Mallaba
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 2,554
- 47
nilishasahau kumbe bado huwa anahutubia? the chap has guts na ni kwa nini he normally refers to Mzee Nyerere not baba wa taifa?
Tuliambiwa jinsi gani alitoka monduli na kupokelewa na Shimbo
tangu hapo yeye hamjui Nyerere kuwa ni Baba wa Taifa.
Hakutakiwa kumwelezea mabaya, bali ajilinganishe naye kwa mazuri sio mabaya
Mtu unajilinganisha naye kwa mabaya kama yuko hai lakini akishakufa huwa hatusemi mabaya(ingawa ni lazima yawepo kwa kila mtu)