Uhalisi wa ndoa.....

Lizzy Nishazeeka mie hata sababu za niliingia kwenye ndoa mara nyingine sizikumbuki
Kuna wakati huwa naona ndoa ni paradise ndogo ,lakini wakati mwingine huwa nachanganyikiwa kabisa na maswali kichwani kuwa mengi
Lakini kwa msaada wa mungu ninasonga mbele
To be honest ndoa si lelema na ndoa ina tofauti kubwa sana kati ya BF na GF uchumba na mengineyo
 
Lizy kila mara naona unaandika thread za ku-critisize ndoa? Whats wrong with you? Umeshajichunguza ukajua udhaifu wako? Naona kama unataka mwanaume atakayekuoa aje kama YESU. Nasikitika kukwambia kwamba hakuna mtu aliyesahihi, ongea na mama/baba mzazi watakwambia kilichowafanya wawe pamoja mpaka leo UVUMILIVU.

Nakushauri sana uwe makini, you are negative all the time, yote unayoliza hata wakijibu hayana faida kwako. NO ONE IS PERFECT.
 
  1. ...Je wewe ulitaka/kubali kuoa/olewa kwasababu gani??... Just to have maximum romances internally and at the same time give a hand and support each other in counting years ahead of us (
  2. ...Baada ya kuingia mambo yalikua kama ulivyotarajia!?.. it was real gud, though it needs a buster now and then
  3. ...Kama mambo yalikua tofauti na matarajio yako je ni kwa uzuri au kwa ubaya??? Kwa uzuri na ubaya vyote vyote (ila uzuri umezidi mabaya)
  4. ...Umewahi kujuatua au kushukuru Mungu kumchagua uliyemchagua??? namshukuru mungu kwa kunipa huyu "mtoto mzuri" toka nyanda hizo ila nazidi kumuomba Mungu ampe mambo mengine anayomiss na mimi anipe mambo ninayomiss ambayo yeye anayatamani niwe nayo
  5. ...Ungepata nafasi ya kurudi miaka kadhaa nyuma mpaka ulipokua unaamua kufungwa pingu za maisha ukiwa inajua kila kitakachotokea mbeleni ungefanya uamuzi tofauti na uliofanya??? ningefanya uamuzi huo huo kwa sababu hakika huwezi kumpata Mtu hata mmoja ambaye ana utimilifu 100% kinachotakiwa ni kujua jinsi ya kuishi na mke/mume wako (within those differences or expectation gaps)!! .. mtu asijidanganye huwezi pata 100% perfect!!

Please tupeni experince tujifunze kabla hatujaingia huko na matarajio kibao alafu tushindwe kuvumilia hali halisi!
well said mkuu... if we want to assess our partnerships; cha kwanza kufanya ni kuwa fair and then balance your score cards, one they are positive, then it is our tasks to build on the positivity

But ndoa is meaningless if we only look at negativities na kudunguana kama karate kids
 
Lizzy naomba nitoe majibu yangu kama ifuatavyo;

Je wewe ulitaka/kubali kuoa/olewa kwasababu gani??!

Nilioa kwa sababu nilifika mahali nikagundua/nikajisikia kuwa niko mpweke na kuwa hakuna anayeweza kukidhi haja yangu isipokuwa yule ambaye ni wa moyo wangu, ninayempenda na anayenipenda.

Baada ya kuingia mambo yalikua kama ulivyotarajia!?
Namshukuru Mungu kuwa mambo yameendelea kuwa mazuri sana pamoja na changamoto kadhaa tunazokumbana nazo kama familia lakini ameendelea kunipa amani ya moyo wangu. Ndoa ina miaka kumi na kila siku mke wangu namuona mpya katika maisha yangu, nikifika nyumbani kama hayupo naona kama kuna kitu nimekosa hata kama wapo watoto ambao wananichangamsha kama baba yao.

