Lizzy naomba nitoe majibu yangu kama ifuatavyo;
Je wewe ulitaka/kubali kuoa/olewa kwasababu gani??!
Nilioa kwa sababu nilifika mahali nikagundua/nikajisikia kuwa niko mpweke na kuwa hakuna anayeweza kukidhi haja yangu isipokuwa yule ambaye ni wa moyo wangu, ninayempenda na anayenipenda...
Nafikiri hapa tunaongelea waliokuwa wanaitwa wageni wakaazi kwa jinsi mwalimu Nyerere alivyokuwa anawaita kutoka makazi ya Katumba, Mishamo (Mpanda) na Ulyankuru (Tabora). Waliingia nchini kama wakimbizi miaka ya 1971/1972 kwa hiyo wameishi nchini kwa takribani miaka 40. Walipewa ardhi ya...
Kutokana na mgawo wa umeme uliotangazwa na hali halisi inavyoendelea, nalazimika kununua genereta kwa ajili ya biashara ya internet cafe na secretarial services niliyonayo Arusha.
Vifaa nilivyonavyo vinavyohitaji umeme
1. Photocopy machine Canon IR 1018
2. Computer desktop 5 na 1 laptop moja...
Kama kweli hizi picha hazijachakachuliwa basi tuna kazi kubwa ya kufanya ndani ya nchi yetu kuwabadirisha watu na utendaji wao. Mimi nafanya kazi kwenye shirika lisilo la Kiserkali na mara nyingi tunapata wageni. Kama kuna ugeni wowote tunaotegemea kutembelea mradi ni lazima kuwa na maadalizi ya...
Ndugu Kabila, uko serious kweli? Unaweza kufikia hatua ya kusema unachukua mkopo wa sh. mil 25 na haujawa na business plan ya unaufanyia nini? Siamini kama kweli otherwise kama ndivyo nakushauri mkopo huo uuache kwanza mpaka utakapokuwa na maono ya jinsi gani unataka kuutumia.
Hata hivyo...
Hi Suya
Asante kwa taarifa, ningekuwa Dar ningetamani kufika kwako na kupata huduma hii.
Natamani kujua unatumia machine aina gani (specification) za printer na Photocopy machine ambazo unaweza ukacharge bei hizi na still ukapata faida.
Nitashukuru sana kujua hizi machine ulizonazo na...
Nafikiri inategemea matatizo yanayopatikana ni kulingana na situation siyo kwamba ndivyo KQ walivyo.
Ninapata neema ya kutumia KQ kama mara 8 kwa mwaka na huwa sipati matatizo haya mnayosema. Changamoto ninayopata ni kama muda wa kuunganisha ukiwa mdogo Nairobi basi mzigo unabaki na ninaupata...
Wapendwa,
Naomba msaada wenu wa kujua nyumba ya namna hii Arusha inaweza kugharimu shilingi ngapi? Nina kiwanja nimenunua maeneo ya USA River/Momela 50mx40m na ninatamani kuanzia mwezi wa saba nianze ujenzi ya nyumba ya makazi.
Chini nataka iwe na three bed rooms, sitting room, dining room...
Kama lengo ni kutunza hiyo hela yako, naungana na waliokushauri ununue shamba/kiwanja kwani thamani ya viwanja inapanda thamani kila siku. Kama unataka fedha yako izalishe kwa sasa maana yake ufungue biashara ambayo utaweza kuisimamia/kufanya monitoring. Kitu ambacho nahisi kinaweza kuwa kigumu...
Heshima mkuu Invisible, Nashindwa kuamini kama hii kweli ni hotuba ya mheshimiwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hata kama mimi siyo mtaalam wa kuandaa hotuba naamini walioindaa hamwamtakii mema rais.
Haiwezekani rais akaongea kwa kulalamika kama mtu wa kawaida badala ya kutoa...
Ninafanya kazi na Wakenya na nimejifunza kwao; upande mmoja ni kweli kwamba wamepata neema ya kuwa kwenye mashirika mengi ya Kimataifa na ni kwa sababu mbili kubwa moja wako tayari kurisk, haijalishi what will be the outcome provided anaona kuwa akifaulu kupita hapo atafanikiwa na pili ni kuwa...
FUSO, Nakubaliana na wewe kwamba mshahara wa laki tano haukidhi mahitaji muhimu kwa hali ya sasa ya maisha yalipoTanzania. Lakini sikubaliani na wewe kwamba ufumbuzi wake ni kwenda kijijini ukifikiri kwamba huko ndiko maisha yatakuwa nafuu. Kama wenzangu walivyosema wapo watanzania wengi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.