Ubabe wa kenya airways kwa abiria wa tz | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ubabe wa kenya airways kwa abiria wa tz

Discussion in 'Kenyan News and Politics' started by FIDIVIN, May 3, 2011.

 1. FIDIVIN

  FIDIVIN Senior Member

  #1
  May 3, 2011
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 187
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Local passengers have been complaining against KQ's regular cancellation of flights, delays and cargo loss which are backed up by a group of bullying staff members handling such matters.

  "I recently travelled on transit between Nairobi and Dar es Salaam but the experience was horrible, the flight was delayed for more than two hours and when we enquired to KQ staff at Jomo Kenyatta, they responded arrogantly," complained Joseph Mwamunyange, a resident of Dar es Salaam.
  Source: Daily News.

  Mr Mwamunyage said while waiting for the delayed flight, he spotted KQ's Managing Director, Titus Naikuni who was also travelling and when he approached him to complain, the chief executive equally rebuked him.

  "They take us for granted and our regulators have done nothing to discipline this airline which is enjoying a monopoly on the Dar es Salaam to Nairobi route," said Hamza Hassan, a resident of Kariakoo in the commercial capital who earlier last month had his baggage left in Nairobi.

  Mr Hassan said KQ is increasingly becoming a rogue airline among Tanzanians because of its misbehaving staff who look down upon local clients.

  Source; Daily News

  WaTZ Wenzangu:
  Hawa jamaa wanadharau sana waTZ. Mi huwa nashangaa hapa JF ikiwekwa hoja ya Kenya watu huwa wanasifia saaaaaaaaaaana. Natamani atokee MTZ aanzishe shirika la Ndege litakalo tuondolea aibu hii au ATC ipate mwekezaji makini.
   
 2. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #2
  May 3, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  KQ sucks big time!! Niliipanda ndege zao several times in the past, and will never do that again.
  KQ staff are so rude and on top of that are ugly... I have always tried to avoid Nairobi airport and Kenya Airways altogether, sababu mzigo utaibiwa and would rather catch Dar Express!!
  KENYA AIRWAYS SUCKS!!
   
 3. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #3
  May 3, 2011
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,042
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  NIKIWA DUBAI NA WA-TZ WENZANGU JAMAA WALITUZINGUA SANA TENA SANA TU..... Wanatuambia ndege imejaa wakati tuna- boarding passes....AKIJA MZUNGU ANASHUSHWA MWEUSI MMOJA KWA TABASAMU KUBWA...IT WASNT FAIR AT ALL
   
 4. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #4
  May 3, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Avoid Kenya airways
  Avoid Nairobi Airport
  Sipandi KQ hata kwa nini
   
 5. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #5
  May 3, 2011
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  Next time inabidi ujue haki zako kama msafiri..yani niwe na boarding pass wanishushe hivi hivi? hapata eleweka kabisa!

  Eniwei, wana poor service hawa KQ..
   
 6. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #6
  May 3, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  hapo umeongea!
  Ukishanipa Boarding pass basi nitaboard hiyo flight na tutakunjana mashati. Msiwachekee na juweni haki zenu!
   
 7. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #7
  May 3, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Mi nadhani watanifunga jela kabisa maana nitashusha kipondo kiasi ya kwamba wakimuona Mtz siku nyingine ni heshima kwa kwenda mbele.
   
 8. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #8
  May 3, 2011
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,042
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  DUBAI AIRPORT..... KQ ikitibua watu
   

  Attached Files:

 9. Omuregi Wasu

  Omuregi Wasu JF-Expert Member

  #9
  May 4, 2011
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 753
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Inategemea sana. Mimi ni mtumiaji mzuri wa KQ tangu mwaka 2003 na sijawahi kupata matatizo mnayoyasema. Niliwahio kuchelewa ndege mara moja tu na ilitokana na Precision air kuongeza abiria zaidi ya viti. Tukachelewa kutoka Dar ila tulipewa hotel Nairobi.
   
 10. F

  Future Bishop Member

  #10
  May 4, 2011
  Joined: Dec 4, 2009
  Messages: 75
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Nafikiri inategemea matatizo yanayopatikana ni kulingana na situation siyo kwamba ndivyo KQ walivyo.

  Ninapata neema ya kutumia KQ kama mara 8 kwa mwaka na huwa sipati matatizo haya mnayosema. Changamoto ninayopata ni kama muda wa kuunganisha ukiwa mdogo Nairobi basi mzigo unabaki na ninaupata kesho yake.