Kama mambo yalikua tofauti na matarajio yako je ni kwa uzuri au kwa ubaya???!
Mke wangu ameendelea kupendeza sana na kwa hilo namshukuru Mungu, wakati anajifungua mtoto wetu wa nne, Daktari alishangaa yeye alifikiri huyo ni mtoto wetu wa kwanza au wa pili; hakuamini alipoambiwa huyo ni wa nne na ndoa ina miaka kumi.

...Umewahi kujuatua au kushukuru Mungu kumchagua uliyemchagua???!
Nilimshukuru Mungu na naendelea kumshukuru Mungu kwa kunipa niliyenaye leo. Kabla sijamchumbia nilikuwa namuombea apate mme mzuri atakayemtunza na kumsaidia kulinda/kudumisha na kussupport huduma yake. Kumbe Mungu akajibu maombi hayo kwa kuniunganisha naye kitu ambacho sikutegemea na hata yeye hakutegemea.

...Ungepata nafasi ya kurudi miaka kadhaa nyuma mpaka ulipokua unaamua kufungwa pingu za maisha ukiwa inajua kila kitakachotokea mbeleni ungefanya uamuzi tofauti na uliofanya??? No bado ningemchagua yeye, sioni kama kuna anayefanana naye.

NB Katika mambo yote Lizzy ni kumuomba Mungu akusaidie na akupatie mnayefanana naye, usitegemee kupata mwenzi mwaminifu, mzuri kama wewe mwenyewe si mwaminifu. Ishi vile ambavyo na mwenzi wako/mtarajiwa unataka aishi/awe.

Ubarikiwe!
 
Lizy kila mara naona unaandika thread za ku-critisize ndoa? Whats wrong with you? Umeshajichunguza ukajua udhaifu wako? Naona kama unataka mwanaume atakayekuoa aje kama YESU. Nasikitika kukwambia kwamba hakuna mtu aliyesahihi, ongea na mama/baba mzazi watakwambia kilichowafanya wawe pamoja mpaka leo UVUMILIVU.

Nakushauri sana uwe makini, you are negative all the time, yote unayoliza hata wakijibu hayana faida kwako. NO ONE IS PERFECT.
dah... CD never minced a word here today, LOL

Ukweli ni kwamba (kwa maoni yangu) Lizzy is naive and wishes for a perfect product, which is never there, hata Yesu alikua na kiburi sana (hivi wewe kwa dunia ya leo nani anaweza kwenda sehemu akapiga mateke biashar za watu na wakamwacha??)... I once told her kwamba love is giving, receiving will come kama ipo

But one thing which enourages me, ni ile interest yake ya kujua na maswali anayoleta, this shows kwamba yupo tayari kujifunza, na kutokana na maoni mengi humu kwenye MMU (not only in this thread) atakua anabadilika (positively) each day!!!

Napenda her inquisitive nature, but she also need to vua gamba on attitude towards relationship, hatuwezi kumlaumu kwani yote yanategemea amekumbana na nini, au ameishi kwenye maisha gani au hata story za ndoa/relatioship zinamtisha... kuna mchangiaji mmoja alishawahi kusema keshaumizwa mra kumi, nilimpena sana kwani she kept on going on ... hard work pays!!!

nice thread and nice contributions altogether:biggrin1::biggrin1:
 
The Finest;Hapo kila mtu atasema anataka kurudi miaka kadhaa nyuma

Si kweli kila mtu angependa kurudi miaka kadhaa nyuma maana sijutii kuwa na my wife na wala sijawai kujuta kwa nini nilimuowa. Kukosana kupo lakini hizo ni changamoto katika maisha. Kwa ujumla sijutii bali namshukuru Mungu kwa mke aliyenipa.

Jana nlianzisha thread kuuliza wale ambao bado hawajoa/olewa kama wangependa kufanya hivyo mbeleni na kama ni ndio au sio kwanini??!
Majibu niliyopata yalikua yanatofautiana kwanzia waonataka kuwa na watu wa kushea nao maisha....mpaka wanaotaka kupendeza tu siku ya harusi na wa wanaotaka security!!

Nikajikuta najiuliza kwa wale ambao wapo kwenye ndoa je nini kilichowashawishi na je walipata yote waliyotarajia na kutamani kuyapata
kwenye ndoa???!

