Gharama nafua za kuprint kwa wanafunzi na taasisi mbalimbali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gharama nafua za kuprint kwa wanafunzi na taasisi mbalimbali

Discussion in 'Matangazo madogo' started by SUYA, May 3, 2011.

 1. S

  SUYA Senior Member

  #1
  May 3, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 118
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  [FONT=&amp]TIFFANY SECRETARIAL SERVICES[/FONT]
  [FONT=&amp]SINZA,MAPAMBANO MAFREM YA BLUU .OPPOSITE LULU & UTOJI SOCIAL HALL. [/FONT]

  [FONT=&amp]PRINTING BLACK A4 = 100[/FONT]
  [FONT=&amp]PRINTING BLACK A3 =300[/FONT]
  [FONT=&amp]PHOTO COPY A4 = 50[/FONT]
  PHOTO COPY A3=100
  [FONT=&amp]PIA TUNA PRINT A 3 COLOURED
  [/FONT]

  [FONT=&amp]AINA MBALIMBALI ZA HP CARTRIDGE
  [/FONT]

  [FONT=&amp]n.b. [/FONT][FONT=&amp]KAZI ZA TENDA KAMA SPIRAL BINDING, PRESS BINDING ZA SEMINA ,MIKUTANO , MASHULE, NA TAASISI MBALIMBALI ZINAFANYIKA KWA MAKUBALINO YA BEI YA PUNGUZO MAALUM.TUNAUWEZO WA KU PRINT A4 HADI TSH 50/= KWA KAZI KUBWA.UNAPATA COMPUTER BURE KUREKEBISHA KAZI YAKO. KARIBUNI SANA[/FONT]

  [FONT=&amp]MUDA WA KAZI[/FONT]
  [FONT=&amp]02:30 ASUBUHI-04:00 USIKU[/FONT]
   
 2. F

  Future Bishop Member

  #2
  May 4, 2011
  Joined: Dec 4, 2009
  Messages: 75
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hi Suya

  Asante kwa taarifa, ningekuwa Dar ningetamani kufika kwako na kupata huduma hii.

  Natamani kujua unatumia machine aina gani (specification) za printer na Photocopy machine ambazo unaweza ukacharge bei hizi na still ukapata faida.

  Nitashukuru sana kujua hizi machine ulizonazo na gharama zake ikiwezekana ili nikusanye na mimi nguvu ya kununua vifaa hivi.

  Be blessed.
   
 3. S

  SUYA Senior Member

  #3
  May 4, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 118
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ni pm nitakusaidia ushauri
   
 4. m

  mancy Member

  #4
  May 4, 2011
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante sana kwa taarifa nimeangaika sana mitaa ya sinza kutafuta hudumaya bei nafuu kama hii.kwani bei zenu sawa na za chuo kikuu je? printing yenu ni quality? Au ndo kama zile za mtaa wa jangwani kkoo?
   
 5. S

  SUYA Senior Member

  #5
  May 5, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 118
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Uwapo tiffany secretarial services
  utapata huduma za internet yenye speed nzuri
  gift items za aina mbalimbali
  mahitaji yote ya stationery
   
 6. m

  mancy Member

  #6
  May 5, 2011
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Je mnafunga zawadi kama za harusi graduation na nyingine .maana ninataka kufunga zawadi za send off leo.plz nipatie no ya cm ili nikifika hapo nikucheki au nitafikaje baada ya kuwa hapo lulu
   
 7. S

  SUYA Senior Member

  #7
  May 5, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 118
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Tunafunga aina zote za zawadi na za ukubwa wowote.
  Ukifika lulu uliza tu tiffany stationery utaonyeshwa asante
   
 8. mojoki

  mojoki JF-Expert Member

  #8
  May 6, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 1,329
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  hehe suya muoga...toa namba ya simu hiyo wewe!,Ujasiriamali mchezo
   
 9. S

  SUYA Senior Member

  #9
  May 6, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 118
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  ASANTE NAMBA ZETU NI 0222775440 na 0717144200
   
 10. F

  Future Bishop Member

  #10
  May 7, 2011
  Joined: Dec 4, 2009
  Messages: 75
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hi Suya,

  Nashukuru kwa ushauri wako uliotoa kupitia PM.

  God bless you.
   
 11. FIDA

  FIDA Member

  #11
  May 9, 2011
  Joined: Nov 10, 2010
  Messages: 48
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  POA MAN HONGERA KWA KUTUFUNGUA MACHO:israel: NAONA UMEWEKA MUDA WA KAZI BILA SIKU UNAFANYA KAZI HATA WEEKEND?
   
 12. S

  SUYA Senior Member

  #12
  May 9, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 118
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Tunafungua siku zote za wiki
   
 13. FIDA

  FIDA Member

  #13
  May 10, 2011
  Joined: Nov 10, 2010
  Messages: 48
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  kufunga saa ngapi man .pole kwa usumbufu

  • :israel:
   
 14. FIDA

  FIDA Member

  #14
  May 10, 2011
  Joined: Nov 10, 2010
  Messages: 48
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  tujuze mda wa kufunga maana wengine tunachelewa kuludi man
   
 15. S

  SUYA Senior Member

  #15
  May 11, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 118
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kwenye tangazo etu tumeweka muda. Angalia vizuri
   
 16. m

  mancy Member

  #16
  May 12, 2011
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Suya asante sana kwa huduma zenu.hatimae nimefanikiwa kumaliza kazi iliyokuwa inanitatiza .sasa ndugu je mgao ukiwepo mnafunga au mtaenda nao hivyo hivyo.maana nahofia mtu asijetoka mbali kote kufika hapo mmefunga itakuwa usumbufu
  ..pia nikupe hongera internet yako ina speed nzuri sana
   
 17. Richard

  Richard JF-Expert Member

  #17
  May 12, 2011
  Joined: Oct 23, 2006
  Messages: 7,767
  Likes Received: 3,534
  Trophy Points: 280
  Mkuu

  Hongera kwa kufanya hio "marketing promotion", itakusaidia sana na pengine hata mimi nikiwa nakuja kwa likizo ntakuwa nikitua hapo kwa kufanya shughuli zangu, hasa internet maana ina speed nzuri.

  Nilipata shida kidogo nilipokuwa TZ kwa likizo hivi karibuni na ile Internet Cafe ya pale ubungo nimesahau jina lake iliniboa sana kwa speed yake ndogo ya internet. Lakini mwenyeji akaniambia ni kwasababu ya "pricing structure" kutoka kwa ISP.

  Pricing structure inasumbua sana lakini naona hii yako umekuwa na busara kufikiria hasa wanafunzi.

  Huo ndio ujasirimali wa kweli.
   
 18. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #18
  May 13, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,547
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  duh.. kaka kweli umeamua, hakunha kulala!!
   
 19. v

  vickitah Senior Member

  #19
  May 14, 2011
  Joined: Jun 18, 2010
  Messages: 152
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Asante kwa taarifa mukuu.. tutakutembelea
   
 20. S

  SUYA Senior Member

  #20
  May 20, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 118
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Karibu sana internet yetu iko poa
   
Loading...