unataka kuanzisha World War 3 baina yako na mama?. naenda kutafuta hifadhi kwenye handaki kuepuka dhoruba 🙂weee shia adabu yako mie dada yako mkubwa ..........lolz!!
mwanao Blaine anapaswa aniite mamkubwa umeelewa?? nakushangaa unanisahau ilihali mm do nilikuwa nakufulia nepi na kukutawaza ulipokuwa mdogo. tena umesahu kuna siku nilikuunguza kwa maji ya moto mgongoni wakati nakuogesha.
mambo ya digitali mamdogo >_>hii nayo ni nini??
kumbusu mwanamke mwenzangu mdomoni siwez sembuse kumlisha keki?? ama kweli najivunia tu kuwa kibibi aka kikongwe aka kizee.
cc Dark City, @fp
ngoooja ngooja kwanza !unaweza kumeza mtu ujue kwa hii speed ya hasira my shostilo! ohkhaaa! hivi hapa hiki ni nini nacho?? naskia kutapika aagrrrrrhhhhhhhh!
kwanza tu inaonekana wamelewa bwiiiiiiiiii, halafu alivyomlalia like hata kuvuliwa nguo avunjiwe mayai hatajali. istoshe huyo mvulana mwenyewe mbaya mungu nisamehe sijaumba ila aaaaaaah! hapana basi na hilo pozi ndo ikaonekana uchafu uchafu.
hii nayo ni nini??
kumbusu mwanamke mwenzangu mdomoni siwez sembuse kumlisha keki?? ama kweli najivunia tu kuwa kibibi aka kikongwe aka kizee.
cc Dark City, @fp
kwanza kabisa niite mamkubwa mama yako hanipati kwa umri hata angekesha sawa???unataka kuanzisha World War 3 baina yako na mama?. naenda kutafuta hifadhi kwenye handaki kuepuka dhoruba 🙂
mambo ya digitali mamdogo >_>
Ndo hatari hiyo tunayokumbana nayo kama wazazi tena wa 1947.....
Mhhhh....kazi ipo..
Babu DC!!
lakini wema anamvuto sana aisee
Du! Kweli huyu changu jiko la mchina kama siyo daladala. Yaani anabeba kila kinachopita karibu naye! Nadhani miwaya itamsaidia kutulia kama siyo kuchusha na kususwa.
faida ya mkorogo hiyo!hapo anatamani ile ngozi yake ya asili,mtt alikua natural beauty lkn sasa hivi kituko!Bidada anazeeka, angalia mishipa ya damu!
hahaha yawezekana yeye anaona ujiko alafu anapewa promo na wapenzi wengi wanamiminika kutuma maombi wagegede kwa hiyo anawapanga kweli list