Nataka kuchukua Mkopo wa sh milion 25 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nataka kuchukua Mkopo wa sh milion 25

Discussion in 'Kilimo, Ufugaji na Uvuvi' started by kabila01, May 9, 2011.

 1. kabila01

  kabila01 JF-Expert Member

  #1
  May 9, 2011
  Joined: Apr 21, 2009
  Messages: 3,015
  Likes Received: 1,828
  Trophy Points: 280
  Wana JF kama critical thinkers naomba msaada wenu
  Ninataka kuchukua mkopo wa sh milion 25 benk ambao marejesho yake yatakua ni kupitia kukatwa katika mshahara kwa kipindi cha miaka mitatu.
  Tatizo linanijia nikishachukua hizo hela sielewi nifungue biashara gani iweze kunisaidia.
  Kama ungekua ndo wewe ungezifanyia nini hizo hela?
   
 2. F

  Future Bishop Member

  #2
  May 9, 2011
  Joined: Dec 4, 2009
  Messages: 75
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Ndugu Kabila, uko serious kweli? Unaweza kufikia hatua ya kusema unachukua mkopo wa sh. mil 25 na haujawa na business plan ya unaufanyia nini? Siamini kama kweli otherwise kama ndivyo nakushauri mkopo huo uuache kwanza mpaka utakapokuwa na maono ya jinsi gani unataka kuutumia.

  Hata hivyo business yoyote inategemea na wewe mwenyewe uwezo wako katika fani hii, nini unasikia moyoni unaweza ukafanya na je mahali unapotaka kufanyia unaona kama mali/bidhaa itapatikana kwa urahisi na je wateja wanapatikana maeneo hayo.

  Zaidi ni bora kufanya biashara ambayo una ujuzi nayo k.m kama ni mtaalam wa kilimo kuanzisha biashara ya kulima na ufugaji.
   
 3. ELNIN0

  ELNIN0 JF-Expert Member

  #3
  May 10, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 3,771
  Likes Received: 221
  Trophy Points: 160
  Nunua Hiace - TEGETA - MWENGE. (22m JAPAN USED) Utalaza kila siku 30,000/=, Non stop.
  Kwa mwezi 900,000/=, Kwa Mwaka 10,800,000/=
  Mwaka wa Pili = 21,600,000=
  Mwaka wa pili na Nusu = 27,000,000/=

  Toa Less 25% ya 27m kama matengenezo. 6.75m

  Hili gari litakuwa limefanya miaka 2 na nusu - Liuze kwa Half Price.

  Ongeza pesa ulizonazo nunua jipya, Change weka akiba - Endelea na kazi.

  Unatakiwa kuwa mwangalifu kwa Madereva na Konda, lakini likuwa jipya matatizo si mengi sana.
   
 4. kabila01

  kabila01 JF-Expert Member

  #4
  May 10, 2011
  Joined: Apr 21, 2009
  Messages: 3,015
  Likes Received: 1,828
  Trophy Points: 280
  Thanks wadau mliotangulia kwa mawazo yenu mazuri. Nacho ki avoid mimi ni ile kuchukua mkopo then unannunua Harrier ya kutembelea baada ya hapo unaanza ku experience machungu ya kukatwa mshahara kwa miaka mitatu, na wakati huo gari linahitaji service mbalimbali then after three years unakuja kuliuza kwa bei ndogo na halijaingiza kitu chochote
   
 5. CONSULT

  CONSULT JF-Expert Member

  #5
  May 10, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 223
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  Asante sana kwa ushauri wa kina na mzuri kwa mr kabila ningependa na mimi kukufahamu zaidi kama utaruhusu.
   
 6. m

  mwajum Member

  #6
  Sep 23, 2014
  Joined: Feb 26, 2014
  Messages: 22
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  Good idea
   
 7. v

  venture1 Member

  #7
  Sep 25, 2014
  Joined: Aug 6, 2014
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kweli kaka
   
 8. v

  venture1 Member

  #8
  Sep 25, 2014
  Joined: Aug 6, 2014
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapo inabidi aangalie na changamoto za barabarani,hyo haina uhakika
   
 9. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #9
  Sep 25, 2014
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,921
  Likes Received: 83,429
  Trophy Points: 280
  Umeongea point kubwa sana Mkuu, na barabara zetu zilivyo na ajali nyingi unaweza kubaki na majonzi. Mkuu ushauri wangu omba mawazo zaidi kwa biashara ipi ya kufanya ukishaziweka hizo 25 million kibindoni.

   
 10. v

  venture1 Member

  #10
  Sep 25, 2014
  Joined: Aug 6, 2014
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kweli kaka unaweza kukuta m25 zinapotea
   
 11. fahega

  fahega JF-Expert Member

  #11
  Sep 25, 2014
  Joined: Feb 20, 2014
  Messages: 268
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  Jaribu kuelezea na taaluma yako upate ushauri utakao kufaa
  Tunaweza kukupa mawazo mengi tu ambayo ni mazuri lakini yakawa hayajakuvutia kutokana na taaluma yako
   
 12. KIKOSIKAZI

  KIKOSIKAZI JF-Expert Member

  #12
  Mar 9, 2016
  Joined: Aug 12, 2014
  Messages: 2,226
  Likes Received: 767
  Trophy Points: 280
  Unajua kuna watu bila kutapeliwa hawana furaha hivi.Sasa we nenda kakope , ili uelewe vizuri wanapo lalamika wenzio wanamaanisha nini!
   
 13. primking

  primking JF-Expert Member

  #13
  Mar 9, 2016
  Joined: Oct 19, 2012
  Messages: 651
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  Ningeweka heshima bar na kununua Altezza
   
Loading...