Natafuta Canon Copier IR 2018 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta Canon Copier IR 2018

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Bushbaby, May 5, 2011.

 1. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #1
  May 5, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Wadau natumai mpo fit, nataka kumfungua kaofisi kadogo shida yangu ni Photocopy ya Canon IR 2018, kuna mdau anaweza nielekeza mahali nitapata kwa bei nzuri? naomba bei ya mpya na used, asanteni
   
 2. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #2
  May 5, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  Pls Visit Senga Company along Jamhuri street/Chaga street chini ya holiday Inn hapo wanauza debranded canons from uk etc
   
 3. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #3
  May 5, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  mkuu nipo Arusha, bei huwezijua?
   
 4. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #4
  May 5, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 12,030
  Likes Received: 2,677
  Trophy Points: 280
  Me ninavyojua 2018 zimekuwa adimu kidogo,nyingi kwa sasa ni IR 2318 na bei zake wengine wanauza 2 mill,wengine 1.5 ni wewe tu na speed yako ya kuzunguka.
   
 5. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #5
  May 6, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Mkuu nashukuru sana ila hizi IR 2318 sio nzuri kama IR 2018 au IR 2016J ni machine nzuri, ni duka gani mkuu linauza hiyo IR 2318 kwa 1.5....please help
   
 6. Manumbu

  Manumbu JF-Expert Member

  #6
  May 6, 2011
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 1,751
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  mikocheni karibu na njia panda ya kwenda mwenge kushoto kwako kuna jamaa anauza used photocopiers. sina contactz zake ila ukiweza fanya maarifa upacheki. anauza nadhani 1.5M used ex - UK
   
 7. F

  Future Bishop Member

  #7
  May 7, 2011
  Joined: Dec 4, 2009
  Messages: 75
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Nenda Kwa Benson, Arusha Card au JR nafikiri unaweza kupata japo bei yake itakuwa inaanzia mil 2
   
 8. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #8
  May 7, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Mkuu hao jamaa wote wanakamua mbaya!!! IR 2318 ni 2.5mil
   
 9. Mazingira

  Mazingira JF-Expert Member

  #9
  May 8, 2011
  Joined: May 31, 2009
  Messages: 1,837
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mkuu kama huna haraka sana kuna mzigo utatua Dar mwezi wa tisa hivi na hizo mashine utapata kwa around 2 milioni.
   
Loading...