Kwahiyo naomba niwaulize kwa faida ya wale wote tuliopo nje...
...Je wewe ulitaka/kubali kuoa/olewa kwasababu gani??!
...Baada ya kuingia mambo yalikua kama ulivyotarajia!?
...Kama mambo yalikua tofauti na matarajio yako je ni kwa uzuri au kwa ubaya???!
...Umewahi kujuatua au kushukuru Mungu kumchagua uliyemchagua???!
...Ungepata nafasi ya kurudi miaka kadhaa nyuma mpaka ulipokua unaamua kufungwa pingu za maisha ukiwa inajua kila kitakachotokea mbeleni ungefanya uamuzi tofauti na uliofanya???

Please tupeni experince tujifunze kabla hatujaingia huko na matarajio kibao alafu tushindwe kuvumilia hali halisi!

Lizzy.................. kwa hii thread yako sina cha kuchangia all that I ca say ni kuwa maisha ya ndoa sio ambarare kama lami bali ni smooth kama uso wa bahari ambao kuna wakati una mawimbi madogo na makubwa. Experience ya hayo mawimbi inategemea na mtu na mtu na ndoa na ndoa. Ofcoz huwezisema kuwa umeyakuta ambayo hukuyatarajia bali tuseme umeyakuta ambayo HUKUJUA kama nayo HUTOKEA ndoani.... na pia huwezi jutia moja kwa moja kwa kuwa hakuna ndoa yenye machungu pasipo matamu .......besides hayo machungu (yasizdi kipimo lakini) ndiyo yanayoifanya ndoa kuwa exciting, exhilarating, thrilling, stimulating and electrifying institution.
 
Lizzy dear thanks for the thread... Interesting...lol... Umewaza nini???? Enways....

Je wewe ulitaka/kubali kuoa/olewa kwasababu gani??!
Lizzy nampenda shemejio vibaya mno na namshukuru Mungu ndoa
haijafanya Mapenzi yapungue bali yawe stronger... Nafikiri inachangia
pia na the fact kua we both appreciate each other and compromise
in cases were neccessary... For instance sipendi football (najua nitazomewa hapa..lol)
but whenever anipi attention sababu ya mpira i don't care...

Baada ya kuingia mambo yalikua kama ulivyotarajia!?
I think nimeijibu above... It's wonderful, ndo mana Partner nimekazana
kupiga debe so that soon and very soon upate wako...lol

Kama mambo yalikua tofauti na matarajio yako je ni kwa uzuri au kwa ubaya???!
I think kwa uzuri zaidi... I thot itakua kazi saana, kumbe jamaa kanizimia kama
nilivyomzimia.. the rest vinafuata..

Umewahi kujuatua au kushukuru Mungu kumchagua uliyemchagua???!

Partner HELL Nooooooooooooooooooooo!!!!

Ungepata nafasi ya kurudi miaka kadhaa nyuma mpaka ulipokua unaamua kufungwa
pingu za maisha ukiwa inajua kila kitakachotokea mbeleni ungefanya uamuzi tofauti na uliofanya???

Kabla ya ndoa ningemsisitiza kua i want not less than 4/5 children... ili asing'ang'anie namba
ndogo ya watoto.

Dahhhhh
HONGERA sana mwaya..
Vizuri kuona story kama hizi ..( Blue)
 
Thanks Lizzy kwa thread nzuri,

Kwangu mie,sipaoni pengine palipo/ patapokuwa na afadhali/bora kuliko hapa nilipochagua,kwa mtazamo wangu matatizo yapo kunijenga na kunifanya niwe mke bora zaidi na sababu niliingia kwa kupenda kwa moyo wangu wote na nilimuomba Mungu anipe msaidizi atayefanana na mimi na ndie huyu(mume wangu mpenzi) ndivo itakavokuwa kama nilivoapa mbele ya madhabahu tarehe ile miaka saba iliyopita na MUNGU ANISAIDIE.:A S-rose:
 