  Kwa hiyo naamini KQ ni wazuri ila zipo changamoto ambazo watu wengine wanazipata lakini zinategemea na mazingira au hali inayokuwa imetokea siku hiyo, kwani hakuna kazi yoyote ambayo haina changamoto.
   
 11. mafiakisiwani

  mafiakisiwani JF-Expert Member

  #11
  May 4, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 456
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  loud & klia,sintoipanda ndege yao
   
 12. m

  masssaiboi JF-Expert Member

  #12
  May 4, 2011
  Joined: Feb 10, 2009
  Messages: 637
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 33
  Watz tunalalamika sana na ni sababu tu may be ni KQ. Mtu ukikumbana na delay mara moja unaivalia njuga kama nini vile.
  Kwa wale wanaoishi Europe wanaelewa delays smtms hata masaa saba, huwezi lzimisha japo umelipia.
  Cha kufahmu delays kwa short haul flight zipo na hazikwepeki kama hupendi panda basi na sio kulalama kila siku
   
 13. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #13
  May 4, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Tatizo sio delay, tatizo hapo majibu ya kijeuri wanaopewa habiria wa kiTZ.

  Unaweza kuwa na boarding pass na usipande ndege... na majibu ya ku.nya juu, ila akija kana ka nzungu... anapitishwa kwa tabasamu kuuuuuuuuuuuuubwa.

  Nakwambia hapo ni Ngumi moja kavu ya chembe, *punch*... siku nyingine atatia adabu.
   
 14. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #14
  May 4, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Mie niliacha zamani kupanda hiyo ndege, na ndugu zangu na familia yangu pia. Wana poor service, incompetent staff, arrogant staff, chakula kibovu. In short niliapa sitapanda hiyo ndege wala familia yangu na ndugu zangu. Nilifikiri niko peke yangu!!!!
   
 15. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #15
  May 4, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Ustaadhi nakuaminia!
  Kuna siku nilisafiri na ndege ya KQ kutokea Amsterdam kupitia NBI kuja Dar, bahati mbaya seat nilikuwa nimepangiwa ilikuwa mbovu! Nikaita muhudumu na kumweleza nilipewa jibu la dharau sana. Nilisafiri na kihoro sana maana sikuwa na uhakika wa kufika. Iwapo kiti kibovu engine je? Nakumbuka nilibugia Tusker za kutosha alimanusura nichelewe precision ya kwenda Dar.....niliapa kutopanda tena KQ. Kilichoboa zaidi mizigo ilibaki Nairobi niliipata baada ya siku 3!!

  KQ hovyo kabisa
   
 16. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #16
  May 4, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,921
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  duh,noma....KQ moja alipanda mshkajia angu mmoja toka mumbai-kenya-dar,(mi nilichukua Ethipoia),alinichekesha kwa kudai anaweza afe muda wowote coz A/c zote zilikuwa mbovu,yaani ndani ya ndege full joto...lol.
   
 17. Noti mpya tz

  Noti mpya tz JF-Expert Member

  #17
  May 4, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 936
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Jamani tuwekane sawa kwamba watu hawalalamikii delays wanalalamikia care and how they respond when someone needs help basi
   
 18. Mgombezi

  Mgombezi JF-Expert Member

  #18
  May 4, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 630
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  MTZ mwenyewe ndiyo wewe ambae umeziona changamoto hizo na sasa zitumie kama fursa kwa kuanzisha shirika lako la ndege.
   
 19. mbweleko

  mbweleko Senior Member

  #19
  May 4, 2011
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 157
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Dah! Kumbe hiyo ndio solution? Ngoja nikomae...
   
 20. B

  Bendera ya bati Senior Member

  #20
  May 4, 2011
  Joined: Apr 6, 2011
  Messages: 179
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  For instance,kama wabongo ndio mgekuwa mna-monopolize hili shirika,kisha haya wanayoyafanya na wakenya ndiyo yanafanywa na wabongo (kwa wakenya)basi mgetangazwa vibaya dunia nzima ingejua na istoshe shirika lingefungwa kama sio kusua sua kama ATC.Hawa jamaa hawafai kabisa roho mbaya kama kiswahili wanachozungumza kilivyo kibaya.Kumbukeni yale meno ya faru walivyoiwekea wizara ya utarii ya tz isiuze kwenye soko la dunia kwa roho mbaya zao......Avoid them kabisa!!!!
   
Loading...