Diagnostic lab DSM. wanapima malaria, TB, HIV,MIMBA, Kisukari. etc. Group ya pili ni graduate wa UDSM ambao wameanzisha kampuni ya kuzoa Biological waste from different industries, Hospitals etc and they properly dispose those waste as per biological safety rules and regulation rqments. Hawa wameingia ubia na hospital kadhaa jijini na wana zoa Syringes, contaminated gloves, Pamba, etc. kiufupi uchafu wote wa hospital. group hili limeajiri graduate wenzao wapatao 50. Kama unasoma kazana ufaulu opportunity zipo nyingi zinakuja kwani hii ni kozi mpya sana nchini. wanaoajiriwa Wizarani Range ya mshahara ni kati ya laki 5-8.5. Private nyingi ni laki 9- million 3.5 inategemea kazi na umuhimu wako hapo kazini, ila ni contract basis na sio permanent.
   
 12. ze duduz

  ze duduz JF-Expert Member

  #12
  Jul 15, 2012
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 864
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  Hii sio kivile and nahisi ninaweza pelekwa pande hizi..!! But kiukweli nilikua sina hobby nayo kivile..!! Ma hobby was BVM
   
 13. ze duduz

  ze duduz JF-Expert Member

  #13
  Jul 15, 2012
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 864
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  thanks for Your advice mkuu
   
 14. ze duduz

  ze duduz JF-Expert Member

  #14
  Jul 15, 2012
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 864
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  thanks 4ur advce mkuu..!!
   
 15. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #15
  Jul 15, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Degree huna unaanza kuulizia mshahara! get into a serious business kijana.
   
 16. ze duduz

  ze duduz JF-Expert Member

  #16
  Jul 15, 2012
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 864
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  kuuliza sio ujinga
   
 17. malema 1989

  malema 1989 JF-Expert Member

  #17
  Jul 15, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 848
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  kama hobby ni Veterinary Medicine kilichokuzuia ni nini ? b'coz wengi wanaihofia na mkopo ni 100%. Ila nina wasiwasi kama BVM utaiweza ww, siasa nyingi mno kwanini usiende rural development? una div.gani dogo?
   
 18. ze duduz

  ze duduz JF-Expert Member

  #18
  Jul 15, 2012
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 864
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  unadhan mimi ni kilaza eeh..!! Ngoja nita ku pm
   
 19. k

  king rockie ATL JF-Expert Member

  #19
  Jul 15, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 265
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  dont worry kaka mi mwenyewe nliapply BVM ya kwanza hii ya pili ila ni mapema sana kukata tamaa kama umekosa lets wait bro!!!
   
 20. ze duduz

  ze duduz JF-Expert Member

  #20
  Jul 15, 2012
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 864
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  vp kijana ulikua na div gan!
   
Loading...