[/COLOR]
hapo kwenye red unanikumbusha story ya jamaa ambao wakiwa bar kila mmoja anajitutumua kuwa yeye undava undava tu mwanamke hambabaishi nyumbani kumbe weeeee akiingia tu 'mama Kayai nisamehe nimechelewa,sio mimi ,ni Bishanga kanichelewesha na porojo zakeeeee,maneno kibao huku amepiga magoti!

mkuu dah nimecheka ile mbayaaa!! hahaha kumbe ndo mambo yenyewe? dah sasa kama hivi mbona hawa wanawake wataota mapembe hadi kuwapigia magoti dah hii kali mkuu
 
Lizy kila mara naona unaandika thread za ku-critisize ndoa? Whats wrong with you? Umeshajichunguza ukajua udhaifu wako? Naona kama unataka mwanaume atakayekuoa aje kama YESU. Nasikitika kukwambia kwamba hakuna mtu aliyesahihi, ongea na mama/baba mzazi watakwambia kilichowafanya wawe pamoja mpaka leo UVUMILIVU.

Nakushauri sana uwe makini, you are negative all the time, yote unayoliza hata wakijibu hayana faida kwako. NO ONE IS PERFECT.

Hivi CD maana ya neno Criticized nini???
Na je Lizzy ame Criticize au ameuliza???
 
Thanks Lizzy kwa thread nzuri,

Kwangu mie,sipaoni pengine palipo/ patapokuwa na afadhali/bora kuliko hapa nilipochagua,kwa mtazamo wangu matatizo yapo kunijenga na kunifanya niwe mke bora zaidi na sababu niliingia kwa kupenda kwa moyo wangu wote na nilimuomba Mungu anipe msaidizi atayefanana na mimi na ndie huyu(mume wangu mpenzi) ndivo itakavokuwa kama nilivoapa mbele ya madhabahu tarehe ile miaka saba iliyopita na MUNGU ANISAIDIE.:A S-rose:

Chauro............Sina cha kuongeza wala kucomment kwenye hii post.......yaani huweziamini ni jinsi gani imenijenga............. I just wish, yeah I wish.................. Hongera sana mamito kweli Mke Bora ni yule atokaye kwa Bwana. Ubarikiwe sana mpendwa
 
Yaani alichokiweka wazi chauro hapa ni kuwa Zimwi likujualo halikuli likakwisha na pia ni heri shetani umjuaye kuliko malaika usiyemjua.........nadhani watu wengi tungekuwa na perception ya hivi maisha yangekuwa rahisi
 
Concept ya ndoa haipo kama wewe au mimi tunavyodhani,tatizo kila mtu ana sababu yake ya kuingia kwenye ndoa,ila kwakuwa sababu zetu huwa bandia ndoa maana ndoa zinaishia njiani,itafute sababu iliyo sahihi kabla ya kuingia kwenye ndoa
 
Lizzy.................. kwa hii thread yako sina cha kuchangia all that I ca say ni kuwa maisha ya ndoa sio ambarare kama lami bali ni smooth kama uso wa bahari ambao kuna wakati una mawimbi madogo na makubwa. Experience ya hayo mawimbi inategemea na mtu na mtu na ndoa na ndoa. Ofcoz huwezisema kuwa umeyakuta ambayo hukuyatarajia bali tuseme umeyakuta ambayo HUKUJUA kama nayo HUTOKEA ndoani.... na pia huwezi jutia moja kwa moja kwa kuwa hakuna ndoa yenye machungu pasipo matamu .......besides hayo machungu (yasizdi kipimo lakini) ndiyo yanayoifanya ndoa kuwa exciting, exhilarating, thrilling, stimulating and electrifying institution.
I thank you MJ1 for sharing this side of analysis.... You are very right kwamba maisha ya ndoa ni smooth kama bahari (we have the highs and lows).... na nimependa zaidi ile depth uliyoweka in such few words

Youare a treasure... always!!!

Nina ndugu ambaye akisimulia yake, yanaweza yasiwe smooth kama bahari bali yanaweza kuwa smooth kama flame, sasa pata picha hapo inakuaje

All in all, we have to thank God for all he has given us kwenye relationships na hatuwezi kupata sawa, adn there is no way, one can make deicision on ndoa or relationship based on other people's experience

MAPENZI NI KAMA FINGERPRINTS, KAMWE HAYAFANANI
 
Concept ya ndoa haipo kama wewe au mimi tunavyodhani,tatizo kila mtu ana sababu yake ya kuingia kwenye ndoa,ila kwakuwa sababu zetu huwa bandia ndoa maana ndoa zinaishia njiani,itafute sababu iliyo sahihi kabla ya kuingia kwenye ndoa

well said ingawa mwisho wa siku hii reasoning huja baada ya kuwa mambo yashaharibika na/au unajutia ulichokifanya. na hii nbi kwa sababu wakati wa kuingia ndoani ulidhani unaingia kwa sababu iliyo sahihi kabisa, kumbe sio. mwisho wa siku pamoja na reasoning nyingi na za nguvu hapo juu, bado utaingia ndoani with an element ya gambling. u cannot be so sure kuwa mambo yatakuwa kama ulivyoyaplan au uyategemeavyo. ndoa ni interaction ya watu wawili na mazingira yao ambayo mwisho wa siku yanaweza kumpeleka mmoja kulia na mwingine kushoto au wote wakaenda kumoja
 
Asanteni wote kwa maeksipiriensi....nadhani kila mmoja amefanikiwa kujifunza hiki au kile kwa mwenzake!!

Kama wahenga walivyosema hukoooo zamani ''KUULIZA SIO UJINGA'' na ndicho nilichofanya...kwahiyo naomba niwaondoe hofu wale wanaodhani nauliza kwa nia ya kucritisize ndoa....binafsi napenda kujua sababu ya mengi tunayopenda/jikuta tukifanya kama wanadamu!!Mwisho wa siku naishia kujifunza kitu nilichokua sijui au kukumbushwa nilichokua nimesahau.Nafagilia ndoa....naikubali japo kwangu sio kitu ambacho nakitamani au kukililia!!

Hongereni wote ambao mnafurahia ndoa zenu..nawaombea muendelee hivyo hivyo miaka ijayo mtualike kusherehekea GOLDEN ANNIVERSARY zenu!!

Kwa wale mnaojutia poleni kwa kufikiria/gundua mlikosea hatua hii au ile....kama yanarekebishika jaribu kadri ya uwezo wako ili hata siku yakishindikana kabisa uweze kusema ''ANGALAU NILIJARIBU!!
me love you all!!!:grouphug::A S-rose: Be blessed and stay blessed!
 
Jana nlianzisha thread kuuliza wale ambao bado hawajoa/olewa kama wangependa kufanya hivyo mbeleni na kama ni ndio au sio kwanini??!
Majibu niliyopata yalikua yanatofautiana kwanzia waonataka kuwa na watu wa kushea nao maisha....mpaka wanaotaka kupendeza tu siku ya harusi na wa wanaotaka security!!

Nikajikuta najiuliza kwa wale ambao wapo kwenye ndoa je nini kilichowashawishi na je walipata yote waliyotarajia na kutamani kuyapata
kwenye ndoa???!

Kwahiyo naomba niwaulize kwa faida ya wale wote tuliopo nje...
...Je wewe ulitaka/kubali kuoa/olewa kwasababu gani??!
...Baada ya kuingia mambo yalikua kama ulivyotarajia!?
...Kama mambo yalikua tofauti na matarajio yako je ni kwa uzuri au kwa ubaya???!
...Umewahi kujuatua au kushukuru Mungu kumchagua uliyemchagua???!
...Ungepata nafasi ya kurudi miaka kadhaa nyuma mpaka ulipokua unaamua kufungwa pingu za maisha ukiwa inajua kila kitakachotokea mbeleni ungefanya uamuzi tofauti na uliofanya???

Please tupeni experince tujifunze kabla hatujaingia huko na matarajio kibao alafu tushindwe kuvumilia hali halisi!

Noted!
 
Back
Top Bottom